butron
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,640
- 7,943
Wewe jamaa unataka tuanze kuripoti central kama kipindi kile,hapana kwa kweli!Paul Makonda awe Waziri wa Mambo ya Ndani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe jamaa unataka tuanze kuripoti central kama kipindi kile,hapana kwa kweli!Paul Makonda awe Waziri wa Mambo ya Ndani
Habari za kupigana misumari ya ugongo,hapana jamani!Sabaya wa Usalama wa Raia
Kuna wakati unajitoa ufahamu na kuandika ukweli.Huu ni Ushauri wa Bure kwa Rais Samia kwenye mabadiliko tarajiwa ya cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, namshauri Rais Samia, asibabaike sana na kuangalia ma vyeti ya usomi kwenye uteuzi wa cabinet yake, atumie watu wenye uzoefu, mfano Waziri wa Fedha wa sasa Dr. Mwigulu Mnchemba ni msomi mzuri wa uchumi, ana 1st Class ya degree ya uchumi kutoka UDSM, lakini sio mtu wa ki fedha fedha!. Hajawahi kushika na B na ma B na ma B mikononi mwake kama Dr. Charles Kimei alipokuwa CRDB, hivyo Wizara ya Fedha akimpa Dr. Kimei, fedha zitakuwa zimefika kwenyewe.
Kwenye biashara na uwekezaji, kuna wasomi wawili, madaktari wa PH.D, je, wanewahi kufanya chochote hata kuuza nyanya tu? Kwenye Biashara Uwekezaji ampe Deo Mwanyika, kina Sumri, kina Shabiby, Abood etc, watu wenye uzoefu wa kufanya biashara.
Aunde Baraza dogo lenye mawaziri wenye uzoefu, ukiwa na mtu mwenye uzoefu, hawezi kupigwa kirahisi kama msomi mwenye vyeti lakini hajawahi kuuza hata toothpicks!
Ni ushauri tu.
Paskali
Waziri hajibu hoja bali naibu ndo mjibu hoja bungeni
Dr. Kimei sio mzuri sana wa kuongea, hata kujieleza kwake ni shida, uwaziri utakuwa mgumu kwake katika kujieleza bungeni.
Shida ya kuwapa wanafanyabiashara hizo wizara ni mgongano wa kimaslahi.
Watu wa front cku zote sio wazur kwenye kuongea. Lakin pia mara nyingi mjibu hoja bungeni ni naibu wazir sio wazir. Lakin pia Mimi naona kama shida ya nchi hii ni mfumo sio Muigulu japo huwa ana maneno ya shombo lakin inawezekana kuna Mahali anatoa ushaur kitaalamu unapigwa chini.
Dr. Kimei sio mzuri sana wa kuongea, hata kujieleza kwake ni shida, uwaziri utakuwa mgumu kwake katika kujieleza bungeni.
Shida ya kuwapa wanafanyabiashara hizo wizara ni mgongano wa kimaslahi.
Hicho kijitabu ndio kimempa uraisMkuu CCM inabidi ipotee ktk uso wa Dunia.
Shida ni hiyo.
Sasa kama Rais wako anasema Katiba ni kijitabu tu... Wtf...
Kuna nchi hapo..kuna kuwajibishana..
Wacha tufe tu.
Mwache alee wajukuu amezeeka sanaNaunga mkono hoja.
Kisha kwenye Mabenki kuna rushwa sana, ingawa sielewi utendaji wa Dr. Kimei ulikuwaje CRDB.
Bila kuvaa Shati la mikono mirefu, Benki zetu zote hupati mkopo.
Kama hakufaulu kudhibiti rushwa kwenye Benki moja, ataweza kuidhibiti akikabidhiwa Hazina ya Nchi?
Pendekezo langu ni Profesa Mussa Assad.
Huyu ni Mtanzania mwenye uwezo mkubwa na ambaye amedhihirika kuchukia rushwa.
Rushwa inaiumiza sana Nchi yetu.
Uzuri mwingine ni kwamba Profesa Mussa Assad atakuwa hana Jimbo (wa kuteuliwa) maana Ubunge wa Jimbo unachochea sana kutafuta pesa (za rushwa)
Sahihi kabisa..baraza kuubwa nadhani linatia uvivu kulifatilia......Huu ni Ushauri wa Bure kwa Rais Samia kwenye mabadiliko tarajiwa ya cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, namshauri Rais Samia, asibabaike sana na kuangalia ma vyeti ya usomi kwenye uteuzi wa cabinet yake, atumie watu wenye uzoefu, mfano Waziri wa Fedha wa sasa Dr. Mwigulu Mnchemba ni msomi mzuri wa uchumi, ana 1st Class ya degree ya uchumi kutoka UDSM, lakini sio mtu wa ki fedha fedha!. Hajawahi kushika na B na ma B na ma B mikononi mwake kama Dr. Charles Kimei alipokuwa CRDB, hivyo Wizara ya Fedha akimpa Dr. Kimei, fedha zitakuwa zimefika kwenyewe.
Kwenye biashara na uwekezaji, kuna wasomi wawili, madaktari wa PH.D, je, wanewahi kufanya chochote hata kuuza nyanya tu? Kwenye Biashara Uwekezaji ampe Deo Mwanyika, kina Sumri, kina Shabiby, Abood etc, watu wenye uzoefu wa kufanya biashara.
