Je mwanaume kila siku kumsakama mtu mmoja kisa wivu tu badala ya ku-concentarte na maendeleo yake?Dalili mbaya sana kwa mwanaume kuombaomba.
Yaani Umesema ukweli kabisa. Mpaka mitandaoni watu wanalipwa kisa Makonda. Tujiulize kwa nini sasa ndio Makonda anashambuliwa hivi kisa madawa ya kulevya. Tujiulize je tungetumia nguvu hii kupiga vita madawa ya kulevya je tungekuwa tumeokoa vijana wangapi?!?!Kuandamwa kwa Makonda kunathibitisha juu ya upana, urefu na kina cha vita dhidi ya Madawa ya kulevya. Na kwa watu walio neutral kwa hili suala la kutaja au kutotaja majina, binafsi naona kutaja ni "effective" kuliko kwenda kimya kimya.
Wauza unga ni ruthless. Ukimtazama Gwajima tu ujasiri alionao - outrageousness of an impostor - katika kuwadanganya waumini wake, unajua kabisa kwa nini ilimuuma sana kumtaja, na unaelewa kwa nini atatumia njia yoyote ile kujisafisha. Hawa watu ni mbwa mwitu ndani ya ngozi ya kondoo. Kuwaexpose for what they are ndio njia pekee ya kuwashinda. Kama wasemavyo wanasaikolojia wa vita: Mjue adui ndani na nje upate kumshinda.
Makonda anaweza kuwa na mapungufu mwngine lakini kwa hili la kuwataja waziwazi yupo sahihi.
Kwani Mbowe amedanganya jina?Vyeti vya Mbowe mmepotezea mpaka Leo!
Mkuu Daudi si unamfahamu vizuri kwa kupenda kusimama mbele ya Media? Atafanyaje sasa wakati cheti hana angekuwa nacho angeita Waandishi wa habari tena kwa mbwembwe nyingi tuMkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, nakuandikia ujumbe huu mfupi kupitia mtandao huu wa kijamii wa Jamiiforums kutokana na kinachoendelea dhidi yako. Mitandaoni kunaandikwa na kusemwa kuwa unahusika na kutumia cheti ambacho si chako cha kidato cha nne. Wapo wanaofikia hata kukuita jina la Daudi Albert Bashite.
Najua wewe ni kiongozi wa kiserikali: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Najua kuwa Rais alikuwamini kila idara inayokuhusu kabla ya kukuteuwa kuwa katika nafasi hiyo. Najua kuwa Rais anakufuatilia kila uchao kama mteule wake. Najua pia nafasi yako kiuongozi inakupa heshima na hadhi tofauti katika jamii ya watanzania.
Kuambiwa kuwa umetumia cheti cha mtu mwingine kwakuwa wewe ulifeli kwa kupata sifuri (kulingana na Mchungaji Gwajima) ni suala kubwa. Ni suala linalogusa maadili,heshima na hata utendaji wako. Cheti ndicho kinachompa mtu nafasi fulani ya kimaisha katika jamii na ndiyo maana kinapaswa kwanza kuwa cheti chake mwenyewe muhusika.
Kelele nilizozisema hapo juu zikiendelea zitaonekana ni ukweli. Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda, nakushauri ufanye hivi. Kama unaamini kuwa unachafuliwa na kutwezwa kwakuwa kinachosemwa si kweli, waburuze mahakamani wote wanaokuchafua na uwadai mabilioni kulingana na heshima na hadhi yako. Tafadhali usitumie vyombo vya dola kwa mambo yako binafsi.
Muda wa kuweka kumbukumbu zako sawa ni huu kwakuwa unapaswa kuuanika ukweli juu ya kinachosemwa. Zinatumika media katika suala hili kwakuwa nawe ni mtumiaji mzuri wa media hizo. Nawe tumia media kujisafisha na kutangaza kuwashughulikia kimahakama wote wanaosema hayo, kama wanayoyasema si kweli. Kama ni kweli, endelea kukaa kimya.
Mbowe hana tuhuma ya kutumia vyeti vya kulangua/ kununua kwa mtu, issue ya vyeti feki iko kwa Daudi Bashite, kwa hiyo jikite kwa daudi Bashite zaidi kuliko kumjadili Mbowe wakati hahusiki hapa...Tumeshafungua thread nyingi tu ila mpaka sasa hamjatupa majibu ya kueleweka! Bado tunaendelea kuwakumbusha pale inapotokea nafasi ya kufanya hivyo!
Kufeli sio dhambi duniani na kila mtu aliwahi kufeli kwa namna fulani maishani, tatizo kununua cheti we jomba. Hebu tuambie Mbowe alipofeli alifanya fraud? Alinunua cheti?Vyeti vya Mbowe mmepotezea mpaka Leo!
Umeelewa lakini leah2 ?Mleta mada jichunguze na uanasheria wako
Mkuu mbona unarudia makosa yaleyale? Huyu anaitwa Daudi Bashite jina Makonda wa Dar linatokea wapi?Mmaliza utata wote ni Paul Makonda wa Dar
Alimalize hili tuone hilo jingine litakalokuja siyo kujifanya mnataka kukimbia ukweliTatizo sio vyeti.. tatizo ni vita iliopo... Hata likimalizika hili la vyeti mtasikia lingine tena...
Njoo PM uniambie ili nikiandikeNimekuelewa vzr sana lkn unaonekana unaogopa kuandika unachokiamini hapo ndipo unaponipa hofu
Vyeti vya Mbowe mmepotezea mpaka Leo!
Pm tena? Tunaficha nn kwani? Wewe ongelea hapahapaNjoo PM uniambie ili nikiandike
Haya niambie ili niandikePm tena? Tunaficha nn kwani? Wewe ongelea hapahapa