Uchaguzi 2020 Ushauri: Makonda chukua fomu ugombee Urais kupitia upinzani hasa UDP, una nguvu kubwa sana na ushawishi kwenye jamii, utashinda kwa kishindo

Mkuu mi nimeguswa na jina lako tu[emoji3][emoji3]
 
Njia pekee ya kumfanya Makonda kurudi kwa siasa ni kuendelea kuwa mnyenyekevu huku akimsupport baba yake kwenye kampeni kwa kujitolea bila kinyongo...baba yake akirudi atamfikiria hata kumpa ubalozi...ila akijifanya ana ngebe na hana vyeti ataishia kuwa nabii feki
 
Makonda yupo tayari kanisani anaombea wagonjwa .tayari mnafukuzia Gwajima kwa kutoa upako
 
Umejuaje !!?? Maana Makonda tayari ameshajichomeka kwenye kuombea watu kanisani
 
Acha pombe.
 
Makonda hajafika umri wa kikatiba kugombea uraisi.
Mode huu uzi utoeni hauna mantiki.
 
Wajumbe hawana chama, iwe CCM iwe UDP iwe CUF iwe CHADEMA kwenye upigaji kura utawakuta tu wale wale na maneno yenu ni kama haya. Sasa endelea kumdanganya kama alivyodanganywa mwanzo na wajumbe
 
Dah unazidi kumpoteza mwenzako....Makonda hata akiwekwa na kokoto ,basi jua kokoto litashinda kwa 100%
 
We lengo lako tushalijua unataka umpoteze mwenzio.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Angekuwa anajua haya,asingekuwa mjinga mjinga kwa kutukana watu ovyo
 
Hakuna mwanaccm anayeweza kugombea urais bila mbeleko ya vyombo vya dola. Hata hivyo huyo kiazi bashite hajafikisha umri wa kugombea urais, kama kweli kazaliwa 1982.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…