Ushauri kwa wanaotaka kuoa, tafuta mke unayemmudu

Halafu kwenye TV mnalilia 50/50, wanawake ni wa kuwaonea huruma hawajui hata wanacho kipigania, sasa hiyo 50/50 ina maanisha kwenye maeneo gani.
 
Kwa afya ya ubongo na moyo wako, jitahidi uoe mwanamke ambae kwako hajiwezi, na ujitahidi kumaintain hilo, sio kujua hilvyo ndo umtese mwenzio..

Raha ni kupendwa kisha upende.
Nakubaliana na wew mwamba makavel mim tang niingie kwenye mahusiano nadate na wadada wanaonipenda tu na kila time nainjoy life
Mpaka huyu wa sasa nae kazama haelew naona hata nikioa hapa stress za ndoa zitakuwa chache kidogo
 
kOSA LA HUYU MKAKA HADI KUFANYIWA HIVI NA HUYU MWANAMKE NINI ? KOSA NI KUMRUHUSU KWENDA MBALI NA YEYE AU KOSA NI LIPI NIKISEMA ACHA KAZI UNAONA MADHARA YAKE..

 
Ila kweli Billgate si alikuwa anammudu mwanamke wake mbona kamshindwa [emoji1787]
Kummudu is more than financial aspect, wake wa matajiri wengi wanaishi very lonely life, na wananyanyaswa pia kisaikolojia sema tu hawawezi sema
Ndo maana uzi wangu umesema kummudu ni more than financial aspect.
 
Kummudu is more than financial aspect, wake wa matajiri wengi wanaishi very lonely life, na wananyanyaswa pia kisaikolojia sema tu hawawezi sema
Ndo maana uzi wangu umesema kummudu ni more than financial aspect.
Haya mambo hayana guide 📚
 
True
 

Samahani dada[mention]Nakukunda [/mention] hii thread inamda ila nimeisoma leo, naomba kujua uyo mumeo unamzidi kitu chochote kile kati ya ivi KIPATO? ELIMU? MALI? UMRI? AU AINA YA KAZI(HADHI YA KAZI) au BACKGROUND ZA FAMILIA ZENU IPI IPO JUU YA MWENZIE KATIKA IVO? Please nahitaji majibu yako[emoji120]
 
Wakati mimi nikijitahidi kumudu hivyo vyote yeye mwanamke ana mudu nini?
 
Kumekua na threat nyingi Sana watu wanalalamika juu ya changamoto za wanawake kuwa wasumbufu ndani ya nyumba kitu kinachoonesha hatari kubwa kwa kizazi kijacho.

Kilichogundua shetani anajua kuwa wazi ndoa ndio msingi wa jamiii yenye uimara zaidi hivyo hutumia nafasi hii ya dunia hii ya sayansi na technologia kudhoofisha wanaume kupitia wake zao ambao wameumbwa kuwa tegemezi hivyo wao wakipata mafanikio kidogo tu na kutoa mchango kwenye familia kwa lolote ni kosa na hawawezi kuimili coz sio asili yao.

My take kwenye nyuzi nyingi niliziona kwa vijana ambao Bado hamjaoa;
1. Kama kijana kabla hujaoa pambana sana utafute maisha yako binafsi kabla ya ndoa ili akija kwako akute unavyako tayari kama unaweza jenga kabisa hata kama hujajenga kuwa hata na kiwanja ambacho utaanza kujenga taratibu bila kisahau biashara pia.

2. Wanaume kupambane na tuoe mama wa nyumbani coz hakuna maana kila mtu anatoka asubuhi halafu hela yako ndio kila kitu na hela yake hujui wapi anapeleka. Hebu tazama Waarabu, Wapemba na Wahindi familia zao huwa imara sana kwasababu asilimia kubwa wake zao huwa nyumbani tu.

3. Chunguza sana mwanamke wa kuoa kabla ya kufanya maamuzi, ikiwezekana ishi naye kwa muda huku ukijufunza mengi kuhusu na familia yake.

