Ushauri: Nataka kuanza kula nyama ya kenge

Nimeona watu wanakula pamoja na nyama ya nyani. Maeneo ya Korogwe milimani.
 
Tumia fursa mzee maana mabuchani kugumu! Ila ukila Kama haijakudhuru tuletee mrejesho nami nianze nayo...mbona watanikoma!
 
Jeshini analiwa kwenye zoezi la kusurvive porini (SF)! Sisi wastaafu tulio kwenye RFC tunalijua hilo.
 
Kenge! Kuna baadhi ya maeneo wanakula hawa! Niliwahi kuishi maeneo flani wanakula sana na hawaiti kenge wana jina lao...
Nilitamani kuonja ila nafsi ikasita nikifikiria vile alivyo na akili yake nusu ya kukimbia mvua kuingia mtoni nikaona hapana...

KichWa bOX
hahahaha mkuu umenifurahisha sana Aisee Eti anakimbilia majini mvua ikianza nyesha!
Ama kweli kenge Kawa kenge kweli kweli!
😁😁😁😁
 
Jaribu kula kama hujazulika,endelea kuwala na kama ikwezekana tengeneza banda ufuge kabisa ili uwale vizuri.
Acha kutisha watu mi nimekula kenge sana kipindi nipo pemba adhurike adhurike nini we kama hujawahi kutumia kitu usiwatishe wengine.Tena mwanagu kama upo dar nipm niwe nakuja kutafuna kenge mkuu mi ntagharamia ndizi za kuchoma
 
Mkuu ww ni jamiii ya fithi? Hutaki kupitwa.
Pumbaf zako,jinga sana Wewe jamaaa yaani umenifanya nicheke kifala sana uliposema jamii za Phisi nikaanza kutafakari ndio jamii za wapi hizo au ni zile za wa Galatia wa kale nikakaa nikafikiiiiriaaaaa kumbe umemaanisha yule kiumbe ndugu za Watani zetu kule Geita
Hiiiiiiiii bha ghoshaaaaaaa AAA!
😁😁😁😁😁
 
Kenge! Kuna baadhi ya maeneo wanakula hawa! Niliwahi kuishi maeneo flani wanakula sana na hawaiti kenge wana jina lao...
Nilitamani kuonja ila nafsi ikasita nikifikiria vile alivyo na akili yake nusu ya kukimbia mvua kuingia mtoni nikaona hapana...

KichWa bOX
Hahahaha
 
Acha kutisha watu mi nimekula kenge sana kipindi nipo pemba adhurike adhurike nini we kama hujawahi kutumia kitu usiwatishe wengine.Tena mwanagu kama upo dar nipm niwe nakuja kutafuna kenge mkuu mi ntagharamia ndizi za kuchoma
Kuna sehemu nime mtisha?
 
hahahaha mkuu umenifurahisha sana Aisee Eti anakimbilia majini mvua ikianza nyesha!
Ama kweli kenge Kawa kenge kweli kweli!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ani ukiambiwa una akiki za kenge pigana.. Kenge acha tu kuna siku natembea njiani ghafla huyu hapa mbele,[emoji3][emoji3] ani nilishtuka nikawa nakimbia nae alishtuka alitoka nduki ani nikikumbuka mimi na yeye nani muoga nabaki tu nacheka..

KichWa bOX
 
Kenge! Kuna baadhi ya maeneo wanakula hawa! Niliwahi kuishi maeneo flani wanakula sana na hawaiti kenge wana jina lao...
Nilitamani kuonja ila nafsi ikasita nikifikiria vile alivyo na akili yake nusu ya kukimbia mvua kuingia mtoni nikaona hapana...

KichWa bOX
Wanaita mbulu
 
Nyama ya mamba inaliwa na inauzwa ghali Sana kg 1 ni 30,000/= pale kibaha kwa mzungu Sasa mamba na kenge ni ndugu je Kuna tatizo naomba ushauri.

Naishi pembeni ya mto Kuna kenge wengi Sana.
Wewe hebu acha uongo. Mamba ni close family member wa jamii ya ndege na si mijusi kama kenge.

Nenda kagoogle taarifa za mamba halafu uje hapa.
 
Kenge! Kuna baadhi ya maeneo wanakula hawa! Niliwahi kuishi maeneo flani wanakula sana na hawaiti kenge wana jina lao...
Nilitamani kuonja ila nafsi ikasita nikifikiria vile alivyo na akili yake nusu ya kukimbia mvua kuingia mtoni nikaona hapana...

KichWa bOX
Hilo jina sio "Kuku makucha"
 
Uroho mwingine bwana. Sasa uache ng'ombe, mbuzi, kondoo, samaki, kuku, nguruwe, bata, kanga uanze kula madudu ambayo hata kuyatazama yanachefua.
 
Back
Top Bottom