Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Huyo Daudi Albert Bashite pia amesikika akisema angetaka angewaomba wale jamaa wa Kigamboni (Azimio) ardhi yeye na mkewe na wangepewa hata hekari kumi, Bashite amezoea kupewa tu sijui yeye hua anatoa nini?
 
Atafungua kesi kwa jina lipi!!!!
Makonda au bashite?

Hii nayo bado ni choice ngumu kwake.

Kujiuzulu ni rahisi zaidi kwake na asitake kujificha nyuma ya mahakama kama alivyofanya dpp huko arusha kwenye kesi ya Lema.
 
Huyo Daudi Albert Bashite pia amesikika akisema angetaka angewaomba wale jamaa wa Kigamboni (Azimio) ardhi yeye na mkewe na wangepewa hata hekari kumi, Bashite amezoea kupewa tu sijui yeye hua anatoa nini?
Labdaa jicho mkuu c unajuaa tenaa mambo ya binadamuu ayaaa
 
Huyo Daudi Albert Bashite pia amesikika akisema angetaka angewaomba wale jamaa wa Kigamboni (Azimio) ardhi yeye na mkewe na wangepewa hata hekari kumi, Bashite amezoea kupewa tu sijui yeye hua anatoa nini?
Dalili mbaya sana kwa mwanaume kuombaomba.
 

Peter sitaki kukuweka kwenye kundi la wasiosoma maana wewe ni msomi

ila kwa dunia ya sasa hii hii ya kutoa matokeo magazetini, kwenye websites, kubandika mashuleni...kweli hakuna matokeo ya Bashite?? au matokeo ya Paul kagenzi/mayenga??

achilia mbali vyeti/result slip

je huyo aliyeuza cheti kakosekana kabisa kuhojiwa/kupatikana???

anafanya nini huyo mtu? kama kaajiriwa mahali aliendelea na vyeti gani??

kweli kwa dunia hii ya sasa hakuna pics za matokeo hayo??

ebu niambie msomi mwanasheria.
 
Ushauri mzuri sana huu. Tuhuma hizi lazima zithibitishwe, zikiachiwa hivi hivi utakuwa ndiyo mchezo wa kila siku watu wanapotofautiana kiutendaji.
 
Akienda mahamani kwa kuchafuliwa mwambie pia ajiandae na yeye kuburuzwa huko huko kwa kuchafua wenzie tena yeye amechafua wengi sana
 
Mmaliza utata wote ni Paul Makonda wa Dar
 
Mbowe ni zaidi ya Phd holder, anafanya mambo makubwa sana ya kuongoza jamii kubwa sana Tanzania, issue ya Makonda ni tuhuma za kutumia vyeti ambavyo si vya kwake, pengine imesababishwa na utendaji wake wa kazi, kwa hiyo jamii ikaoanisha na uwezo wake kielimu ndipo ikakutana na hizo tuhuma,
Mbowe vyeti alivyoorodhesha kwenye mamlaka husika ni vya kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…