Ushauri kwenu wanaume: Acheni kuwadanganya wanawake, elezeni ukweli wenu

Punguza hasira.Hasara itakuja kwako sio kwake.
 
Hao 30+ si ndio mnasemaga wanajielewa,mtu anawaka na afya yake ujue kuna mtu nyuma anaandaa mapishi.
~tafuta 20+ anayejielewa na wewe umtengeneze wa kwako.

ukiona vyaelea ujue vimeundwa
 
Haya mama[emoji16]
 
Exactly, yan kama unataka kuwa mtu wa kunyanduana tuu just say it, sio ohoo nakupenda, hakuna zaid yako, mimi sio kama wengine, we are tired na hizo bullshit jmn.
Kama umeoa sema ukwel kwamba "nimevutiwa na wewe ila mimi nimeshaoa. Au tuwe na mahusiano lakin lengo la kukuoa sina, hata mtu akikubali anajua vipi amejipanga moyoni mwake, ili tuepushe mambo ya kulizana lizana.
 
Tukiwa wakweli mbususu hatuzipati ng'o!
 
Dogo lini umeanza kuishi na mwanamke?
 
Sawa
 
Wanaume wengi hutamani kusema ukweli ila mara nyingi ukweli hauletagi matokeo tarajiwa.

Katika maisha kila kitu huanza na malengo kisha ndiko tunatengeneza mikakati ya kufikia malengo.
Most of us would like to get laid na aina flani ya wanawake. Unakuta mwanamke yuko way of your league ila unamuelewa kishenzi yani theres no way unaweza kumpata bila kufake. Option inakuwa hio hio fake it till you make it.

Af kingine wanawake wa kibongo wengi ni wanafiki sana tofauti na wenzetu wa kitasha. Mwanamke wa kizungu ukitaka kumtia we unakuwa mkweli tu na anakupa mbunye wala hasumbui. Wa kibongo ili umle anaweka vikwazo kibao kikiwapo hicho cha mume wa mtu kuwa hawezi lala na mume wa mtu hapo atakuzungusha hadi akudange dange ndio akugee mbunye japo kishingo upande.
 
Tabu inaanzia ambapo ukiwa mkweli kuwa ni mume wa mtu, huna mishe unaganga ganga njaa tu, huna gari, huna hela we jua ukilisema moja wapo kati ya hayo chances za kupata washeli ya mtoto wa kike
hapa mjini ni O%...

Wanawake wenyewe ndio mnatengeneza mazingira ya kudanganywa ili mkubali kuingia kingi.
 
Pole sana #flower lakini laha si mlipata wote?
 
Na mie demu akiniambia hivyo namuitikia tuu lakini najua nikishamkoleza romance hapo ni mwendo wa kavu. Yaani gharama ya guest nauli chakula vinywaji alafu nigegede na condom! Huo ni ufala sii bora nipige nyeto tuu
Unaroho ngumu kweli...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…