Hampokei mshahara mkubwa lakini mnauwezo wa kuagiza kontena 20 zisizopungua bilioni 2.....[emoji851][emoji851][emoji851]Bado anakusanya pesa ya kulipia. Nadhan unajua kwamba watumishi wa serikali kuu hatupokei mshahara mkubwaaaaa.
Ni kweli mkuu mgambo wengi sana walienda vita ya Kagera. Wengine ilikuwa zombazomba tu, almuradi una miaka 18, unabebwa na kuwa trained to shoot to kill. Ndo story.Mmmh! kila mtu mwenye baba yake aliyeshiriki vita IDD amin atasema baba yake alikua mwanajeshi!
Kupitia jeshini hakukufanyi kuwa mzalendo. Wako walio pitia huko na bado ni wajanja wajanja tu. Uzalendo unaanzia ndani ya moyo wa mtu binafsi,kuipenda nchi yake na si kwa mazoez ya jeshi.Natamani wakina Lisu &co wangepitia jeshini pengine wangekuwa wazalendo
Hajaghushi vyeti. Hizo ni mbinu za kijasusi.Vp swala la forgery ya vyeti nalo ni ujasiri wa kijeshi ama?!
Ni fedha za wahisani wapendao maendeleo yetuHampokei mshahara mkubwa lakini mnauwezo wa kuagiza kontena 20 zisizopungua bilioni 2.....[emoji851][emoji851][emoji851]
Its dumbful act trying to decorate this creature at this very moment! 20 containers of furnitures .. An average government employee WHAT FOR... FOR GOD'S SAKE!Hayo yamebainika leo wakati mkuu wa mkoa wa Dsm alipokuwa anawasalimia wanajeshi katika kambi ya Mgulani. Makonda alisema yeye ni mwenzao kwani alikulia kambini kwa kuwa baba yake alikuwa ni mwanajeshi. Makonda alisema baba yake alipigana vita mbalimbali ikiwemo ile ya kumfurusha Nduli Idd Amin mwaka 1978 na alipata ulemavu akiwa analitumikia jeshi. Paul amesisitiza kuwa hali hiyo ndio inampa ujasiri na uzalendo uliotukuka unaomfanya aweze kulimudu Jiji hili gumu la Dsm. Source TBC!
Naona leo umeamka CambridgeIts dumbful act trying to decorate this creature at this very moment! 20 containers of furnitures .. An average government employee WHAT FOR... FOR GOD'S SAKE!
Hahahaa... Ufipa utawaweza?!Naona leo umeamka Cambridge
Haka kakitu kana maajabu you just find yourself spitting slaying like ze kingiNaona leo umeamka Cambridge
hana historia nyingi mtoto wa bosiHayo yamebainika leo wakati mkuu wa mkoa wa Dsm alipokuwa anawasalimia wanajeshi katika kambi ya Mgulani. Makonda alisema yeye ni mwenzao kwani alikulia kambini kwa kuwa baba yake alikuwa ni mwanajeshi. Makonda alisema baba yake alipigana vita mbalimbali ikiwemo ile ya kumfurusha Nduli Idd Amin mwaka 1978 na alipata ulemavu akiwa analitumikia jeshi. Paul amesisitiza kuwa hali hiyo ndio inampa ujasiri na uzalendo uliotukuka unaomfanya aweze kulimudu Jiji hili gumu la Dsm. Source TBC!
Na mimi nitakunywa nikienda kwenye interview.Haka kakitu kana maajabu you just find yourself spitting slaying like ze kingiView attachment 780114
Hata Lowassa alipigana vita vya Kagera japokuwa Makongoro Nyerere anadai hajawahi kumuona huko Mutukula!Sifa za kijinga