BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
good pointUnajuwa tungeweza kuifanya Tandale kama kivutio cha watalii kama wenzetu wa nchi za nje wanavyo tunza sehemu walizo zaliwa au kukulia watu maarufu. haijalishi kama ni uswahilini au la.
Unajuwa tungeweza kuifanya Tandale kama kivutio cha watalii kama wenzetu wa nchi za nje wanavyo tunza sehemu walizo zaliwa au kukulia watu maarufu. haijalishi kama ni uswahilini au la.
Naelewa unavyo sema mkuu, lakini watu wakianza kupata kipato kutokana na hao watalii wataachana na uhalifu. Maeneo kama Brooklyn New York au Soweto SA yalikuwa ya ovyo lakini hali ya usalama inaimarika mwaka hadi mwaka. Uhalifu unaongezeka pale kazi zinapokosekana. Diamond angekuwa hana hela na yeye angekuwa anajidunga sindano Tandale, lakini hali sio hivyo sana ana pesa.Mkuu Tandale watalii watakabwa saa sita mchana mbele ya kadamnasi kule, hakufai. Tembelea uone mkuu, mateja wanatinga mbele ya kituo cha Polisi 24/7
Mkuu ungejaribu kutaja hayo mazuri.Habari wanajamvi
Tujikumbushe
Leo ni miaka miwili tangu Mh Makonda ateuliwe kuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam.
Napenda kuchukua nafasi hii kumpongeza kwa dhati kwa kazi nzuri anazoendelea kuzifanya kwa kusukuma mbele gurudumu la maendeleo ya jiji la Dar es Salaam.
Amefanya mambo mengi mazuri,yanayoonekana kwa macho na kufurahiwa na wananchi,namuombea kwa Mungu aendelee kumpa nguvu ili aweze kukamilisha yote yanayopaswa kwa maendeleo ya jiji na mustakabali wa Taifa.
Mungu ibariki Tanzania.
Unayajua mkuu nimeona nisiyandike uzi ukawa mrefu bila sababu za msingi na kuokoa muda pia.Mkuu ungejaribu kutaja hayo mazuri.
Atakwambia: mafanikio katika vita dhidi ya mihadarati.Mkuu ungejaribu kutaja hayo mazuri.
Madawa...Unayajua mkuu nimeona nisiyandike uzi ukawa mrefu bila sababu za msingi na kuokoa muda pia.
Iv mihadarati alifaulu au alifeli? Mim nashindwa kuelewa.Atakwambia: mafanikio katika vita dhidi ya mihadarati.
mafanikio katika vita dhidi ya upinzani wa kisiasa nchini.
mafanikio katika vita dhidi ya matumizi ya shisha.
mafanikio katika vita dhidi ya ukahaba na ushoga nchini.
Utaona orodha ndefu yenye nyimbo za sifa za kumtukuza wa magogoni.
wewe lazima utakuwa mbunge wa ulangaUnajuwa tungeweza kuifanya Tandale kama kivutio cha watalii kama wenzetu wa nchi za nje wanavyo tunza sehemu walizo zaliwa au kukulia watu maarufu. haijalishi kama ni uswahilini au la.
Diamond hawezi sasa.Unajuwa tungeweza kuifanya Tandale kama kivutio cha watalii kama wenzetu wa nchi za nje wanavyo tunza sehemu walizo zaliwa au kukulia watu maarufu. haijalishi kama ni uswahilini au la.