Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Daaah hatareee sana mkuu...SUA wanayo Rural Development lakini ni BSc. Sijui kama wameitoa, nimemaliza chuo Waziri Mkuu Lowassa mkuu. π
Faza suala la GPA upo nalo seriously sna aiseeeeUPPER SECOND TU tena Wanakuambia AT LEAST UPPER SECOND elewa neno at least yaani angalau.View attachment 3556774
""Sio unaambiwa ujieleze unakosa cha kusema zaidi ya umri na jina tu.""Pia wafanye sana extracurricular activities; chochote unachopenda iwe ni kufundisha, michezo, kujitolea nk. hii itawasaidia sana kutengeneza interpersonal skills.
Sio unaambiwa ujieleze unakosa cha kusema zaidi ya umri na jina tu.
Halafu waishi vizuri na wakufunzi, wakufunzi ni wadhamini wazuri.
Daaah hatareee sana mkuu...
Hiko kipindi mambo yalikua moto sana aiseee an hiko kipindi unakutana na madude mpaka unajuta....
Unasema bora yule anayesoma mwili mmoja tuu.. sio ile Anatomy
Computer kupata field tu sehemu makini kama CRDB wanaangalia GPA, sembuse kazi?Sasa mkuu sisi wa practical wengi ambao tupo nondo hatuna gpa kali sisi zetu ni zile za kula boom la mama..
Ndo mana nasema sisi hapa mara nyingi wanaaangalia experience yako ya madude je unaweza au
Hivi kwa nini mnasema elimu sikuhizi imerahisishwaRahisi sana sana..
Ila sasa naona mambo yamebadilika huku vyuoni ili ufikie hizo course basi inabidi uwe na 1 kali sana sana..
Ila SUA moto wake upo vile vile ukienda shallow pale sahau kabisa
Wengi wao ni uzembe mkuu, unaweza kukuta mtu yupo vizuri kichwani lakini akija chuo anaanza kuona uvivu kuendelea kusoma. Hahudhurii lectures, vipindi vya practical haji, anasubiri kipindi cha mtihani ndio awe zimamoto na mitihani ya practical unakuta anafelituliosoma.zamani hatujui
lkn hivi kuna mtu anapata GPA ya 2 kweli?
form 4 alipitaje, Form six kwenda chuo alipitaje au ni zile za chupi
Duuuh aiseeee π π π πMimi naona siku hizi Gen Z wana "advantage" ya utandawazi na mambo ya kujisomea yamerahisishwa teknolojia kama Internet na mawasiliano.
Braza mimi Computer nilienda kuijua. Internet kwa mara ya kwanza nimeifahamia chuo kikuu.
Maktaba ni vitabu vitupu, shule ilikuwa ngumu. Hakuna Internet, ukibahatika kuingia Computer Lab, unapewa risaa tuu. Computer Lab muda wote watu wamejaa, unavizia mkali anatoka ndio unakaa na wewe kutumia. Kinyume na hapo uende Internet Cafe zilizo nje ya chuo, ambazo utatozwa kwa muda.
Enzi hizo Free Encyclopedia ya kupata materials ni Wikipedia peke yake. Huwezi ku print, u atakiwa uandike na huku upo kwenye Computer. Kwenye hilo hilo lisaa hujaingia Yahoo news kucheki taarifa, hujajibu Penpals emails, hujacheki blogs.
Hujaingia DarHotWire kucheki cheki.
Enzi hizo unaomba udahili kwa Registrar wa chuo husika, Fomu zilikuwa zinatumwa Posta. Unajaza unazituma tena chuo husika.
Ahahahahah au sio kwahyo mimi mtu wa vibonzo...Computer kupata field tu sehemu makini kama CRDB wanaangalia GPA, sembuse kazi?
Halafu wewe mtu wa vibonzo(animation) sidhani kama ni computer, itakuwa ni media studies. Kwenye media huko kuna ushindani sana lazima wataangalia GPA.
Umemvua nguo mshamba_hachekwi jifiche hivyo hivyoπComputer kupata field tu sehemu makini kama CRDB wanaangalia GPA, sembuse kazi?
Halafu wewe mtu wa vibonzo(animation) sidhani kama ni computer, itakuwa ni media studies. Kwenye media huko kuna ushindani sana lazima wataangalia GPA.
