Semistocles
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,932
- 1,127
we ni bure kabisa..Sio hoja za kijinga watoto wote ni followers wa joti,wanaiga kila kitu mpaka huko kuigiza kama mwanamke...kidogo kidogo wataanza kufanya yooote ambayo wanawake hufanya.kwann aigize kama mwanamke?umewahi jiuliza hilo swali?inawezekana hata yeye mwenyewe hajui kuwa anatumiwa kuinject spirit ya ushoga kwenye jamii...hasa watoto.sio kila kitu cha kukosoa.hii sio siasa ni maisha halisi ya watoto wetu.unaboa sometimes kuingiza siasa kwenye kila kitu
umenena. ni wivu unawasumbuaWivu mbaya sana, mwenzio akikuzidi maisha dawa yake na ww Fanya kazi kwa bidii sio majungu.
Ndio maana ccm wameamuwa kugawa vyeo vyote kwa makada wake, maana nchi hii imejaa wasomi uchwara, mazuzu kibao kwenye thread wameshindwa hata kuelewa mantiki ya thread hii.duu ama kweli ujinga mzigo....
watu hawajui hata definition ya fasihi!!
Ebu nitajie Avator na username ya makonda!!Muheshimiwa mtukufu, kijana hodari na mchapakazi Comredi Paul Makonda leo naongea wewe,
Nikiwa kama mkaazi na mzaliwa wa Jiji hili tangu likiitwa Mzizima napenda leo niungane na wewe kupiga vita vitendo vya ushoga na kupambana na element zote za ushoga, lakini nimebaini vita yetu hii imeshaferi kabla hatujainza, maana kila nikiwaangalia watoto zetu huku mtaani wanampenda sana Joti wa Ze Comedy, sasa shida inakuja kwa huyu Joti kuimudu vyema nafasi ya kuigiza kama shangingi la mjini lililokubuhu, sasa huoni hii vita yetu ya kupambana na ushoga tayari inakwamishwa na kina Joti?
Kwakuwa sina muda wa kukuletea hili ofisini lakini nimeona wewe ni active member wa hapa JF na utapita na kusoma uzi huu ili tujuwe tunamdhibiti vipi Joti kwanza ili kuokoa vijana wetu ambao wanamkubali sana?
Karibuni wadau tutafute ufumbuzi wa swala hili kwanza kwa maoni ni nini kifanyike?
Akili yako ni ndogo sana kuweza kung'amuwa nilichoandika.Tv za dar!!!! Wewe haufai hata kua kiongozi wa familia maana unaonekana mbaguzi sana, kama umetaka marufuku ipigwe kwanini usimwombe mwenye mamlaka kama waziri akapiga nchi nzima umebagua za dar? Unamaanisha kama kuna baya linawafaa wa mikoa tofauti na dar?
Kweli kabisa mkuu 200% nakupa. Vipo vingi vya kuigiza ila sio ushoga wa JotiMuheshimiwa mtukufu, kijana hodari na mchapakazi Comredi Paul Makonda leo naongea wewe,
Nikiwa kama mkaazi na mzaliwa wa Jiji hili tangu likiitwa Mzizima napenda leo niungane na wewe kupiga vita vitendo vya ushoga na kupambana na element zote za ushoga, lakini nimebaini vita yetu hii imeshaferi kabla hatujainza, maana kila nikiwaangalia watoto zetu huku mtaani wanampenda sana Joti wa Ze Comedy, sasa shida inakuja kwa huyu Joti kuimudu vyema nafasi ya kuigiza kama shangingi la mjini lililokubuhu, sasa huoni hii vita yetu ya kupambana na ushoga tayari inakwamishwa na kina Joti?
Kwakuwa sina muda wa kukuletea hili ofisini lakini nimeona wewe ni active member wa hapa JF na utapita na kusoma uzi huu ili tujuwe tunamdhibiti vipi Joti kwanza ili kuokoa vijana wetu ambao wanamkubali sana?
Karibuni wadau tutafute ufumbuzi wa swala hili kwanza kwa maoni ni nini kifanyike?
Frankly speaking huwa dipendi joti anavo igiza kama mwanamke japo aki igiza kama mwanaume mimi ni shabiki wake namba moja, ananiboa sama anavo igiza kama mwanamke alaf eti na tigo nao wanakubali kumpa nafas ya mwanamke
Astaghafirulah.....Mashoga mko wengi sana, hizi ndio dalili za wazi kupapatikia madume ya mbegu!