Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Kuna hii akikusalimia siku mbili Tatu swali linakuja unafanya kazi gani /unajishughulisha na nn,yaani ni waoga sijui ndo kutembelea fursaYani hii ndio reality ya wanaume wa sasa, Kila kikwazo wanachoweka kwa wanawake ni kulinda inequities zao, tuna kizazi Cha wanaume waoga sana inatia shaka.