Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Waache tu bhana wanajua wenyewe WANACHOPEANA sirini!!
 
Acha Wafu wawazike Wafu Wao

Bazazi
 

Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo mkuu, Makonda Ana kibri/ n.a. mwisho wa watu wenye kibri siku zote huwa ni mmbaya
 
Mbaya zaidi haumtukuzi vizuri kama zamani, japo Rais hayupo ili atukuzwe, lakini wewe ndo uliyaanzisha yaendeleze, hata mkipeana mkono, hunyenyekei kama zamani, unampa mkono mmoja, huoni kina Gambo, na Mongela
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sikio linataka kuzidi kichwa, pia ungeweka tupicha twa kunyenyekea vs kutokunyenyekea ingependeza sana mkuu
 
Amefika mahali amwona boss wake ni bogus tu. Ndiyo shida ya kumwamini mtu kupindukia. Dawa yake ni transfer Katavi. Hakuna Tv kule.
 
Kila mtu anajua Juliana Shonza ameingia choo cha kiume mwenyewe hana wa kumlaumu.....nilivyoana Clouds fm wanamuuliza swali naibu waziri mtu ambae wimbo wake umekatazwa anaweza kutumbuiza nje ya nchi?the same day diamond nae anashow nje nikajua naibu waziri Ruge kamuingiza choo cha kiume bila ya kujua kwa kifupi mchango wa kura kwa CCM kwa Diamond ni mkubwa zaidi kuliko upupu wa akina Shonza na Mwakiembe wote wawili hawana faida yeyote kwa CCM ni mizigo Makonda yupo sahihi kwenye hili.
 
Naibu rahisi[emoji85] [emoji196]
 
Haya Majungu haya!,du!,hakika mna uzoefu wa kutosha,hongereni sana,
 
Naibu raisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…