Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Na mpaka muda huu ' nimewadaka ' wengi sana Mkuu.
Mkuu hili bandiko lako linastahili litumike kupima ubora wa elimu yetu.
Maana nasikia malalamiko mengi sana ya udhaifu au uduni wa elimu yetu.

Haiwezekani watu wakashindwa(fail) somo la ufahamu(comprehension) kwa kiwango hiki kama wamepata elimu bora shuleni na vyuoni.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Usituponde wa bara mkuu[emoji19] [emoji19]. Nasi tumeelewa
Hakyanani hili lijamaa linapenda sifaa balaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Akhsante sana Mkuu na hujakosea nipo vizuri na nimebobea mno katika Uandishi wa ' Kifasihi ' na ' Fikirishi ' kwa 100%.
 
Ni kwanini watu hawasomi mada na kuzielewa?

Unaweza ukaandika ujumbe wa kumkejeli mtu halafu ukashangaa yule mtu uliyemkejeli ana "like" na kukupongeza huku akishangilia.

WanaJF pendeni kusoma andiko zima kabla ya kujibu.
 
Ni kwanini watu hawasomi mada na kuzielewa?

Unaweza ukaandika ujumbe wa kumkejeli mtu halafu ukashangaa yule mtu uliyemkejeli ana "like" na kukupongeza huku akishangilia.

WanaJF pendeni kusoma andiko zima kabla ya kujibu.
Hili nimewahi kuliona ktk maisha halisi
 
Ungeongezea na

8.Kufoji vyeti (Zero brain)
9. Kuvamia Clouds TV
10. Kumpiga mzee Warioba
11. Kuratibu utakaji na mauaji

Ningekuunga mkono 100%
 
wewe na makonda lenu moja
mnaficha maovu kwa kujifanya mnasaidia watu..kumbe ni chatu
 
Kama unamwelewa huyo go check your IQ. It must be very low...
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji1] kwa wenye uelewa tuu!hapa tumekuelewa maana si kwa tafsida hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…