johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Baba yake alikua akiitwa nani?ndiyo maana anapenda uvamiviHayo yamebainika leo wakati mkuu wa mkoa wa Dsm alipokuwa anawasalimia wanajeshi katika kambi ya Mgulani. Makonda alisema yeye ni mwenzao kwani alikulia kambini kwa kuwa baba yake alikuwa ni mwanajeshi. Makonda alisema baba yake alipigana vita mbalimbali ikiwemo ile ya kumfurusha Nduli Idd Amin mwaka 1978 na alipata ulemavu akiwa analitumikia jeshi. Paul amesisitiza kuwa hali hiyo ndio inampa ujasiri na uzalendo uliotukuka unaomfanya aweze kulimudu Jiji hili gumu la Dsm. Source TBC!
Wewe wasema!Yohana mbatizaji ndo unavyoojita?
Anasema “baba yake mzee Makonda” alikuwa mwanajeshi. Na mzee Bashite yeye alikuwa naniWewe wasema!
Mimi sijui kama maana ya neno UZALENDO imebadirika. Uzalendo wa Mhe. Makonda unapatikaje?Hayo yamebainika leo wakati mkuu wa mkoa wa Dsm alipokuwa anawasalimia wanajeshi katika kambi ya Mgulani. Makonda alisema yeye ni mwenzao kwani alikulia kambini kwa kuwa baba yake alikuwa ni mwanajeshi. Makonda alisema baba yake alipigana vita mbalimbali ikiwemo ile ya kumfurusha Nduli Idd Amin mwaka 1978 na alipata ulemavu akiwa analitumikia jeshi. Paul amesisitiza kuwa hali hiyo ndio inampa ujasiri na uzalendo uliotukuka unaomfanya aweze kulimudu Jiji hili gumu la Dsm. Source TBC!
Bado anakusanya pesa ya kulipia. Nadhan unajua kwamba watumishi wa serikali kuu hatupokei mshahara mkubwaaaaa.Sasa mbona amekosa ujasiri wa kwenda kukomboa kontena zake 20 pale bandarini.
Hana ujasiri wowote, ujasiri wake unatokana na kuwa toto pendwa.
Kama habari zilizoletwa ni sahihi, basi alisema “baba yangu mzee Makonda alikuwa mwanajeshi”Wangemuuliza baba yake huyo anaitwa nani? Hapo angepata kigugumizi cha mwaka