Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Duh! Kweli toka Adam na Hawa hajatokea na hatotokea kama mkuu huyu wa mkoa, nimekukubali lazima tukutukane tu, ya nini kutumia hekima kubwa nasi tushazoea matamko tureact? Hekima za nini kwa njaa hii, kuchanganyikiwa huku, we are too emotional not intellectuals bana. Long live the king!! Tuingie barabarani, tutakuchukia na parables zako unajifanya Yesu!!
 
Sema utawatambua vilaza kirahisi, kwa sababu inahitaji average thinking kutambua ujumbe uliohudhurisha, ambae hajaelewa aidha hajasoma content au kilaza
 
True. Nimegundua watu wanaoomchukia makonda wengi ni vijana. Na wanamchukia kwa sababu ya mafanikio yake ambayo vijana wengi hawajayafikia. Kwanza sio muoga, I like his calibre, he ga guts. Well done Makonda
Pole sana, mtoa post kakuchanganya kweli, hata mie najua hivyo hivyo anamsifiiia mheshimiwa Makonda,
 
Kama umetambua ktk utatuzi ws matatizo mengi ni lazima kuwe na vipaumbele hapo wewe ni binadamu msomi ulie elimika vzr.

Hili la utatuzi wa matatizo sidhani hyo 2% umeikokotoa kutoka wapi. Itapendeza ukiweka data za utafiti wako kuhusu utekelezaji wa ahadi za Makonda.
 
Kweli nilisoma mistari michache sana...Mungu aniondolee mtazamo mbaya juu ya Mh. Makonda maana sio vizuri kumchukia Mtumishi huyu wa Mungu, na neno la Mungu laniambia kuhubiri upendo zaidi.
Barikiwa sana mtumishi, nilimsoma twitter ya mshirika mmoja anaitwa Wema Sepetu alimwita mtumishi wa bwana. Anafanya kazi ya Mungu kabisa huyu DC
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Amemsifia wapi mkuu na wakati amemtukana mwanzo mwisho?

Huoni ameonyesha changamoto nzito za jiji lkn jamaa kakomalia ujinga tu?

Ha ha ha ha ha ha nafurahi sana kukutana na Members ' Geniuses ' humu JamiiForums kama Wewe ' Mtani ' wangu.
 
Hayo uliyoorodhesha yako juu ni kiutendaji na uwezo wa mkuu wa Mkoa.. Angeweza ... lakini ameamua kushughulika na mambo rahisi.
 
Nakusoma sana mkuu
Wale akili robo hawatakuelewa

Na nimegundua kuwa wapo wengi sana humu Mkuu halafu ' ninawasanifu ' na ' kuwadharau ' pasipo hata Wao kujua. Sasa naanza kuamini kuwa kuna tatizo kubwa la ' Elimu ' nchini Tanzania na sasa hatuna tena ' Intellectuals ' bali tuna ' Wahitimu ' wa Vyuo Vikuu wa hovyo hovyo tu. Huu ' Uzi ' nautumia kama sehemu yangu Kuu ya Kuzipima IQ's za wale wanaojiita ' Great Thinkers '.
 
Nilisoma heading tu nikaacha,nikarudi Mara ya pili kuusoma wote nikakuelewa ,

Siku nyingine uwe unajitahidi sana kutokurupuka halafu ukiona GENTAMYCINE nimekuja na ' bandiko ' humu uwe nalo makini sana huku ukishirikisha vyema kabisa IQ katika kulielewa vinginevyo utaanza ' Kunitusi ' na ' Kunikashifu ' kama ulivyofanya mwanzo na ili kuonyesha kuwa Wewe siyo ' mstaarabu ' Kwangu hata hujaomba radhi ila hata hivyo kwakuwa Sikukuu ya Pasaka inawadia nimekusamehe kwa jina la Baba Kristo wa Nazareth aliye hai. Uwe na amani!
 
Ahaaa kumbe! Very sorry Gent.Ni vile nafsi zetu zimechafuka an hatutaki hata kuona majina haya ya kishetani.
Samahani mleta mada, asante mkuu Kwa kunishtua.
It is about sarcasm.

Endeleeni tu ' Kunitukana ' kama mnavyopenda ila kuna Siku ' thamani ' yangu humu mtakuja kuikumbuka. GENTAMYCINE ni zaidi ya umjuavyo Mkuu na ndiyo maana umeona uliponitukana hapo juu wala sijakujibu kwa ' matusi ' japo hayo ' matusi ' hapa ndiyo ' Headquarters ' Kwake. Nilijua tu kuwa baadae ungekuja kujigundua kuwa umenikosea mno adabu. Acheni kuwa ' mnakurupuka ' tu kusoma Headings halafu mna jump into a conclusion. Wengine ' Uandishi ' wetu umebobea sana katika ' Fasihi ' na Hoja ' Fikirishi ' zaidi hivyo ukija kichwa kichwa au kama hujauandaa vyema ' Ubongo ' wako kamwe hutoweza kunielewa humu hata siku moja.

Nimekusamehe na kuwa na amani pia.
 
Sisi Waislamu tunamuelewa sana hitaji letu kuu lilikuwa ni kujengewa makao makuu ya Bakwata na amewaleta GSM wanatujengea.

Hatuna tena ugomvi na mfumo kristo wala msheikh wetu kitowa waraka kama wafanyavyo Wagalatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…