Uzi umedodaHivi sasa uendeshaji wa dunia umebadilika. UNO ipo lkn kama mpitishaji wa ajenda za USA
ICC ipo lkn haiwezi kuikosoa Isreal.
Vipo vyombo vya habari vikubwa kama bbc , CNN lkn vyote hivyo huvisikii kumkosoa Trump.
Yaani hivi sasa dunia inavyoendeshwa kama inaendeshwa na watu na sio mihimili.
Chadema hili mlione. Ni mfumo wa dunia.
Kwa hivyo nawashauri chadema. Wakae Rais wajaribu kulitatua swala la lissu.
Dunia inavyoendeshwa kwa sasa ni mfumo mpya.
Chadema wasome alama za nyakati.
Wajifunze kupitia Venezuela, Iran. Mwenye nguvu hana kosa ktk dunia hii.
Njia nyengine ni ya mapambano kama Iran jambo ambalo chadema hawaliwezi kutokana na kuwa hawana ushawishi ktk jamii
Lissu mwenyewe hataki mambo ya kubebwa bebwa sijui kuomba omba maridhiano...hoja ni kwamba kesi iendeshwe kwa haraka inavyostahili na hukumu ya haki itolewe...full stop!.Mpo?
Kwa kifupi unasema Lissu yupo ndani kwa sababu ya Samia?Mwenye nguvu hana kosa ktk dunia hii.
Ukiitaza Dunia inavyopelekeshwa na Wenye nguvu kwamba ukitaka utafanya na usipotaka utafanya 🙄 !Hivi sasa uendeshaji wa dunia umebadilika. UNO ipo lkn kama mpitishaji wa ajenda za USA
ICC ipo lkn haiwezi kuikosoa Isreal.
Vipo vyombo vya habari vikubwa kama bbc , CNN lkn vyote hivyo huvisikii kumkosoa Trump.
Yaani hivi sasa dunia inavyoendeshwa kama inaendeshwa na watu na sio mihimili.
Chadema hili mlione. Ni mfumo wa dunia.
Kwa hivyo nawashauri chadema. Wakae Rais wajaribu kulitatua swala la lissu.
Dunia inavyoendeshwa kwa sasa ni mfumo mpya.
Chadema wasome alama za nyakati.
Wajifunze kupitia Venezuela, Iran. Mwenye nguvu hana kosa ktk dunia hii.
Njia nyengine ni ya mapambano kama Iran jambo ambalo chadema hawaliwezi kutokana na kuwa hawana ushawishi ktk jamii
Mentality yakipuuzi kabisa kua Mwenye Nguvu hana makosa unatoa mfano wa Iran mbona amekaza na huyo super power moto anauonaHivi sasa uendeshaji wa dunia umebadilika. UNO ipo lkn kama mpitishaji wa ajenda za USA
ICC ipo lkn haiwezi kuikosoa Isreal.
Vipo vyombo vya habari vikubwa kama bbc , CNN lkn vyote hivyo huvisikii kumkosoa Trump.
Yaani hivi sasa dunia inavyoendeshwa kama inaendeshwa na watu na sio mihimili.
Chadema hili mlione. Ni mfumo wa dunia.
Kwa hivyo nawashauri chadema. Wakae Rais wajaribu kulitatua swala la lissu.
Dunia inavyoendeshwa kwa sasa ni mfumo mpya.
Chadema wasome alama za nyakati.
Wajifunze kupitia Venezuela, Iran. Mwenye nguvu hana kosa ktk dunia hii.
Njia nyengine ni ya mapambano kama Iran jambo ambalo chadema hawaliwezi kutokana na kuwa hawana ushawishi ktk jamii
Dunia ya sasa ni mwenye nguvu mpishe. Lisu ni mhaini hakuna ubishi, na hakuna mtu hata atoke wapi atapinga hilo.Hivi sasa uendeshaji wa dunia umebadilika. UNO ipo lkn kama mpitishaji wa ajenda za USA