Kuonyesha tu azma ya kudhibit suala flan lisilokubalika kijamii ni hatua ya awali na muhim sana. Kufanya utekelezaj sasa ni hatua nyingine inayohitaji nguvu ya pamoja wakiwemo wanaopinga. mi kinachonikera ni mfano mtu anamcritisize ooh mambo ya mashoga aachane nayo. Ooh omba omba wana haki kuwemo. Mtu aanze na kujijibu je suala flan kalileta makonda lina tija kwa jamii yetu?Ishu ni kwamba anaanzisha jambo hamalizi kadakia jingine hajamaliza kadakia jingine..Kiufupi hana mipango na hajui anatakiwa afanye nini
Ilisemwa bungeni na jamaa hakuambiwa afute hivyo inabaki kama ilivyo kwenye hansadHahaaaa Ishki majinuni ndo nini mkuu
Je wana Dar es Salaam kwa sasa wanataka kupambana na ushoga au kuna kero nyingine nyingi zinatakiwa kufanyiwa kazi. Ni kweli ushoga umekithiri sana lakini hiyo ndo priority kwa sasa??Kuonyesha tu azma ya kudhibit suala flan lisilokubalika kijamii ni hatua ya awali na muhim sana. Kufanya utekelezaj sasa ni hatua nyingine inayohitaji nguvu ya pamoja wakiwemo wanaopinga. mi kinachonikera ni mfano mtu anamcritisize ooh mambo ya mashoga aachane nayo. Ooh omba omba wana haki kuwemo. Mtu aanze na kujijibu je suala flan kalileta makonda lina tija kwa jamii yetu?
Inamaanisha nini??Ilisemwa bungeni na jamaa hakuambiwa afute hivyo inabaki kama ilivyo kwenye hansad
Kwa hiyo kwa ni mtihani kapata karai=sifuri=zero=0 sio..Tota jiji lianze Nadhani ndiye mkuu wa mkoa asiyejua nn anatakiwa kufanya. Wananchi wengi wa dar wanaona kapwaya Sana. Sifa yake kupiga domo tu na Hana Mipango inayotekeleza. Toka aingie miezi hii michache Hana cha kujivunia
tuanzie kuchochea hapo
swissme
Hata wa mikoa ya mbali wanataka mabadilikoKwa kinondn no no no no jmn angetafutiw ht mkoa wa mbali akafanyie mazoezi hp kichwa kitabust mana coni jipya zaidi ya macfa ya kale.
Jamaa simuelewi kabisa anaruka ruka mambo leo hili kesho vile in short hafanyi mambo kikamilifu.Kwa nini hujui Arie??
Ana shida kubwa huyu ndungu yetu..Jamaa simuelewi kabisa anaruka ruka mambo leo hili kesho vile in short hafanyi mambo kikamilifu.
Ishu ni kwamba anaanzisha jambo hamalizi kadakia jingine hajamaliza kadakia jingine..Kiufupi hana mipango na hajui anatakiwa afanye nini
Hiyo picha inaelezea kila kituπππππ
Ni sheeder...Ana shida kubwa huyu ndungu yetu..