Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Mbona katika picha zako hzo mbili sijaona makonda akitoa mikono miwili
 
Huu utararitubu wa kuwahoji watumishi mbele ya Raia,bila kuwapa nafasi ya kufanya Rejea ya kumbukumbu mbalimbali inawadhalilisha sana watumishi wa Umma,haifai kuachwa kuendelea.
Wafanya siasa wasichanganye siasa na utaalam.
Kama afisa ardhi anakesi 150,hizo zilizomfikia mkuu wa mkoa hazikufikishwa kwa afisa ardhi.
Mkuu wa mkoa asikilize malalamiko ya wananchi,baadaye ndio awaite maofisa ardhi kuwahoji ofcn kwake,kuepusha kudhaliisha taaluma za watu.Hakuna asiyefahamu mfumo mbovu wa umilikaji ardhi Nchini.
 
Mnamsafisha tuu muuliza maswali mkutanoni...semeni kuwa hakuanguka pia ile picha ilimchukua vibaya
 
Mzee mzima unaleta post za kutungwa kumsafisha Makonda. Ulikuwepo wakati Paul anashuka?
 
Mlitaka afe?maana mikono yenu imejaa dhambi za umauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…