Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Mbona anachapa kazi sana tu juzi alikuwa kwenye birthday Tandale
 
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana utendaji wa Rcs, nashawishika kuamini kwamba Makonda ni mmoja wa Rcs bora kuwahi kutokea katika jiji la Dsm. Na ni mfano wa kuigwa na Rcs wengine, si maanishi anawazidi, maana yangu ukiangalia na ukubwa na changamoto zilizoko Dsm. Agrey Mani, anafanya Vizuri. Gambo, Hapi, Robert Gabriel wa Geita, n.k. ukimuona anampinga basi tambua ana lake jambo
 
[emoji848]
 
Anthony Mtaka anafanya vizuri sana, usimsahau!
 
Nimeamini kweli some time kuna wanaume dizaini ya Amber ruthy, wewe ni mmoja wapo utakuwa unaliwa Kiboga tu
 
Habari wana JF Siasa.

Mada hapo juu yajitanabaisha. Kila analotaka Kushughulikia mheshimiwa RC Makonda huishia pabaya huku watu wakiumizwa, kudhalilishwa, kugawanywa na jamii kupasuka vipande.

Mathalan,
1. Madawa ya kulevya.

2.Wanawake waliotekelezewa watoto.

3. Sakata la sasa la Mashoga na watu wengine wa jinsia moja.

Karibuni tuchangie.
 
Elimu, elimu, elimu. My president candidate during 2015, i think was a winner of that but goli la mkono kwa Tanganyika and Jechalization in Zanzibar. Haya ndio matokeo yenyewe undefined
undefined
undefined
 
TATIZO LA HARAKATI NYINGI ZA MAKONDA HUWA ZINAKUWA ZINALENGA KUWADHALILISHA WATU FULANI EITHER VIONGOZI WA VYAMA VYA UPINZANI, VIONGOZI WA DINI AU VIONGOZI WA TAASISI AMBAO KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE HUWA WAMETOFAUTIANA NA SERIKALI/MAKONDA MWENYEWE.
Ukute na wengine anawalipa ili wajitokeze
 
Kwa sababu wajinga na waerevu hawatoisha katika jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…