Ushauri kwa Rais Samia: Kwenye mabadiliko ya Cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, tumia wazoefu; Fedha mpe Dkt. Kimei, Biashara Uwekezaji mpe Deo Mwanyika

Kuna wakati unajitoa ufahamu na kuandika ukweli.
Big up Paskali.

Tatzizo hapo KIMEI NI MCHAGA.
Wachaga kupewa madaraka kwa sasa mhhhh
 

Dr. β€ŠKimei sio mzuri sana wa kuongea, hata kujieleza kwake ni shida, uwaziri utakuwa mgumu kwake katika kujieleza bungeni.

Shida ya kuwapa wanafanyabiashara hizo wizara ni mgongano wa kimaslahi.
Waziri hajibu hoja bali naibu ndo mjibu hoja bungeni
 

Dr. β€ŠKimei sio mzuri sana wa kuongea, hata kujieleza kwake ni shida, uwaziri utakuwa mgumu kwake katika kujieleza bungeni.

Shida ya kuwapa wanafanyabiashara hizo wizara ni mgongano wa kimaslahi.
Watu wa front cku zote sio wazur kwenye kuongea. Lakin pia mara nyingi mjibu hoja bungeni ni naibu wazir sio wazir. Lakin pia Mimi naona kama shida ya nchi hii ni mfumo sio Muigulu japo huwa ana maneno ya shombo lakin inawezekana kuna Mahali anatoa ushaur kitaalamu unapigwa chini.
 
Mwache alee wajukuu amezeeka sana
 
Sahihi kabisa..baraza kuubwa nadhani linatia uvivu kulifatilia......
Wizara nyingine ziungwe tu au ziwe idara ndani ya Wizara..
 
Kuna mahala unaweza eleza Waziri yeyote alipotajwa na CAG?

Wanaopiga ni Mawaziri au Watendaji? Halmashauri kuzima pos inahusikaje na Waziri?

Bodi ya NHIF kujipangia maposho na mambo kama hayo Waziri anahusikaje?

Hakuna mahala Baraza la Mawaziri litazuia Ufisadi ,uzembe nk bila kubadili sheria na kuzisikmaia zikatekelezwa.
 
Heri yako upo unbiased wengine wanaotaka mabadiliko ya baraza la mawaziri wanavizia uwaziri mkuu. Waziri Mkuu hajatajwa popote lakini wanalazimisha aondolewe, aibu nasikia mimi mtu mwadilifu kama yule kuundiwa zengwe ili atolewe.
Kwakweli !
 
Serikali ya Wataalamu ilishindwa Italy.

Narudia tena sio kila mtu anaweza kuwa Waziri wa Fedha,Hadi sasa sijaona wa kumzidi Mwigulu kati ya wote mnaowataja.

Assad ukiacha kuwa CAG anajua mambo ya Kiuchumi? Manaa Kuna wakati utalazimika kutetea maamuzi ya Serikali kama anavyofanyaga Mwigulu linapokuja Suala la muelekeo wa kisera.
 
Hivi ninapitwa au???
Lini rais amesema anataka kubadilisha baraza la mawaziri au mnatumia kiashiria kipi??
Na wewe ndugu pascal ukiwa kama verified member, unapata wapi guts za kuanzisha Uzi kama huu??
Ni wapuuzi tuu Hawa wanakuja na mambo Yao ya kipuuzi.Kqanza Toka nimeifuatilia Rais Samia hakuna hata siku Moja wamewahi mpatia kubashiri kwenye mipango yake ,Kwa Hali hiyo Wala hana huo Mpango
 
Hata utengue na kupangua Baraza na Hao wengine usipobadili Baadhi ya sheria ni kazi Bure.

Kwa mfono kwani kubadili Baraza ndio kunazuia Ufisadi? Kuna sehemu Mawaziri wametajwa?

Labda Kama hizo panga pangua ni za kujipangia Kisiasa Kwa Ajili ya uchaguzi sawa nothing else.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…