Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Kwani Chadema ni mali ya nani ?Sasa si aanzishe chama chake ili kiwe anavyotaka? Zitto na Kitila walianzisha chama Chao walipoona Mbowe hafai!
Yeye anatukana wenzie wakati aligombea ubunge 2020 licha ya kujua hakuna tume huru
Nachosema maandamano yalishafanyika sana ila zaidi ya watu kufa sijaona kilichoibadilisha ccm. Maandamano au mapinduzi bila back up ya JWTZ ni kupoteza muda tu. Kama kuna njia ya dialogue inaweza saidia it's the best strategy and so far it has worked in the favor of chadema IKIFELI ndio mnaingia barabarani.Kwa hiyo sababu watu wanakufa hivyo wasiandamane ?
Una miaka mingapi dogo ?
Sisi wanachama.... ila Mwabukusi sio mwanachama asitupangie kama hawezi aanzishe chama chakeKwani Chadema ni mali ya nani ?
Harakati za kudai uhuru wa bendera ziliua mamia kwa mamia ya watu lakini watu hawakuacha kupambana.Ataungwa mkono na WA aina ya kina imhotep tu
Raia wao walikuwa serious sio kama hawa wa kwetu. Huku wako busy kujadili makalio ya Zuchu unadhani wanaelewa hata katiba au bandari ni kitu gani?Ulaya WWW1&2 zimeua mamilioni kwa mamilioni ya watu lakini wazungu hawakuacha kupambana mpaka ushindi wakapata
Hawataki DRC iendelee ijenge mabarabara kwasababu wanasema Wakongo watavuna lile Pori kwa urahisi.Unataka kusema dunia Ina uchungu sana na rasilimali zilizopo Tanzania kuliko zilizopo DRC na kwingineko??
Narudia tena wakomunisti wa uchina walianza kupambana na KMT na imperial Japan kutoka mwaka gani kwa njia ya maandamano, mapambano ya msitu mpaka uhuru wao walichukua baada ya miaka mingapi kupita ?Nachosema maandamano yalishafanyika sana ila zaidi ya watu kufa sijaona kilichoibadilisha ccm. Maandamano au mapinduzi bila back up ya JWTZ ni kupoteza muda tu. Kama kuna njia ya dialogue inaweza saidia it's the best strategy and so far it has worked in the favor of chadema IKIFELI ndio mnaingia barabarani.
Kumbe chama ni mali ya wanachama sio mali ya mtu binafsi ? AnhaaSisi wanachama.... ila Mwabukusi sio mwanachama asitupangie kama hawezi aanzishe chama chake
Nani alikuambia Watanzania hawapo serious ? Hao Watanzania wa Arusha ulio watolea mifano wao ni misukule tofauti na wengine ?Raia wao walikuwa serious sio kama hawa wa kwetu. Huku wako busy kujadili makalio ya Zuchu unadhani wanaelewa hata katiba au bandari ni kitu gani?
Chadema na Ruzuku ni kama Wali na Maharage
Herd mentality isikusumbue ndugu mimi siwezi kuburuzwa na Slaa na Mwabukusi nyie mfuateni.Ataungwa mkono na WA aina ya kina imhotep tu
Nani alikuambia Watanzania hawapo serious ? Hao Watanzania wa Arusha ulio watolea mifano wao ni misukule tofauti na wengine ?
Hawa wajinga wanapaswa kufahamu kuwa ule ushenzi wa wapinzani kusema tunaunga mkono juhudi chini ya jiwe na kuhamia CCM uliwavunja moyo Watanzania wengi sana.Hizo ndizo kauli Mwabukusi hazitaki sasa ma CCM na vibaraka wao wako full kuchukia
Herd mentality isikusumbue ndugu mimi siwezi kuburuzwa na Slaa na Mwabukusi nyie mfuateni.
Nawatakia kila la kheri mimi nasubiri Ziara ya CHADEMA nyanda za juu kusini nikamsalimie Erythrocyte huko Kyela.
Kwanini huyo mwakubusi asiendelee na harakati zake kwani chadema wamemkataza kila mtu atumie mbinu anayojua yeyeMbowe, Lissu tunawapa pole za kupigwa risasi na kufilisiwa lakini hii struggle siyo ya watu binafsi sababu kuna watu wamekufa kabisa kwa ajili ya mapambano ya kuitoa CCM. Je hao utawambia nini familia zao? Viongozi wa sasa hawana mbinu, ari wala mikakati ya kiuhalisia wakuitoa CCM. Wakina Mwakubusi wanajaribu kuratibu maandamano na civil disobedience na hiyo ndio lugha CCM wanaelewa na kuogopa. Hivi nyie mnawezaje kuwa waastarabu kwa watu wanaoiba kura mchana kweupe huko Zanzibar na mkaamini watabadilika na kuwa waastarabu? Eti unaongelea vyuo vya Uongozi, Diplomacy una akili kweli wewe? Unapambana na mhuni wa Mbagala kwa technique za Oysterbay.
CCM ni wapuuzi sana wamewapumbaza Watanzania kwa vitu vya kijinga kijinga wewe ukitaka kuwakomboa wanakuona wewe ndio msaliti.
CCM imeua elimu halafu inashinikiza watu wawe machinga.
Nchi inaendeshwa Kiswahili swahili wanaambiwa ndio uzalendo kuwa masikini.
Kwanini huyo mwakubusi asiendelee na harakati zake kwani chadema wamemkataza kila mtu atumie mbinu anayojua yeye