omari londo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 1,793
- 1,776
Ni lipi alilofanya???Nchi yetu imeharibika kabisa ,kila likianzishwa Jambo Kuna watu wanajitokeza kulalamika kwamba huo sio utaratibu , Sasa wao wanaojua utaratibu mbona hawafanyi ??
Kuna faida gani mtu anajua taratibu zote lakini hamna anachofanya ??
Kama unajua taratibu zote si ufanye Sasa ?
Hao wabunge wanaomkosoa Makonda nao ni viongozi je wanafanya nini kupunguza watoto wa mitaani majimboni mwao?
Au kushangaa shangaa na kuwapa Mia Mia wale watoto mabarabarani ndiyo solution?
Hata swala la madawa ya kulevya walilalamika hivihivi lakini mwisho wa siku Makonda akaibuka kidedea baada ya madawa kupungua mtaani na mateja kuanza kulilia dawa za alosto.
Kampeni ya Makonda imegeuzwa kuwa kampeni ya kupima DNA na kulazimisha ndoa wakati siyo kweli.
Kama kwenye eneo unalotoka Kuna mama amekimbiwa na kuachiwa watoto awalee ndio utaelewa Makonda anamanisha nini.
Piga kazi Makonda na Mungu akubariki Sana ipo siku watakukumbuka tu ,hata Lowasa walimponda Sana na kumtukana lakini Leo ndio boss wao.
Makonda ni Julius Malema wetu, wabunge wetu watamuelewa tu...''Mamaa they are here today'' , Mamaa Nomuzamo,they are here mama.Wasalaa wana jamvi.
Kwanza nichukue fursa hii kumpongeza sana Mh Makonda kwakuwa mbunifu na kutafuta kila njia kutatua kero za wananchi wako wa jiji la Dares-salaam kwani umekuwa ukifanikiwa sana na kila mwenye macho hujionea mwenyewe.
Kumeibuka tabia kubwa sana hasa kwa wabunge wawili hasa Mlinga na Msukuma kumvizia Mh Makonda kukokosoa kila jambo na huwa hawana wanalo liona jema kwa kila kinachofanywa na Mh Makonda...
Kwanza lazima watu wajue hakuna anayekataa Makonda kukosolewa lakini tulitarajia ukosoaji uwe wa kuboresha na kujenga na sio kukatisha tamaa kwa kila kinacho fanywa na Makonda....kana kwamba huwa hawaoni jema.
Lakini kinacho shangaza kwa wabunge wetu wao husubiri wenzao waanzishe jambo na wao wakosoe tuu huwa najiuliza siku zote wanakuwa wapi? Hivi kwanini tunasubiri watu waanzishe jambo ndio tuone makosa?
Mh Makonda usiache kuwapa dawa wanapo ingia anga zako kama wao kazi zimewashinda acha waache wewe ufanye na kama wanaona kuna makosa wanajua jinsi na utaratibu mzuri wa kurekebisha au wao waanzishe vya kwao kwa njia nzuri.
Hongera sana Makonda.
hebu acha kumfananisha malema na kilaza bashiteMakonda ni Julius Malema wetu, wabunge wetu watamuelewa tu...''Mamaa they are here today'' , Mamaa Nomuzamo,they are here mama.
we pia n kilaza,hiyo kampeni ya bashite lengo kuu n kuchafua kina lowasa na kututoa ktk mjadala wa wizi wenu,ndio maana yule DadaAsilimia kubwa ya viongozi wa Tanzania ni useless, wakiona mwenzao anafanya jambo la maana wao watataka kukosoa tu ili wapate kusikika mitaani na kusifiwa kwani jamii kubwa ya watanzania wanapenda sana kusilikiliza ujinga na kufanya kuwa habari mpya ya mjini. Bado tuna kazi sana ya kuelekea 2020, wacha tu Mh. rais atunyooshe ili ujinga ufutike kabisa. Nyerere alijitahidi kutufuta ujinga na ukatoweka kiasi fulani hivi.....kina Mwinyi, Mkapa, Kikwete wakaturudishia kwa kutuaminisha ujinga usio na kichwa wala miguu na mpaka leo hii unaona vijana wetu wanavaa milegezo, wanasuka nywele, kuvaa hereni na kupaka liptick eti ndiyo wanaona ujanja.
kuchafua kina lowasa kwa kampen ya kikuda ndio ushujaa? nyie fisi wa Lumumba akili zenu zipo makalion ?Wasalaa wana jamvi.
