Ushauri: Nataka kuacha kula wanga kwa mwaka mzima

Ugali na dagaa mchele wa kulumagia😃😃😃
🤣🤣🤣 Yani mkuu unakuta kabakuli ka mboga kadogo ugali hamuonani na mko saba mnachovya humo. Kweli hapo kuna afya zaidi ya kuwa na miraba saba na kufanya kazi kwa kutumia nguvu badala akili.
Yani mpaka karne hii tuko proud kwa kuwork very hard not working smart.
Ulime ekari saba kwa jembe badala ya trekta
 
Lengo lako nini wewe kufanya hivi ?



Acha uongo wewe.

Sukari ndio mzalishaji mkuu wa nishati katika mwili.

Miili yetu inahitaji sukari lakini haihitaji lsdha ya sukari
Ni kweli asiache sukari kabisa, atumie kidogo kwenye chai na matunda ya sukari ale tu Wala hayana shida, ila soda ndo anaweza kuacha Ili kuzuia kujaza mwili sukari ya ziada angekuwa bonge ndo ningemshauri ale nini na hiyo kufunga Ili apungue ila kutokula wanga kabisa simshauli kuacha ila kula kidogo sana na upande wa vegetables ndo uwe sana pamoja na matunda, niliacha sukari kwa muda wa miaka miwili madhara niliyopata bila kujua mpaka Leo najuta hivyo Kila kitu kwenye mwili ni muhimu ila kwa vipimo sahihi na kuzidi au kupungua ndo kunakoleta matatizo kiafya.
 
Afanye Mazoezi (running)
And everything will control itself automatically.

#YNWA
 
Haya mambo ya unene na ulaji naonaga labda tu ni asili ya mtu si wengine tunabugia kila kitu na bado hatuwi mabonge.
Digestion ya tumboni ndo uhai mkubwa ulipo, sisi bonge miili yetu Ina digest polepole hivyo inabidi tule kidogo kama hatuna kazi ngumu ila nyie wembamba mfumo unadigest haraka na kutoa makapi haraka.
 
Asubuhi kunywa Maziwa fresh au supu yoyote bila kitafunwa,mchana kula kabage na maharage,jioni matunda yasio na sukari....ukiweza baada ya mwezi kitambi kwisha kbsa.. ila sio kazi rahisi mkuu.
 
Chakula kikuu kuwa protein ni very expensive, kibongo bongo ni kusema unakula mboga peke yake.
Alafu unajua hata hiyo protein hatuli ile yenye faida kama wenzetu labda mayai kidogo sawa ila protein yetu kama wanyama hatuli kama wenzetu hata Nchi jirani, mfano butter mafuta ndo protein nzuri sana kwa mwili lakini inauzwa ghali sana, cheese ambayo pia ni muhimu pia ni ghali sana kitu kinachofanya wengi wale mazao ya mimea au mafuta ya mimea kama vile sisi ni mimea.
 

Umaskini >>>>ukosefu wa vyakula mbalimbali>>>utapiamlo>>>poor brain development( plus other factors)>>>>>>>>>>>>Umaskini.

Kuchomoka kwenye hii Cycle sio rahisi.
 
Mimi nina sehemu moja ambayo wameniambia niwe nanunua mboga ninazotaka wananipkia na kisha wananiuzia tena nusu bei ya chakula wanayouzia wengine.

Nimekubali nafanya hivyo japo si kila siku ila sasa hivi nina uhakika nikiamua siku flani mchana nakula salad basi kweli nauhakika wakupata.
 
Karibu jamii zote amabzo ugali ni chakula chao kikuu zimejaa umaskn. Na hii ni afrika kusini mwa jangwa la sahara
Mbona mimi ni tajiri sana lakini kama kawa nabamiza sana dona tena lililosheheni nafaka zaidi ya 6 zisizokobolewa?

Pia Baba zangu wana ukwasi wa kutosha na wameshatoboa zaidi ya miaka 90 na hawana ugonjwa wowote wa kisukari, TB, kansa, BP, UKIMWI.

Kisukari ni mifumo mibovu ya kimaisha Kwa Binadamu yeyote sababu huwezikosa kisukari kwa kuendekeza kujishindilia mivyakula isiyo na mpangilio(hakuna virutubisho) na ukashinda vijiweni kutwa nzima ukiwa umekaa tu kupiga stori bila ya mwili wako kufanya kazi au kufanya mazoezi maana sukari uliyoiingiza mwilini itakosa namna ya kufanya kazi ili itoke mwilini kupitia inshu kama jasho, mkojo na haja kubwa.

Gonga vyakula vya wanga visivyokobolewa, mboga mboga za majani, vyakula vya protini hasa hasa samaki wabichi, kunde, soya, dengu, maharagwe mekundu halisi, njugu mawe, mbaazi, njegere, choroko, korosho, karanga, matunda, maziwa, asali na maji mengi sana ya kunywa.
 
Jamaa halioni hata aibu kudanganya Watu wanaoishi maisha hayo, wanaotafakari na kufanya maamuzi thabiti hapa JF [emoji848][emoji1787]
 
We unakula vyenye rutuba majority wanakula sembe iliyokobolewa yani sembe debe mboga kisoda
 
Niliacha kula wanga( mara mmoja mmoja nakula) nimepungua sana sana. Nakunywa capuchino asubuhi, mchana salads tofauti, nazitia Thunfisch, kuku au beef, yogurt matunda na maji mengi.
Hiyo capuchino ina aslilimia ngapi ya carbs?
 
Uko sahihi lakini , usicomplicate mambo jaribu kuwaelewesha tu kuwa sili chakula fulani kwasababu ya sukari, uzito n.k basi, usifanye kila jambo kumridhisha
 
Mkuu naona unachanganya kati ya watu wanaoshinda njaa, ili wapungue.

Na walioacha kula wanga haimaanishi kuwa unatakiwa kushinda njaa.

Mtu akiacha kula vyakula vya wanga kabisa lazima uzito upungue.

Kiasi cha sukari kinapungua..
Mwili utakuwa ni rahisi ku butn calories, sababu kwa kuacha wanga Energy nyingi itatoka katika vyakula vya healthy fat..na protein pamoja vitamins
 
True
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…