Ushauri: Nataka kuacha kula wanga kwa mwaka mzima

Achana nao wapuuzi tu hao.

Wazee wwtu zamani walikula sana wanga hawakuwa na maobesity na visukari vilikuwa vichche.

Wazee wetu zamani walikunywa sana miti shamba na wala figo hazikupata shida ndio maana waliishi miaka mingi sana.
 
Nakazia..
Achana nao wapuuzi tu hao.

Wazee wwtu zamani walikula sana wanga hawakuwa na maobesity na visukari vilikuwa vichche.

Wazee wetu zamani walikunywa sana miti shamba na wala figo hazikupata shida ndio maana waliishi miaka mingi sana.
 
Ndio maana nilikwambia toka Mwanzo kabisa kwamba wewe ni kichaa.
Wewe ni mgonjwa wa akili. Huna unachoeleza zaidi ya majigambo na kashifa. Hebu nitolee shida zako hapa. Hapa sio sehemu ya kuja kutoa stress zako. Jiheshimu punguani weye.
 
Achana nao wapuuzi tu hao.

Wazee wwtu zamani walikula sana wanga hawakuwa na maobesity na visukari vilikuwa vichche.

Wazee wetu zamani walikunywa sana miti shamba na wala figo hazikupata shida ndio maana waliishi miaka mingi sana.
Wazee wa zamani hawakuwa na lifestyle tunayoishi sisi. Tukianza na baba yangu tu hakuwa sawa na babu. My babu hard to work toughly to earn a living. Alikua fundi na mkulima na mwindaji maana alimiki bunduki.
Unlike my dad, who was a govt employee. Hakutumia nguvu kupata kipato. Nakumbuka shambani alikua anawalipa vibarua walime. Same to me. Nimeajiriwa sifanyi kazi za nguvu...blue collar.

Shida sio kula wanga mwingi. Shida ni matumizi ya huo wanga baada ya kuula. Unaufanyia nini huo wanga?
 
Je huyo babu yako alikufa na miaka mingapi ?

Au kama hajafa ana miaka mingapi sasa ?
 
Parachichi ni protein bdo ataongeza mwili
No parachichi ni nzuri sana kwa mtu anaefanya diet. Good source of protein and also fiber.
Asubuhi huwa nakula nusu parachichi + mayai mawili ya kukaanga, bacon na slice moja ya brown bread nashushia na glass moja ya maziwa fresh.
Hapo nashinda siku nzima sijala kitu.
Nakunywa maji tu kwa wingi. Nimefanikiwa kupungua zaidi ya kilo ishirini + kitambi kimepotea kabisa
 
Niliacha kula wanga( mara mmoja mmoja nakula) nimepungua sana sana. Nakunywa capuchino asubuhi, mchana salads tofauti, nazitia Thunfisch, kuku au beef, yogurt matunda na maji mengi.
 
Carbs mwilini hugeuzwa kuwa simple sugars tena ndio zigeuzwe energy. So kuna alternatives
Usahihi ni Kwamba all carbs food building blocks zake ni glucose, so ukila wali, ugali and other carbs food lazima zimeng'enywe into simple sugars (glucose) ndiyo viweze kuwa absorbed into the blood stream. Sasa pale ambapo kiwango cha sugar kimezidi mwilini then inabadilishwa kwenda glycogen ambayo inaweza kuwa stored mwilini kama fatty deposits. Mwili ukikosa tena carbs then hii glycogen inakuwa converted back to simple sugar.
 
Seems your diet comprising of too much lipids and fats.
 
Kuna huyu jamaa wa apple aliamua kuishi maisha yake yote akiwa anakula matunda tu, alikufa.

Ishu ni kwamba kila aina ya kirutubisho mwili unakihitaji so kuamua kustick na aina fulani tu ya virutubisho hapo ni kujiandalia kifo.
 

Kula chakula fanya mazoezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…