Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda


Tatizo ni kutokutumia cheti chake halisi hata kama kilikuwa na F FFFFFFF zote ila mradi ni chake!! There could have been no issue.
 
Je kama ikithibitika ni kweli anatumia vyeti vya mtu na sisi tumfanye nn??
 
Mbona Mwigulu alitoa ufafanuzi ambao kila aliyemsema waka kaa kimya Makonda nini kinakushinda kama kila kitu kipo sahihi kwa nini usiondoe hizi kashfa hii inaathiri hata familia yako
 
fungua thread inayomuhusu Mbowe.
Sorry mkuu; unataka kunambia Mbowe nae hatumii jina lake halisi? Au sijakuelewa? Maanake hadi dada zake tunajua wanatumia jina hilo hilo la Aikael Mbowe na wana fanana fanana na of course hata historia ya jina lake la Freeman amewahi kuitoa kwamba baba yake mzee Aikael alikua miongoni mwa fighters wa uhuru wa nchi hi na huyu freeman Mbowe alizaliwa mwaka 1962 wakati Tanzania inapata jamuhuri na hapo ndio baba yake akaona amuite huyu kijana wake mpya kwa jina la Freeman kwasababu mzee wake alijihisi kua yupo huru; may be we unajua tofauti; nilio yaandika niliwahi kumsoma Freeman Aikael Mbowe mwenyewe na sijawahi kumsoma Bashite anywhere kuhusu usahihi wa jina lake so binafsi basi nipo njiapanda kama hilo jina lake la sasa ni la kweli au sio lake!?
 
Tena mi nashangaa Bashite Mkuu siku anawaapisha alitamba kuwa wateule wake wote "warikuwa na mastaze", imekuwaje sasa kwa huyu? Au ndo Bashite Mdogo kwa ujanja ujanja wake mwingi alipeleka tena cheti feki cha "Mastaze"???
 
Tumeshafungua thread nyingi tu ila mpaka sasa hamjatupa majibu ya kueleweka! Bado tunaendelea kuwakumbusha pale inapotokea nafasi ya kufanya hivyo!
Endeleeni kukumbushia kwenye thread inayohusika, huku kutapanya kama bata mtajibiwa kweli?
 
Vyeti vya Mbowe mmepotezea mpaka Leo!

Hii sio njia ya kumsaidia ndugu Davy, kukosa vyeti kwa Mbowe (kama kweli) hakuondoi zero yake. Tumia muda huu kumshauri a-reseat mtihani kuondoa zero! Asante Mkuu.
 
Mbona Mwigulu alitoa ufafanuzi ambao kila aliyemsema waka kaa kimya Makonda nini kinakushinda kama kila kitu kipo sahihi kwa nini usiondoe hizi kashfa hii inaathiri hata familia yako

Kama Makonda Cheti cha form four hana ataonyesha nini? ungekuta kishafika Clouds Tv na radio kuonyesha vyeti vyake, sasa kabanwa mbavu!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti kama ni kweli kaa kimya.... Mtamuua Bashite wa watu na presha, this is too much for him,
 
Tumeshafungua thread nyingi tu ila mpaka sasa hamjatupa majibu ya kueleweka! Bado tunaendelea kuwakumbusha pale inapotokea nafasi ya kufanya hivyo!
Ni kweli mlifungua lakini hapa anaongelewa mtumishi wa serikali mwenyewe tuhuma ya kutumia cheti cha mtu kitu ambacho ni kinyume cha sheria sasa subiri siku mbowe akiwa mwajiriwa wa serikali ndio ulete Uzi wake
 
Daaa!!kilichochochea huu moto zaidi ni ile post ya mke wake instagram akijiita mama Daudi na ilikuwa january 2016.Lol!!
 
Makonda ni Usalama wa Taifa, wana kawaida ya kubadili badili majina na huwa wana disco sana vyuoni then wanarudi kwa kozi nyingine.

Kwa hiyo yeyote anayemsema makona ajue kosa lake ni sawa na atakaye kisema kivuko cha MV Dar es Salaam.
 
Alimalize hili tuone hilo jingine litakalokuja siyo kujifanya mnataka kukimbia ukweli
Am impartial to the politics... ukwel wameanza kuukimbia wauza unga.. unga ndo topic ilio tufikisha hapa.. saiv tumesahau topic kuu tumeamia kwenye vyeti..

Ni kawaida ya neno "mbona" kuja pale mtu anapo banwa ili kwenda sawa na anaekubana au ili ufe na mtu... kwn icho chet kapata juzi? amegushi jana au juzi? walikua wapi toka kua chaguliwa hadi kuapishwa kwake? kwann topic ya chet ije baada ya unga? na walio leta ni wale watuumiwa?

Huku ni kupoteza uelekeo wa kupambana na unga. Kwan tokea mwanzo wange leta haya madai kama kwel walikua na nia ya vyeti.. kuleta madai ya vyeti ni kuzingira na kuficha mapambano dhidi ya unga...

Watanzania tunataka mapambano dhidi ya unga hatujalishi mpambanaji ana elimu gan au ni wa chama gani.. yeyote anae pambna tuta muunga mkono tu. Mtu kutafuta udhaif au mashaka fln kwa mtu unae mjua siku nyingi ila unaleta mezani mashaka yake baada ya kupambana na unga sisi tuna tafsir una weka vikwazo vya mapambano na kupoteza uelekeo wa mapambano ya unga..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…