Kabla ya ukuu wa wilaya na sasa ukuu wa mkoa alikuwa wapi? hebu na wewe jipe muda wa kufikiri,pengine utatoka na hoja ya maana.Ushauri wako hautekelezeki, Makonda nje ya mfumo wa ccm ni dead body, wape ushauri huu watu kama Hussein Bashe, Msukuma, Gachuma,Jah people and likes watakuelewa.
Mo Dewji hakugombea tena ubunge ili asimamie biashara zake vizuri, haya niambie Makonda a.k.a Daud Bashite akipigwa chini ukuu wa mkoa achilia mbali kujiuzuru je atakwenda wapi? Muwe mnajipa muda wa kufikiri.
Tulia uandike vizuri ueleweke.Napenda kumpongeza Mkuu wa mkoa wa Dar kwa ubunifu anaozidi kuuonyesha kadri siku zinavyosonga, hakika anastahili sifa tungepata kama yeye kwenye mikoa mingine wananchi wangekuwa na imani kubwa na serikali ya awamu ya tano
watapinga kama polepole alivyopinga kuwa maneno ya kikwete hayakuwa kwa ajiri ya magufuli.Wapingaji watapinga
Sawa dadaNapenda kumpongeza Mkuu wa mkoa wa Dar kwa ubunifu anaozidi kuuonyesha kadri siku zinavyosonga, hakika anastahili sifa tungepata kama yeye kwenye mikoa mingine wananchi wangekuwa na imani kubwa na serikali ya awamu ya tano
Ubunifu gani mkuu?Napenda kumpongeza Mkuu wa mkoa wa Dar kwa ubunifu anaozidi kuuonyesha kadri siku zinavyosonga, hakika anastahili sifa tungepata kama yeye kwenye mikoa mingine wananchi wangekuwa na imani kubwa na serikali ya awamu ya tano
Sasa kama haueleweki wasipinge?Wapingaji watapinga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
RC MWENYE KUJUA NN ANACHOFANYAWeka namba za simu akupunguzie pesa upate bando na uje umsifie tena ila kwa kufafanua vizuri. Punguza alaka ulihisi mtu atakuwahi nini kumpongeza
si sisiemu si sidiem ila ni MKEREKETWA
Nchi hii imefurika wajinga!RC MWENYE KUJUA NN ANACHOFANYA
SALUTE MAKONDA RC