Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Makonda akisoma kichwa cha habari atakimbilia kuisoma habari shukuru akikuelewa kama misukule wengine wanaokupiga madongo utapona lakini akikuelewa kama nilivyokuelewa mimi na Mngoni Petro Mselewa utapelekewa watu wasiojulikana Jumbani yako.
 
Mkuu wewe ni kichwa aisee. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Watu wote hatulingani mtazamo, ndo maana utakuta mwingine anamtetea kibaka, mwingine anavamia na kuua Kisha anafutlrahia. Mwingine anaona kinyaa hata kumwona kuku akila mahindi yake, so kila mmoja anamwono wake, nawe unapenda kutetea yakuoendezayo kwa huyo zero brain
 
Umesoma yote...?
 
k
Kauli ya dhihaka na kejeli! Hata hivyo nimeelewa vipaumbele vyako kama ungekuwa wewe ndiye Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam! Hata hivyo kumbuka kwamba:
1. Uchafu wa Dar es Salaam ni dalili ya watu wa Dar kuwa wachafu!
2. Vibaka ni dalili ya kutowajibika kwa wana Dar katika ulinzi jamii!
3. Mfumuko wa bei ni dalili ya uzembe wa kutokufanya kazi (kuzalisha) au kulundikana Dar es Salaam bila kazi!
4. Tatizo la maji? Mbona mradi wa kuleta maji kutoka Ruvu unaendelea? Umekata tamaa?
5. Tatizo la foleni? Mradi wa mabasi yaendayo kasi na treni ya Mwakyembe, vimefeli? Mradi wa flyovers umefeli?
6. Wamachinga kufanyia biashara barabarani ni sawa? Vipi jengo la Machinga Complex?
Ukiona mambo yote kwa jicho la husda, utapata shida sana!
Kumbuka pia kwamba watoto wanaotelekezwa ndio hao wanakuwa vibaka! Kushughulikia suala hilo ni muhimu kwa siku za usoni jambo ambalo watu wenye mtizamo hasi wanaweza wasilione! Inahitaji kuliona kwa jicho la tatu!
Tujitafakari!
 
Mtz weka hela kwenye maandishi atakufa masikini nimeamini Leo GT niliowategemea mmeniangusha
 
Hahahahha ye hayo ya kuachika ndio anayaona ya kuyafanyia kazi na toka lini matamko yake akayafanyia kazi mzee wa matamko
 
your Chandler game is [emoji1491]
[emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zinauma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…