@Maxence Melo ikikupendeza tuwekee Grok huku kama wa Elon ili awe anatupatia ufafanuzi wa haraka kwa vitu vinavyotaka uchunguzi kama hii comment ya mdauMpo mliojikatia Tamaa kama nyinyi by the way nafanya kazi katika Second most reputable organisation baada ya BOT nilipata hapo bila kushikwa mkono, tako na mtu yoyote na sikuwa wakishua wala nini! Kama una Qualification we omba tuu
Ulikua wap mkuu kwa solomon mahrangu au Edward moringe ?Mi nina Gamba la hapo SUA si haba chochote kinawezekana ukijituma
MORINGE βπΎKwa Sokoine mwenyew
Mkuu we ndo ulisoma Food consumer SUAMi nina Gamba la hapo SUA si haba chochote kinawezekana ukijituma
Uzoefu, unakuta mtu aliajiriwa kama karani wakati shirika ni jipya, leo ni miaka 10 anapiga kazi.Sema huwa najiuliza sana hivi haya mashirika ya watu binafsi yapo vipi.
Kuna sehemu nilienda an kila naemgusa ni form 4 anasema alipofika alifanya practical test basi.. mpaka leo yupo na kati ya kumi wawili tu ndo wansema wametokea chuo
Aliyechukua simu ya huyu dada arudisheGPA Kali inaweza kuamua maisha yako......
Lakini ukitoka chuo chnganya na akili zetu hizi za kina mwajuma!!Β‘!!! Miezi kadhaa lecture wa udsm kajiua kwa kujidumbukiza kwenye kisima sijui karo ukisoma barua aliyoiacha utesema maisha kyuuma mayo.
Siku nyingine tena..Iyo daku a vinamba ππ
Duuuh hatareeee snaaUzoefu, unakuta mtu aliajiriwa kama karani wakati shirika ni jipya, leo ni miaka 10 anapiga kazi.
Hujawaji kuta ofisi ameajiriwa mtu mwenye degree sababu tu ya cheti chake, unakuta serikali inataka hiyo nafasi awepo mwenye degree ila anayepiga kazi ni form four na anapokea maslahi makubwa tu kuliko mwenye degree nje ya mfumo rasmi wa payrol. Fanya tafiti kwenye mashirika binafsi ya ujenzi unaweza ukakutana na hii kitu.
Majukumu yamekubana saa hv mkuuNipo mkuu, japo nimeadimika sana humu
Nyinyi wenye Pass hizi ndo comment zenuGPA Kwa sasa sio big issue sana wasomi washakuwa wengi sana soko la ajira lishakuwa dogo cha muhimu tafuta skills yoyote ile utakayo iweza then tengeneza connection.
Kuna watu nawajua wamepasua vizur wanna first class lakini now no graphics designer, mwengine ni fundi AC na wengine wanatokea pembeni
Mimi Nina GPA ya 3.5 mkuu japo sina akili kivileNyinyi wenye Pass hizi ndo comment zenu
KwaniniSiku nyingine tena..
Nimegundua watu wa kariakoo wengi hawafungi ππππ
Yaani kule juisi za miwa kila sehemu..Kwanini
ππWanatia watu majaribuniYaani kule juisi za miwa kila sehemu..
Wauza uji na chai wapo daily
Leo asubh nafika tu nakutana na magimbi yale na maziwa daaah moyo ukafanya paaaaah
Nikasema moyoni ""Eeeh M,mungu help me ""
Ilipofika mchana mchana ile show ya kiu daaah
Sema nimekaza sikufungulia