4. Ukiona hata dalili ndogo wakati wa uchumba usipuuzie, tambua kuwa ina maana kubwa sana kwako.

5. Kujitahidi kutunza familia hasa watoto wake kuepusha hizi chuki ambazo wake zetu upandikiza kwa watoto wetu.

6. Usiogope kuacha pale yanapokushinda coz afya yako ni muhimu kuliko ndoa.

Ila cha muhimu kutafuta hela na kumwomba sana Mungu kila siku bila kuchoka ili jitihada zetu zijibiwe katika utafutaji.
 
Mimi naunga mkono hapo kwanini nioe mke anayefanya kazi kama Mimi alafu Hela yake inabaki kuwa yake haisaidii chochote.Mbaya zaidi wote tunarudi nyumbani tumechelewa kutoka kazini.Wote tunatengewa maji ya kuoga na house girl .Wote tumechoka.Wote tunapikiwa na house girl.Kazi ya mke kama msaidizi kwenye familia imechukuliwa na house girl hata kazi ya kukusaidia majukumu na kamshahara kake Bado anakataa.

Hamna umuhimu wa mke hapo na by time utaanza kumpenda house girl akiwa anakupikia vizuri (na utamsifia),akiwa anakuandalia maji na kukupa care zingine ambazo ilitakiwa atoe mke wako.Mbaya zaidi utakuta huyo mke anarudi Kila siku kutoka kazi ukimgusa tu kitandani anadai amechoka.

Tuwe sobber mwanamke kufanywa kuwa msaidizi na Mwenyezi Mungu ilikuwa Ina maana ya kazi za nyumbani pamoja na kulea watoto.Hizo zingine ni ziada na ndiyo maana WAZEE wa kale walikuwa hawaoni maana ya kumsomesha mtoto wa kike.Sababu wanajua provider wa familia ni Baba sio Mama.

Mke atakuwaje submissive akiwa na mshahara wake.Ni wachache wanaoweza wengi wanapatwa na Kiburi na hata kudiriki kusema "Tuachane Nina mshahara na kazi yangu".Kitu ambacho sio rahisi Kwa Mama wa nyumbani anayemtegemea mumewe.Ndiyo maana Kuna mkono wa kushoto na kulia,yote yanafanya kazi ila wenye nguvu na unaotumika kufanya mambo mengi ni WA kulia.
 
Kweli mkuu yaani mke akiwa na mshahara afu na wewe unamshahara ni sawa na serikali mbili ndani ya nchi moja kitu ambacho lazima kitaleta migogoro kama mmoja hajajifanya bwegee.. Ili nyumba iwe na amani lazima mmoja awe na nguvu kuliko mwingine
 
Kweli mkuu yaani mke akiwa na mshahara afu na wewe unamshahara ni sawa na serikali mbili ndani ya nchi moja kitu ambacho lazima kitaleta migogoro kama mmoja hajajifanya bwegee.. Ili nyumba iwe na amani lazima mmoja awe na nguvu kuliko mwingine
Hivi wakuu mmeshakaa mkafikiria kuhusu future ya watoto pale ambapo labda ghafla mwanaume akakakata kamba(kifo) cha ghafla?

Kimsingi naona kuoa mwanamke mwenye kazi sio mbaya kwa upande wa pili kwa sababu watoto pia wanakuwa katika upande salama kielimu na malezi baada ya baba kufariki.

Lakini pia familia nyingi za kiafrika zinatamaduni za kunyanyasa wanawake wajane aidha anaweza fukuzwa au kuporwa mali hivyo kama anakazi inamjengea kujiamini na kama anaelimu anaweza kupambana kisheria zaidi tofauti na mwanamke asie na kazi na hana elimu anakuwa mnyonge
 
Bro wanawake wengi husema hivyo kama point ya kukimbilia hela bro biblia yenyewe ilisema mwanaume atakula kwa jasho na wanamke atazaa kwa uchungu xo kazi ya mwanaume ni kuhakikisha mkewe anakula na kutunza familia.... Why jamii hizi za Islamic waarabu, wapemba na wahindi wanaishi na mke kama goli keeper Kwan hawakujua hilo hila ni kuwa wenzetu walianza na upendo wa familia kwanza yaani familia yako kuanzia baba mkiwa na upendo na pia kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…