Kwanza nichukue fursa hii kumpongeza sana Mh Makonda kwakuwa mbunifu na kutafuta kila njia kutatua kero za wananchi wako wa jiji la Dares-salaam kwani umekuwa ukifanikiwa sana na kila mwenye macho hujionea mwenyewe.
Kumeibuka tabia kubwa sana hasa kwa wabunge wawili hasa Mlinga na Msukuma kumvizia Mh Makonda kukokosoa kila jambo na huwa hawana wanalo liona jema kwa kila kinachofanywa na Mh Makonda...
Kwanza lazima watu wajue hakuna anayekataa Makonda kukosolewa lakini tulitarajia ukosoaji uwe wa kuboresha na kujenga na sio kukatisha tamaa kwa kila kinacho fanywa na Makonda....kana kwamba huwa hawaoni jema.
Lakini kinacho shangaza kwa wabunge wetu wao husubiri wenzao waanzishe jambo na wao wakosoe tuu huwa najiuliza siku zote wanakuwa wapi? Hivi kwanini tunasubiri watu waanzishe jambo ndio tuone makosa?
Mh Makonda usiache kuwapa dawa wanapo ingia anga zako kama wao kazi zimewashinda acha waache wewe ufanye na kama wanaona kuna makosa wanajua jinsi na utaratibu mzuri wa kurekebisha au wao waanzishe vya kwao kwa njia nzuri.
Hongera sana Makonda.
kuchafua kina lowasa kwa kampen ya kikuda ndio ushujaa? nyie fisi wa Lumumba akili zenu zipo makalion ?Wasalaa wana jamvi.
Kwanza nichukue fursa hii kumpongeza sana Mh Makonda kwakuwa mbunifu na kutafuta kila njia kutatua kero za wananchi wako wa jiji la Dares-salaam kwani umekuwa ukifanikiwa sana na kila mwenye macho hujionea mwenyewe.
Kumeibuka tabia kubwa sana hasa kwa wabunge wawili hasa Mlinga na Msukuma kumvizia Mh Makonda kukokosoa kila jambo na huwa hawana wanalo liona jema kwa kila kinachofanywa na Mh Makonda...
Kwanza lazima watu wajue hakuna anayekataa Makonda kukosolewa lakini tulitarajia ukosoaji uwe wa kuboresha na kujenga na sio kukatisha tamaa kwa kila kinacho fanywa na Makonda....kana kwamba huwa hawaoni jema.
Lakini kinacho shangaza kwa wabunge wetu wao husubiri wenzao waanzishe jambo na wao wakosoe tuu huwa najiuliza siku zote wanakuwa wapi? Hivi kwanini tunasubiri watu waanzishe jambo ndio tuone makosa?
Mh Makonda usiache kuwapa dawa wanapo ingia anga zako kama wao kazi zimewashinda acha waache wewe ufanye na kama wanaona kuna makosa wanajua jinsi na utaratibu mzuri wa kurekebisha au wao waanzishe vya kwao kwa njia nzuri.
Hongera sana Makonda.
igizo LA bashite kuchafua kina lowasa limefeli,mnaounga mkono igizo hilo n vilaza ka yyNENO
Ndugu yangu umeandika kwahisia sn ili kutetea upuuzi! mfumo pekee wa kuwakomboa kina mama na jamii nzima ni uislam pekee hivyo mfumo wowote utakaotumika ni batili na ni dhuluma kwa wanadamu,sasa unasema mke mmoja mme mmoja kwa mifumo ya kikafir hlf yasitokee madhara ya watoto wa mtaan tunaishi ktk kipindi wanawake na mabint wanatembea uchi na wanadhurula hovyo ambapo uhuru ndo sera ya mfumo ,sasa kwann uzinifu usiendelee na hatmaye madhara tunayaona kwenye matelevisheni kwahy sifu utakavyosifu hakuna suluhisho mpaka tutakaporejea kwa ALLAH!Nchi yetu imeharibika kabisa ,kila likianzishwa Jambo Kuna watu wanajitokeza kulalamika kwamba huo sio utaratibu , Sasa wao wanaojua utaratibu mbona hawafanyi ??