Aunde Baraza dogo lenye mawaziri wenye uzoefu, ukiwa na mtu mwenye uzoefu, hawezi kupigwa kirahisi kama msomi mwenye vyeti lakini hajawahi kuuza hata toothpicks!
Ni ushauri tu.
Paskali
Waziri wa fedha mradi awe mtiifu kwa Rais,na kila mara amtaje Rais huyo ndo anfaaUpo sahihi sana hasa hapo kwenye fedha. Mwigulu arudi Burundi
Sabaya RC KilimanjaroSabaya wa Usalama wa Raia
Kuna mahala unaweza eleza Waziri yeyote alipotajwa na CAG?Huu ni Ushauri wa Bure kwa Rais Samia kwenye mabadiliko tarajiwa ya cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, namshauri Rais Samia, asibabaike sana na kuangalia ma vyeti ya usomi kwenye uteuzi wa cabinet yake, atumie watu wenye uzoefu, mfano Waziri wa Fedha wa sasa Dr. Mwigulu Mnchemba ni msomi mzuri wa uchumi, ana 1st Class ya degree ya uchumi kutoka UDSM, lakini sio mtu wa ki fedha fedha!. Hajawahi kushika na B na ma B na ma B mikononi mwake kama Dr. Charles Kimei alipokuwa CRDB, hivyo Wizara ya Fedha akimpa Dr. Kimei, fedha zitakuwa zimefika kwenyewe.
Kwenye biashara na uwekezaji, kuna wasomi wawili, madaktari wa PH.D, je, wanewahi kufanya chochote hata kuuza nyanya tu? Kwenye Biashara Uwekezaji ampe Deo Mwanyika, kina Sumri, kina Shabiby, Abood etc, watu wenye uzoefu wa kufanya biashara.
Aunde Baraza dogo lenye mawaziri wenye uzoefu, ukiwa na mtu mwenye uzoefu, hawezi kupigwa kirahisi kama msomi mwenye vyeti lakini hajawahi kuuza hata toothpicks!
Ni ushauri tu.
Paskali
Amrudishe huyu huyu au mwingine?Nishati na madini amrudishe Kalemani
Utendaji upi bila kuongea utakapilizwa wakati wa Changamoto? Unadhani kuwa Waziri wa Fedha ni sawa na kuwa MD wa CRDB?Kinacho hitajika ni utendaji wake, sio kuongea kama Kemei Anafaa lakan.
Kwakweli !Heri yako upo unbiased wengine wanaotaka mabadiliko ya baraza la mawaziri wanavizia uwaziri mkuu. Waziri Mkuu hajatajwa popote lakini wanalazimisha aondolewe, aibu nasikia mimi mtu mwadilifu kama yule kuundiwa zengwe ili atolewe.
Serikali ya Wataalamu ilishindwa Italy.Naunga mkono hoja.
Kisha kwenye Mabenki kuna rushwa sana, ingawa sielewi utendaji wa Dr. Kimei ulikuwaje CRDB.
Bila kuvaa Shati la mikono mirefu, Benki zetu zote hupati mkopo.
Kama hakufaulu kudhibiti rushwa kwenye Benki moja, ataweza kuidhibiti akikabidhiwa Hazina ya Nchi?
Pendekezo langu ni Profesa Mussa Assad.
Huyu ni Mtanzania mwenye uwezo mkubwa na ambaye amedhihirika kuchukia rushwa.
Rushwa inaiumiza sana Nchi yetu.
Uzuri mwingine ni kwamba Profesa Mussa Assad atakuwa hana Jimbo (wa kuteuliwa) maana Ubunge wa Jimbo unachochea sana kutafuta pesa (za rushwa)
Ni wapuuzi tuu Hawa wanakuja na mambo Yao ya kipuuzi.Kqanza Toka nimeifuatilia Rais Samia hakuna hata siku Moja wamewahi mpatia kubashiri kwenye mipango yake ,Kwa Hali hiyo Wala hana huo MpangoHivi ninapitwa au???
Lini rais amesema anataka kubadilisha baraza la mawaziri au mnatumia kiashiria kipi??
Na wewe ndugu pascal ukiwa kama verified member, unapata wapi guts za kuanzisha Uzi kama huu??
Hamutaki mvinyo ule ule ndani ya chupa mpya ??!!Lipumba apewe wizara ya fedha asimamie uchumi, huku Lisu akiletwa kuwa mwanasheria mkuu wa serikali..
Hata utengue na kupangua Baraza na Hao wengine usipobadili Baadhi ya sheria ni kazi Bure.ni maoni na mtazamo mzuri,
Yes
tunaelekea kipindi cha Tengua Teua nyingi mno ktk muda mfupi ujao, muda wa kati na muda mrefu ujao hadi 2025. Mabadilko yatalenga zaidi Baraza la mawaziri, wakuu wa mikoa, Wilaya, wakurugenzi, wakuu wa taasisi na mashirika ya umma na wateule mbalimbali wa Rais.
Kwa hao watu ulio wapendekeza, binafsi sioni yeyote miongoni mwao akipewa fursa hiyo au kuhusishwa kwenye teuzi yeyeote tarajiwa .
Zaidi sana sidhani hata kidogo ikiwa waziri wa fedha anaweza kuguswa kwenye mabadiliko yeyote ya Baraza la mawaziri kwa namna yeyote ile, huyu anakwenda hadi 2025 bila wasi wasi wowote.