Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Usifananishe makonda na vitu vya kijinga. Huyu jamaa ana kipaji cha uongozi. Na ni kijana mdogo sana anafanya mambo makubwa vijana sisi wa umri wake hatuwezifanya
Kweli hakuna kijana anayeweza kufanya huo uzwazwa
 
Huyu ndio mtoto kipenzi wa JPM kwa tarifa yako. Utamaliza soli ya kiatu bure
 
Ni uandishi mzuri lakini punguza unafiki na wewe! Uandishi huu kama unaemwambia anaweza akakuchukia zaidi wewe kuliko hata huyo unaemchongea.
 
Naamini katika kila jambo Makonda analolifanya lazima alishauliza kwa boss wake ndipo anaenda kutenda na ndiyo nidham ya kazi hafanyi kwa kukurupuka angekuwa haulizi angeshapishana nae siku nyingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…