Chadema haijawahi kufeli ktk ku-mobikize watu ili kupata support. Chadema kama kungekuwa na tume huru siku nyingi ingekuwa ishachukua dola.Imekata upepo? Duuh hii mikutano yenye hamasa kubwa huioni?
Kipi tofauti? Video si iko hapo
Political movement yoyote bila endorsement ya chadema is bound to fail
Na Mwabukusi analifahamu Hilo ndiyo maana anawashangaa chadema. Alitarajiwa chadema ingedandia hoja na kuisukuma ipasavyoPolitical movement yoyote bila endorsement ya chadema is bound to fail
Mwananchi wa Tanzania yuko radhi aandamane kwenye Yanga na Simba ngoja tuone Maandamano ya Slaa na Mwabukusi kila la heriHapana hamjafanya chochote sijawahi kuona maandamano ya Chadema ya kusimamisha Nchi wala Sijawahi kuona wananchi wakifanya civil disobedience kwa ajili ya Chadema. Hata hivyo haijalishi hamtabadilika.
Ainisha kimoja tu usizungukeVyote ulivyoandika ni tofauti audio Iko hapo sikiliza kujiridhisha
Mwananchi wa Tanzania yuko radhi aandamane kwenye Yanga na Simba ngoja tuone Maandamano ya Slaa na Mwabukusi kila la heri
Labda azihusishe na Yanga na Simba vinginevyo....Well ngoja tuone.Hii ya Mwabukusi inatofauti kidogo. Maana inahusisha wadau wengi, asasi za kiraia, vyama vya siasa na makundi mbali mbali ya kijamii.
Hivyo itakuwa na kishindo kikubwa.
Chadema ilishindikana kwasabb ilikuwa ni issue ya chama kimoja tu cha siasa.
Mbona wamedandia kupitia oparesheni 255 okoa bandari zetu..... yeye alitaka chadema impigie magoti na ijipendekeze kwake au impe cheo?Na Mwabukusi analifahamu Hilo ndiyo maana anawashangaa chadema. Alitarajiwa chadema ingedandia hoja na kuisukuma ipasavyo
Narudia Nchi haijawahi kusimama. Wananchi waliona madhaifu ya viongozi wenu wakati wa Magufuli. Vyama vinavyotaka kujijenga kama taasisi vingebadili viongozi na kuweka radicals na hardliners ilikuamsha Ari za wananchi.Tarime ilifanyika sana hii..... Arusha ilikua maandamano kila wiki.... juzi tu Akwilina aliuwawa maandamano ya chadema so hii imefanyika sana hili. Sema kwa aina hii ya wananchi sio rahisi kupata turn out kubwa
Mimi kama Mwanachama wa CHADEMA nitasikiliza viongozi wangu wa Chama na msimamo wa Chama bado na hapo hapo ninaweza kutoa ushauri wangu kuwa tusiwe Chama cha Matukio tujikite kwenye Manifesto yetu.Kwa hiyo mkuu wewe utakuwa
pembeni ukingoja kuona kama wanavyofanya wale wenye kuandamania yanga na simba?
Narudia hata wakiandamana watu kumi ni mafanikio. Nyie endeleni na kajeli na maridhiano.Mwananchi wa Tanzania yuko radhi aandamane kwenye Yanga na Simba ngoja tuone Maandamano ya Slaa na Mwabukusi kila la heri
Politics sio pressure group au activism ni leadership. Sasa unapotaka uongozi kuna ushawishi mpana kwa makundi yote wakiwemo ccm, wasio na vyama n.k ila radicalism ni kuamini yeyote asiye na wewe ni adui.vingebadili viongozi na kuweka radicals na hardliners ilikuamsha Ari za wananchi.
Una document yenye sera za Chadema unaweza uka share? Kama una link unaweza ukatuma pia.Mimi kama Mwanachama wa CHADEMA nitasikiliza viongozi wangu wa Chama na msimamo wa Chama bado na hapo hapo ninaweza kutoa ushauri wangu kuwa tusiwe Chama cha Matukio tujikite kwenye Manifesto yetu.
Tunawatakia kila la kheri ila Mwabukusi aache kutukoromea sisi sio TLS.Narudia hata wakiandamana watu kumi ni mafanikio. Nyie endeleni na kajeli na maridhiano.
Ainisha kimoja tu usizunguke
Hiyo ni siasa safi. Bahati mbaya CCM ni radicals wataua, watafunga na kuwapa watu vilema iliwabaki madarakani. Jibu pekee kwa watu kama hao ni kuwapeleka radicals halafu akili zikikaa sawa na wakakubali kuacha madaraka tunakuwa waastarabu.Politics sio pressure group au activism ni leadership. Sasa unapotaka uongozi kuna ushawishi mpana kwa makundi yote wakiwemo ccm, wasio na vyama n.k ila radicalism ni kuamini yeyote asiye na wewe ni adui.
Siasa haziendi hivyo
Tunawatakia kila la kheri ila Mwabukusi aache kutukoromea sisi sio TLS.
Tuna website yetu gugo tu.Una document yenye sera za Chadema unaweza uka share? Kama una link unaweza ukatuma pia.