USHAURI:Kama namna naweza kuzuia na hali hii

Thank you sis
Maranying tukipenda Huwa hatujiuliz sana lkn nakumbuka wakat ananiaproach niliwahi kugusia hili akasema hakunashida sio tatizo na nilikuwa mdogo pia nafikir sikuweza kulielewa ugumuwake
 
Ni ngumu sana japo hawez kukataa😀 lakini niliamua kukaa nae sababu kwanza ya ajali aloipata japo njua Ilikuwa mipango ya Mungu lakini nilishaonekana Mimi ndio tatizo
Pili tulishaamua tusiwe pamoja nami Nina mahusiano pia Kwa Sasa nafikir nae anayo japo hajaoa Bado rasmi
Upendo umeisha simfikirii kama.zamani nitamsumbua tu siwez tena
 
Ulikosea sana kuruhusu kuamliwa hatma ya mahusiano yako!!

Wewe ulipaswa kukomaa na kile unachoamini!hata kama kwenu no wahhabi,answarisunah au shia hata suni!

Ungeamua kwenda tu!kudumu KWA MAHUSIANO kuna tegemea SANA msimamo wa muolewaji yaani mwanamke na sio sisi wanamme!!!!



Chukua hiyo!!
 
Tuliza akili,fanya kazi kwa bidii,jitahidi kushiriki ibada kwa dini yako na jitahidi kutoka out wikiendi na mkabidhi Mola wako jambo hili atalitatua
 

Nina hofu sana naweza nikapendasana tu nikazama sana tu mapenzini lakini linapokuja suala la kusogeza mahusiano mbele napata presha na Huwa siwezi kufanya maamuzi kabisa

Hasira ni jambo lingine linanisumbua naweza nikapat hasira Kwa kitu kidogo baada ya muda naona Kabisa nimefeli nashindwa kujizuia ila kwenye uhalisia napenda kufurahi sana kucheka Yan naweza kusmile all time
 

Utakua sawa tu halafu inaonekana ulimpenda sana huyo na bado unampenda ndio stress zinapoanzia!

relaxxx Uambie moyo ukubaliane nahio hali na with time utakua sawa tu mamy na Mungu akusaidie!!
 
Nina hofu sana naweza nikapendasana tu nikazama sana tu mapenzini lakini linapokuja suala la kusogeza mahusiano mbele napata presha na Huwa siwezi kufanya maamuzi kabisa
Kubali lililopita lilipita kwa sababu ya utofauti wa imani.
Ruhusu maisha mengine yaendelee,, usiogope kwa mwingine unless kama bado umeendeleza mchezo wa kudate na mtu asiye wa imani yako.
Ila kama ni wa imani yako sioni cha kukufanya uhofie.
 
Unataka ushauri gani urudiane na yule wa kwànza au unataka mwingine? Au unataka ushauri wa kuondoa stress? Be specific.
 
si sawa kuolewa na mtu wa imani nyingine, fuata ushauri wa wazazi. la sivyo badili imani kwanza kama hutaki dini yako
then huku kwenye imani mpya ndo uolewe sasa. na usibadili dini kisa kuolewa
 
Wewe umerogwa sio bure.Nakusihi urudi kwa yule aliyekuwa mchumba wako wa kwanza ukamuombe msamaha muachane kwa amani.

Tofauti na hapo utazeekea kwenu dada
 
Bado
Wewe umerogwa sio bure.Nakusihi urudi kwa yule aliyekuwa mchumba wako wa kwanza ukamuombe msamaha muachane kwa amani.

Tofauti na hapo utazeekea kwenu dada
Sawa
Lkn suala kuzeeka nyumbni labda niamue au iwe ulivosema nilogwe kwanza haipo kwenye ukoo wetu
 
Pole sana Mkuu, I feel your pain 😢

Mambo ya Imani huhitaji watu wenye ujasiri kuyashinda, Waziri Mkuu wetu ni Muislamu lakini ameoa Mkatoriki. Wapo wengine wengi, jaribu kufuata moyo wako unachoona kinafaa.

Kila la kheri Mjukuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…