Mkwaju Ngedere
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 1,046
- 874
Heri ya pasaka wana w jamvi,
Huwa najiuliza kila siku sipati majibu.
Huyu bwana Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar anapata wapi pesa za kulipia haya matangazo mubashara kwenye TV?
Nasema hivyo kwa sababu ofisi za wakuu wa wilaya na mikoa ni miongoni mwa ofisi za Serikali ambazo hazina bajeti au zina mafungu madogo mno.Pesa nyingi zinapelekwa kwenye halmashauri.
Sasa huyu Mkuu wa mkoa bwana Makonda anapata wapi pesa hizi za kulipia kwenye matamasha yake haya yasiyoisha?
Mdau mmoja wa TV aliniambia kituo kinachorusha matangazo kwa bei nafuu na hii ilikuwa 2015 ni 160,000,000 (16 milioni kwa saa) .
Huyu bwana anaenda hewani kwa masaa yanayozidi manne mpaka matano.Kituo zaidi ya kimoja Radio na TV. Pesa anapata wapi? Kutoka kwenye bajeti ipi sasa ?
Wakati bajeti ya maendeleo ni 46% (2017/2018)tu imetekelezwa? mwaka huu pekee amefanya matamasha zaidi ya mawili.
Maswali ni mengi itoshe tu kusema inawezekana kuna watu wanakamuliwa kwa matamasha haya.
Sasa kama hujui siukaushe waje kujibu wanaojua mzeeOFISI YAKE IKO WAZI , NAMBA YAKE YA SIMU INAJULIKANA, NA YEYE ANATOA NAFASI KWA WENYE DHATI YA KUJUA MAMBO YANAYOHUSU MAENDELEO YA MKOA WAKE KUTUMIA NJIA HIZO KUPATA TAARIFA HIZO, SASA NDUGU YETU SISI HATUNA JIBU MTAFUTE !! NA HIZO TARAKIMU ULIZOANDIKA NI MILIONI 16 ? AU MACHO YANGU MABOVU?
Uchochezi huu jamaniElewa kuwa huyo ni "Naibu Rais".
Vyeti mkuu hatutaki double standardWakuu.huyu jamaa na mapunguf yake yoote,ila kaz ya ukuu wa mkoa anaiweza,..nafuatiliaga mikutano yake ma mahojiano yake,...anauwezo mkubwa wa kujieleza na kueleza maswala hususan ya mkoa huu...plus jitihada zake mbalmbal etc...namskiliza kwenye kipima joto hapa ITV,..yuko vzur
Bila chuk wala vijiba,wala roho mbaya wala wivu
.jamaa yuko vzur.
Narudia tena,sina chama,wala,sina shobo na mtu kutafta namna fulan ya wadhifa.
Hapana...ni jus mtazamo tuu
Toa kinyesi chako hapa...... ShubamittWakuu.huyu jamaa na mapunguf yake yoote,ila kaz ya ukuu wa mkoa anaiweza,..nafuatiliaga mikutano yake ma mahojiano yake,...anauwezo mkubwa wa kujieleza na kueleza maswala hususan ya mkoa huu...plus jitihada zake mbalmbal etc...namskiliza kwenye kipima joto hapa ITV,..yuko vzur
Bila chuk wala vijiba,wala roho mbaya wala wivu
.jamaa yuko vzur.
Narudia tena,sina chama,wala,sina shobo na mtu kutafta namna fulan ya wadhifa.
Hapana...ni jus mtazamo tuu
Wakuu.huyu jamaa na mapunguf yake yoote,ila kaz ya ukuu wa mkoa anaiweza,..nafuatiliaga mikutano yake ma mahojiano yake,...anauwezo mkubwa wa kujieleza na kueleza maswala hususan ya mkoa huu...plus jitihada zake mbalmbal etc...namskiliza kwenye kipima joto hapa ITV,..yuko vzur
Bila chuk wala vijiba,wala roho mbaya wala wivu
.jamaa yuko vzur.
Narudia tena,sina chama,wala,sina shobo na mtu kutafta namna fulan ya wadhifa.
Hapana...ni jus mtazamo tuu
Na kuna maelfu ya watanzania wametimuliwa kazi kisa elimu, why yeyeKawaida ya mtu muovu Lazima atafute jinsi ya kuficha unafiki wake.Mpaka leo ameshindwa kuthibitisha elimu yake sasa ana credibility gani huyo katika jamii?