mweeeh kama wewe ndo mpiga debe wake nampa pole sanaa.Hakika huyu mtu kazi yake nimfano wa kuigwa hakika anakipawa cha uongozi ni mtu wa maamuzi, mchapa kazi na mtetezi wa wanyonge anatendea haki wana daresalamaa ASANTE JPM kwa kutuwekea kijana uyu mwenye uthubutu hapa daresalaam
Hakika huyu mtu kazi yake nimfano wa kuigwa hakika anakipawa cha uongozi ni mtu wa maamuzi, mchapa kazi na mtetezi wa wanyonge anatendea haki wana daresalamaa ASANTE JPM kwa kutuwekea kijana uyu mwenye uthubutu hapa daresalaam
Hakika huyu mtu kazi yake nimfano wa kuigwa hakika anakipawa cha uongozi ni mtu wa maamuzi, mchapa kazi na mtetezi wa wanyonge anatendea haki wana daresalamaa ASANTE JPM kwa kutuwekea kijana uyu mwenye uthubutu hapa daresalaam
It is a standard practice now. From which bush are coming, my friend?Usichanganye Utumishi wa Umma na Vyeo vya kisiasa.
Makonda oyeeeeUnahangaika sana
Wivu tu makonda juuJembe la kugushi vyeti,jembe la koromije,Mtu awezi k ..utoka misungwi aje kua jembe dar haiwezekani.Watoto wa mjini akina Jk utasemaje?
Weka chako makonda oyeeeacha kulia leta cheti
Kabisa mkuuaiseee kumbe!
It is a standard practice now. From which bush are coming, my friend?
Makonda oyeeeaHSANTE KWA KUTUPOTEZEA MUDA .....
ATUWEKE VYETI VYAKE....FULL STOPNakushauri uache kuyachochea haya mambo.
Maana ninyi ndiyo mnaoendelea kufanya haya mambo yasiishe.
Mpaka sasa hakuna anayeujua Ukweli, siyo wale wanaomsifia wala wale wanaompinga.
Kama kuna Upande una Ushahidi Ulete huu mjadala Uishe.
Nchi inashindwa kufanya mambo ya muhimu kisa mtu mmoja, NI AIBU.
Ahsante kwakujua kua makonda nijembeaHSANTE KWA KUTUPOTEZEA MUDA .....
Hapa Kali tu majungu kwenuACHA MANENO WEKA ..........................?
Lina lima dar na mafuno tunayaonaLipeleke likalime nyumbani kwako
Hapa kazi tu majungu peleka kwenuVipi, mmeoleana! Qualification YA KWANZA ya kazi serikalini ni CERTIFICATE walau ya Form Four. Vipi shemejio au mume mwenzio Bashite anacho?
Hapa kazi tu wivu tuachie waimba taarabuNafikiri kuna umuhimu wa hizi thread zingine tusi comment kabisa coz ni upuuzi mtupu. Nafikiri uliandika bila kushirikisha kichwa chako la sivyo hata wewe ni zero brain tu kama huyo Bashite.
Juu koromije,misungwi kule usukumani lakini so hapa mjini,hapa mjini hatulimi hatuna majembe.Wivu tu makonda juu
Ahsante mkuu tuwasaidie hawa wanaojihita wanaelimuUsichanganye Utumishi wa Umma na Vyeo vya kisiasa.