Nakukunda
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 876
- 1,643
Hawa ndo walimdanganya agombee ubunge[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwanza akisoma huu ushauri atakutafuta akupige risasi.!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ndo walimdanganya agombee ubunge[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwanza akisoma huu ushauri atakutafuta akupige risasi.!!
Mkuu mi nimeguswa na jina lako tu[emoji3][emoji3]Makonda ni moja ya wanasiasa mahiri mwenye kipaji cha hali ya juu, ana ushawishi, ana watu, ana nguvu kubwa,anapendwa,anakubalika, anajua kujenga hoja.
Yote hayo sana CCM hawakuyaona,wakamkataa kwenye kura za maoni,kumkataa kwao walikuwa wanatimiza tu injili ya "jiwe kuu la pembeni".
Kwa kuwa akibaki CCM, kifo chake cha kisiasa ki dhahiri na mkuu wetu ameshajiapiza kwamba wenye tamaa hatawarudisha.
Namshauri ndugu makonda ajiunge UDP upendo apeperushe bendera yao akigombea urais. UDP kina mizizi mirefu nchini kote na has a kanda ya ziwa, akija makonda ni kumalizia tu na ataingia ikulu kiurahisi kama anamsukuma mlevi.
Makonda amua sasa au kaa kimya milele
Ndimi
Mjumbe
Umejuaje !!?? Maana Makonda tayari ameshajichomeka kwenye kuombea watu kanisaniNjia pekee ya kumfanya Makonda kurudi kwa siasa ni kuendelea kuwa mnyenyekevu huku akimsupport baba yake kwenye kampeni kwa kujitolea bila kinyongo...baba yake akirudi atamfikiria hata kumpa ubalozi...ila akijifanya ana ngebe na hana vyeti ataishia kuwa nabii feki
Acha pombe.Makonda ni moja ya wanasiasa mahiri mwenye kipaji cha hali ya juu, ana ushawishi, ana watu, ana nguvu kubwa,anapendwa,anakubalika, anajua kujenga hoja.
Yote hayo sana CCM hawakuyaona,wakamkataa kwenye kura za maoni,kumkataa kwao walikuwa wanatimiza tu injili ya "jiwe kuu la pembeni".
Kwa kuwa akibaki CCM, kifo chake cha kisiasa ki dhahiri na mkuu wetu ameshajiapiza kwamba wenye tamaa hatawarudisha.
Namshauri ndugu makonda ajiunge UDP upendo apeperushe bendera yao akigombea urais. UDP kina mizizi mirefu nchini kote na has a kanda ya ziwa, akija makonda ni kumalizia tu na ataingia ikulu kiurahisi kama anamsukuma mlevi.
Makonda amua sasa au kaa kimya milele
Ndimi
Mjumbe
Umelewa mkuu kesho tutaongea vyemaKwenye hiyo post nimeagiza bia?
Wajumbe hawana chama, iwe CCM iwe UDP iwe CUF iwe CHADEMA kwenye upigaji kura utawakuta tu wale wale na maneno yenu ni kama haya. Sasa endelea kumdanganya kama alivyodanganywa mwanzo na wajumbeMakonda ni moja ya wanasiasa mahiri mwenye kipaji cha hali ya juu, ana ushawishi, ana watu, ana nguvu kubwa,anapendwa,anakubalika, anajua kujenga hoja.
Yote hayo sana CCM hawakuyaona,wakamkataa kwenye kura za maoni,kumkataa kwao walikuwa wanatimiza tu injili ya "jiwe kuu la pembeni".
Kwa kuwa akibaki CCM, kifo chake cha kisiasa ki dhahiri na mkuu wetu ameshajiapiza kwamba wenye tamaa hatawarudisha.
Namshauri ndugu makonda ajiunge UDP upendo apeperushe bendera yao akigombea urais. UDP kina mizizi mirefu nchini kote na has a kanda ya ziwa, akija makonda ni kumalizia tu na ataingia ikulu kiurahisi kama anamsukuma mlevi.
Makonda amua sasa au kaa kimya milele
Ndimi
Mjumbe
hahaha umeona mkuu,,, Wenye Vyeti vya Uvuvi Huwa hawana Sofa?Tulio na vyeti vya uvuvi hatuna sifa
Angekuwa anajua haya,asingekuwa mjinga mjinga kwa kutukana watu ovyoUshauri wako ameukataa, amestuka kwamba ninyi ndiyo mnaompotosha, mnmlazimisha kufanya vitu nje ya uwezo wake. Kama hapa unamshauri agombee urais wakati hata vigezo vya urais hamvijui halafu hata yeye hana. Mlishampotosha kuhusu ubunge wakati angeshinda asubuhi watu wangeamkia mahakamani kumpinga kwa sababu ya kutokidhi vigezo na forgery.
Wana Kigamboni wamemsaidia kujua uwezo wake ulipo, either ajiunge na team Gwajima au aanzishe lake.
View attachment 1522440