Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda


Umeshajiuliza swali kwanini mpaka hivi sasa una ' Like ' moja tu? Tuanzie hapa Kwanza.
 
Kama kuna wabunge waliotelekeza watoto,unafikiri watamsema Makonda vizuri?.
Ngoja mishahara ikianza kukatwa kugharimia matunzo ya watoto hapo ndo kazi,
Wanaume wanayooshwa sawasawa.
Kolomije Reloaded!
Hahaha
 
Hao dio wabunge ni vichaka tu. Mimi nafikiri wamewahonga wapiga kura wao. Naomba uchubguti uganyike. Sioni kusema kweli kitu gani wanafanya bungeni.

Sana akili ya kama watoto wa darasa la pili! Hawa ndiyo watu watanzania tuna waachia watunge sheria? Basi sisi tuna hitaji jumpers kwenye ubongo wetu.
 
Umeshajiuliza swali kwanini mpaka hivi sasa una ' Like ' moja tu? Tuanzie hapa Kwanza.
Sihitaji like ya mtu....like kwangu ni kama taka taka tuu hazina msaada wowote ule....wanaotegemea likes huwa wana matatizo ya kisaikolojia.
 
Hivi kilee kitu msukuma alizungumza kuhusu mayai sijui yakununu mengine yanafanana kina ukweli? Na alikuwa anamlengaa nani huyo anaemnunulia mkewe mbegu za mwanaume mwingine?
Google
 
Sihitaji like ya mtu....like kwangu ni kama taka taka tuu hazina msaada wowote ule....wanaotegemea likes huwa wana matatizo ya kisaikolojia.

Ukiona hupati ' Like ' yoyote hasa katika ' Uzi ' wako jua umedharaulika halafu IQ yako haipishani sana na ya ama Makonda au Polepole. Angalau sasa hivi ' Likes ' zinaongezeka zimefikia 5 lakini nashangaa wengine wakiazisha tu ' threads ' zao ndani ya dakika 5 au 10 wanapata ' Likes ' 50 mpaka 75. Kweli sasa naamini kuna Watu wana ' Magundu ' ya asili.
 
Asilimia kubwa ya viongozi wa Tanzania ni useless, wakiona mwenzao anafanya jambo la maana wao watataka kukosoa tu ili wapate kusikika mitaani na kusifiwa kwani jamii kubwa ya watanzania wanapenda sana kusilikiliza ujinga na kufanya kuwa habari mpya ya mjini. Bado tuna kazi sana ya kuelekea 2020, wacha tu Mh. rais atunyooshe ili ujinga ufutike kabisa. Nyerere alijitahidi kutufuta ujinga na ukatoweka kiasi fulani hivi.....kina Mwinyi, Mkapa, Kikwete wakaturudishia kwa kutuaminisha ujinga usio na kichwa wala miguu na mpaka leo hii unaona vijana wetu wanavaa milegezo, wanasuka nywele, kuvaa hereni na kupaka liptick eti ndiyo wanaona ujanja.
 

Wanaoona MAKONDA yuko Sawa wanafanana naye

Nchi lazima iongozwe kwa taratibu
 
Lazima taratibu zifatwe wewe

Ova
 
Rubbish
 
Vp bado anaendelea ? Si anasema hule mkoa wake aendelee sasa!!
 
Haya yote unayoyasema ni mazuri, lakini yakienda kwenye sheria ni sifuri! Hivyo kisheria anayoyafanya Makonda ni sifuri? Na anafanya ki sífuri kwa sababu ya kukosa elimu ya kutosha ambayo ingemwezesha kupambana na tatizo hili kwa kuzingatia mambo mengi hasa ya kisheria! Mtu aliyetumwa kumpiga ngwara Warioba wakati wa Katiba na kweli akatekeleza unadhani ni mtu wa kariba gani huyu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…