CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,929
View attachment 408201
"HONGERA MAKONDA"
4-uvaaji wa kofia ngumu kwa abiria na. Bodaboda
NINGEFURAHI;Ningefurahi zaidi kuona Viongozi kama MAMEYA wanamuunga mkono ili wananchi wa Dar tupate maendeleo na kuwa na DSM mpya.
Tunatofautiana sana mi natamanigi isiwashwe kabisaDaah sio siri aise hakuna kitu kinakera kama mtu upande basi safari yenyewe ndefu kama nn afu ss unakuta old songz mwanzo mwisho hahahahahaha daah hii kitu inaboaa sana afu ile mmebakiza kama dkk 45 mfike unakuta konda anawawekea movie kali au ndio nyimbo kali anaanza kuweka hii kitu inakera sana aise maana unaweza kupanda yutong ukahisi upo kwenye scania tuu
Mzee huna radio nn kwakoDaah sio siri aise hakuna kitu kinakera kama mtu upande basi safari yenyewe ndefu kama nn afu ss unakuta old songz mwanzo mwisho hahahahahaha daah hii kitu inaboaa sana afu ile mmebakiza kama dkk 45 mfike unakuta konda anawawekea movie kali au ndio nyimbo kali anaanza kuweka hii kitu inakera sana aise maana unaweza kupanda yutong ukahisi upo kwenye scania tuu
Hahahaha nnayo aise iMzee huna radio nn kwako
[emoji343]Hahahaha nnayo aise i
Hayo yote yanahitaji kamanda Sirro asaidie ambaye kamtuhum anapokea rushwa.1. Omba omba Dar,
2. Kuhamisha wamachinga kariakoo,
3. Kupaka rangi kila nyumba,
4. Kusaka watu wasio na ajira kila nyumba,
5. Kusaka wanaojiuza,
6. Kuwakamata mashoga wote,
7. Usafi Jijini Dar,
8. Walimu kupanda bure. n.k