Katika hili kitu mnachokosea ni kuwa si kila pahala vigezo vinatakiwa. Mfano unahitaji mchuchu na mchuchu katika kijiji ni mmoja tu, hivyo hata awe na chongo au anamitusi kama jamaa yangu wa hapa JF, utamchukua tu.Sema huwa najiuliza sana hivi haya mashirika ya watu binafsi yapo vipi.
Kuna sehemu nilienda an kila naemgusa ni form 4 anasema alipofika alifanya practical test basi.. mpaka leo yupo na kati ya kumi wawili tu ndo wansema wametokea chuo
tuliosoma.zamani hatujui
lkn hivi kuna mtu anapata GPA ya 2 kweli?
form 4 alipitaje, Form six kwenda chuo alipitaje au ni zile za chupi
Nachoka mimi mjukuu wa mwandambo...Katika hili kitu mnachokosea ni kuwa si kila pahala vigezo vinatakiwa. Mfano unahitaji mchuchu na mchuchu katika kijiji ni mmoja tu, hivyo hata awe na chongo au anamitusi kama jamaa yangu wa hapa JF, utamchukua tu.
Kuna professions ambazo zina uhitaji wa watu wa hands-on; hizo GPA haina maana au ufaulu. Nitatoa mfano katika IT. Cheti na GPA inatakiwa katika taasisi za taaluma ya kielimu ila huku katika handson, tunahitaji skilled person. Mfano nataka kutengeneza mfumo kama JF, cheti sikihitaji ila namhitaji mtu anayeweza kunitengenezea system ambayo inaweza kufanya kazi zaidi ya JF.
Vigezo kama ana Phd au Masters, au D ngapi etc GPA ya ngapi, ni pale ambapo kuna candidate wengi. Mfano Enzi hizo ambapo wahitimu hatukuwa wengi hapo UDSM, wengi tuliajiriwa bila kuangalia GPA ya first degree.
Mambo yanabadilika kila kukicha nakazia kuwa kwa sasa kama mtoa mada anavyosema lazima kijana kwanza ahakikishe anapasua form four. Ili maisha yake ya baadaye yanyooke. Pili first degree au Diploma yake iwe na first class ili kujihakikishia ufalme wa hapa Duniani siku zijazo. Techinical know who huwa ni short lived
GPA Kali inaweza kuamua maisha yako......Kweli kabisa..
Ila pia kingine GPA kali inaweza kufanya ukabaki chuo kama lecture kabisa hivo wapambane sana hakuna ugumu kabisa wa kushindwa kupata GPA ya 4 na kuendelea..
Hasa hawa wa afya ndo kabisa nyie sio wa kushindwa kutoka na GPA ya 4 n point zake huko.
πππππ
πππππππππGPA Kali inaweza kuamua maisha yako......
Lakini ukitoka chuo chnganya na akili zetu hizi za kina mwajuma!!Β‘!!! Miezi kadhaa lecture wa udsm kajiua kwa kujidumbukiza kwenye kisima sijui karo ukisoma barua aliyoiacha utesema maisha kyuuma mayo.
MUHAS product sijawahi kuona wapo mtaani aiseee..Mwalimu wangu aliwahi kusema Kufaulu mtihani sio kufaulu maisha
Sikuwahi kuielewa hii kauli kwa kipindi kile, ila sasa naielewa nikiwa mtaani.
Kiufupi kaacha slay queen jamaa wamle.πππππππππ
Lecture kaacha ndala....
Tukitoka chuo
Option 1 Winga
Option 2 Wakala
Kumbe ngoja niendlee kukaa hapa kwenye first classGPA sio kwaajili tu ya ajira za kuwa lecturer au mashirika makubwa yaliyo strict kwenye GPA.
GPA itakufungulia milango mingi, mfano siku hizi ajira nyingi watu wanatuma maombi kwa kuambatanisha gpa, shirika linaeza kuona waombaji ni wengi sana hivyo wakawapunguza kwa kuwachuja kwa gpa za kuania 3.8
Kama bado uko shule, tafadhali usicheze, faulu vizuri. Usisubiri upitwe na fursa kwakukosa sifa za kitaaluma.
Mengine ni bahati, connections na kudra. ajira ni chache lazima wabaki watu mtaani, hivyo jiongeze pia kwenye taaluma nyinginezo zikubebe utakapokosa ajira.