Kuna faida gani mtu anajua taratibu zote lakini hamna anachofanya ??
Kama unajua taratibu zote si ufanye Sasa ?
Hao wabunge wanaomkosoa Makonda nao ni viongozi je wanafanya nini kupunguza watoto wa mitaani majimboni mwao?
Au kushangaa shangaa na kuwapa Mia Mia wale watoto mabarabarani ndiyo solution?
Hata swala la madawa ya kulevya walilalamika hivihivi lakini mwisho wa siku Makonda akaibuka kidedea baada ya madawa kupungua mtaani na mateja kuanza kulilia dawa za alosto.
Kampeni ya Makonda imegeuzwa kuwa kampeni ya kupima DNA na kulazimisha ndoa wakati siyo kweli.
Kama kwenye eneo unalotoka Kuna mama amekimbiwa na kuachiwa watoto awalee ndio utaelewa Makonda anamanisha nini.
Piga kazi Makonda na Mungu akubariki Sana ipo siku watakukumbuka tu ,hata Lowasa walimponda Sana na kumtukana lakini Leo ndio boss wao.
unaelimu gani mkuu? fikiria kama wanafunzi wangeruhusiwa kufanya mitihani bila taratibu dunia ingekuwaje?Nchi yetu imeharibika kabisa ,kila likianzishwa Jambo Kuna watu wanajitokeza kulalamika kwamba huo sio utaratibu , Sasa wao wanaojua utaratibu mbona hawafanyi ??
Kuna faida gani mtu anajua taratibu zote lakini hamna anachofanya ??
Kama unajua taratibu zote si ufanye Sasa ?
Hao wabunge wanaomkosoa Makonda nao ni viongozi je wanafanya nini kupunguza watoto wa mitaani majimboni mwao?
Au kushangaa shangaa na kuwapa Mia Mia wale watoto mabarabarani ndiyo solution?
Hata swala la madawa ya kulevya walilalamika hivihivi lakini mwisho wa siku Makonda akaibuka kidedea baada ya madawa kupungua mtaani na mateja kuanza kulilia dawa za alosto.
Kampeni ya Makonda imegeuzwa kuwa kampeni ya kupima DNA na kulazimisha ndoa wakati siyo kweli.
Kama kwenye eneo unalotoka Kuna mama amekimbiwa na kuachiwa watoto awalee ndio utaelewa Makonda anamanisha nini.
Piga kazi Makonda na Mungu akubariki Sana ipo siku watakukumbuka tu ,hata Lowasa walimponda Sana na kumtukana lakini Leo ndio boss wao.
Hata huko Zanzibar, Saud Arabia , Jordan Kuna watoto wamekimbiwa na baba zaoNdugu yangu umeandika kwahisia sn ili kutetea upuuzi! mfumo pekee wa kuwakomboa kina mama na jamii nzima ni uislam pekee hivyo mfumo wowote utakaotumika ni batili na ni dhuluma kwa wanadamu,sasa unasema mke mmoja mme mmoja kwa mifumo ya kikafir hlf yasitokee madhara ya watoto wa mtaan tunaishi ktk kipindi wanawake na mabint wanatembea uchi na wanadhurula hovyo ambapo uhuru ndo sera ya mfumo ,sasa kwann uzinifu usiendelee na hatmaye madhara tunayaona kwenye matelevisheni kwahy sifu utakavyosifu hakuna suluhisho mpaka tutakaporejea kwa ALLAH!
Toa unyumbu kichwani utaelewa logic behindHivi unawezaje kuandika maujinga marefu hivi??? Somebody here help me!!!
KWA ASILIMIA NGAPHata huko Zanzibar, Saud Arabia , Jordan Kuna watoto wamekimbiwa na baba zao
Wewe unayejua taratibu mbona husaidii chochote?unaelimu gani mkuu? fikiria kama wanafunzi wangeruhusiwa kufanya mitihani bila taratibu dunia ingekuwaje?