Ushauri kwa walio Chuo Kikuu na vyuo vya kati GPA matters

Kozi ya kiume hiyo, ukitoka hapo kuna Food Science. Mtu anataka utoke na Uppr 2rd ya 3.9. 😊
Food science mwanazoni tulikua tunasema unakua baba lishe au mama lishe..

Ila waliosoma daaah aisee kuna watu wanakula.mizigo aiseee.
Kama BVM duuuh ule moto hapana kabisa, ile kweli ya wanaume kule ukute mtu ana 4 oooh oooh oooh
 
GPA siyo ishu kabisa kama upo na connection inakuwa easy
Mostly hamjaajiriwa bado you can talk anything mfano sasa utumishi wametangaza wanataka watu wenye Upper second umeanza kua apply let say na pass yako ya 2.1 you won’t even appear katika interview hapo katika utumishi Wa Umma Ndugu yako anakuingizia wapi katika taasis? Jibu ni it’s not easy as you think young man Utumishi siku hizi wamefanya mfumo umekua mgumu takataka zote unatema mi nakumbuka mwaka 2015 nilifanya interview na mtoto wa Kigogo wa taasis ambayo inahitaji watu nilimuona kwenye shortlist ya majina ya wanaotakiwa kufanya interview DUCE yule demu hakupata ajira ile na mimi mpaka leo nipo hapo. So ondoeni mentality za kushikwa mkono hata kubebwa huwezi kumbeba nungunungu atakuchoma na miba
 
Mi nina Gamba la hapo SUA si haba chochote kinawezekana ukijituma

SUA kuna kozi nyingi mkuu, GPA SUA, inategemea na kozi na kitivo (college). Hata hivyo ushauri wako mzuri kwa vijana. Hongera pia kwa kusoma SUA.

College of Veterinary medicine and Biomedical Science, GPA za hapo zinafahamika mkuu. Ukikunja 2.7+ unavimba sio kidogo. 😊
 
Na je sisi wataalam wa computer
Wazee a practical bado mtaangalia GPA mtumishi πŸ₯ΉπŸ₯ΉπŸ₯Ή
 
Hapana mkuu kwanza kumaliza tu mpaka last year wewe tayari unavimba mkuu
 
Sidhani
 
Food science mwanazoni tulikua tunasema unakua baba kishe au mama lishe..

Ila waliosoma daaah aisee kuna watu wanakula.mizigo aiseee.
Kama BVM duuuh ule moto hapana kabisa, ile kweli ya wanaume kule ukute mti ana 4 oooh oooh oooh

Braza vyuo vikubwa vyote kuna Vitivo "Colleges", inafahamika wazi mbona hata mkiwa pale, watu wa Kitivo gani na kozi zao ni "Manamba". Labda kama siku hizi hamtumii hiyo kauli ya Manamba, enzi zetu tulikuwa tunaitana "Manamba".. unakuta kijamaa kinapiga "Molecular Biology"...
Mtu anapiga BSc Rural Development, unataka akose 3.5+ atakuwa mzembe sio kidogo. 😊
 
GPA itakufungulia milango mingi, mfano siku hizi ajira nyingi watu wanatuma maombi kwa kuambatanisha gpa, shirika linaeza kuona waombaji ni wengi sana hivyo wakawapunguza kwa kuwachuja kwa gpa za kuania 3.8
Shirika Gani Hilo kwa hapa bongo !?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Daaha jamaa unagusa madude ya moto tuu hiyo molecular biology hiyo....

Kuna hizi zetu sio social sciences....
Ila hiyo Rular Development πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nasikia shule kwa Gen Z imekuwa rahisi sana siku hizi! Nasikia shule imekuwa rahisi siku hizi. Sina hakika lakini. 😊
Rahisi sana sana..
Ila sasa naona mambo yamebadilika huku vyuoni ili ufikie hizo course basi inabidi uwe na 1 kali sana sana..

Ila SUA moto wake upo vile vile ukienda shallow pale sahau kabisa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Daaha jamaa unagusa madude ya moto tuu hiyo molecular biology hiyo....

Kuna hizi zetu sio social sciences....
Ila hiyo Rular Development πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

SUA wanayo Rural Development lakini ni BSc. Sijui kama wameitoa, nimemaliza chuo Waziri Mkuu Lowassa mkuu. 😊
 
Kwann mkuu
Kwanini
Why
Hapa unayozungumzia, nafasi hizo zinahusiana na fedha, uchumi, na biashara. Kuna ushindani mkubwa sana kwa watu waliohitimu masomo haya na ni wengi mno, hata vilaza wapo humo (watoto wa vigogo). Hizo nafasi 83 ni chache sana kwa mtoto wa masikini ambaye hana connection kupata labda bahati tu.
 
Pia wafanye sana extracurricular activities; chochote unachopenda iwe ni kufundisha, michezo, kujitolea nk. hii itawasaidia sana kutengeneza interpersonal skills.

Sio unaambiwa ujieleze unakosa cha kusema zaidi ya umri na jina tu.

Halafu waishi vizuri na wakufunzi, wakufunzi ni wadhamini wazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…