Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria hujui wewe unamlisha ujingaNenda karipoti tu polisi kwa busara Ila nimeshangaa umemjibu kibusara sana Mchungaji Mimi kwanza nae Angechezea ata viwili tu ili RB iwe na maana Zaidi
Wanaokutana kanisani au msikitini wanaitwa waumini na wote eneo lile waliwepo.pale ni waumini chini ya uongozi wa kanisa au msikiti pale ni waumini wako kanisani au msikitini sio waume au wake za watu wako kanisani au msikitini
Yule alikuwa muumini akiwa kanisani.Mume ndiye kajichanganya aende polisi akakutane nao ndipo atajua usemi unasema tii Sheria bila shuruti Kila eneo au ukifanyacho kwanza angalia Sheria zinasemaje usikurupuke utaumia
Kesi yake Kwa taarifa Yako haitasomeka amvamia mke kanisani itasomeka amvamia muumini kanisani na mchungaji kanisaniUna akili ndogo sana ndugu!!
Mkuu mbona unampa option za huruma namna hiyo jamaa anatakiwa apige chini huyo mwanamke cha zaidi atoe matumizi wanae wasiteseke ila kwenye kuchagua ndoa au kanisa hiyo nafasi alishajifungia kwakua ameshaonyesha upande aliopo mpka sasa.Sahihi kabisa,kama Mama ameweza kutelekeza watoto wake wachanga na kuona kuwaombea watu wengine ni bora zaidi kuliko watoto wake,hii ina maanisha kua huyo Mwanamke akili yake na heshima yake na utu wake,vyote amevihamishia huko Kanisani,
Kama amekosa imani/huruma/mapenzi kwa watoto wake wachanga,unafikiri ana mapenzi tena na mumewe?
Hapo cha kufanya ni kukazia tu achague Kanisa au ndoa.
Wasaalam?
Ipo hivi juzi asubuhi Jumapili niliingia nyumbani nilikuwa SA kwa mambo ya kikazi, kufika nyumbani nilimkuta binti yangu wa kwanza pamoja na dada wa kazi kumuuliza mama yako yuko wapi? Akasema ameenda kanisani, nikamuuliza mbona hajaenda na watoto(watoto ni mapacha wana miezi 4) wakashindwa kunipa jibu nikapiga kimya nikaenda kupumzika kutokana na uchovu.
Imefika saa 7 mchana nikashtushwa na kelele za watoto walikuwa wanalia mno nahisi walikuwa wanataka kunyonya kuangalia makopo ya maziwa yameisha nikatoa pesa wakaenda kununua lakini nilipiga marufuku matumizi ya maziwa ya kopo.
Nimebuy time mpaka saa 10 jioni kimya mtu hajarudi nikipiga simu inaita tu haipokelewi, nikashikwa na gadhabu sana nikachukua watoto nikawatupia kwenye gari safari mpaka kanisani kwa wife.
Nimefika kanisani nimemkuta wife yupo madhabauni anaombea watu nikachukua watoto nikawaweka pale pale madhabauni nikamwambia awanyonyeshe watoto wana njaa, akagoma akasema nimemfanyia vitendo vya aibu!!
Ghafla mchungaji mkuu akaja akauliza kuna nini? Mimi nikamwambia mchungaji hayakuhusu nataka watoto wanyonye niondoke nao nyie endeleeni na ibada zenu,mchungaji akadakia akasema ibada ya leo inahitaji utulivu ndio maana tulitangaza watoto wote wabaki majumbani.
Nikamvuta kinguvu wife nikaondoka nae nikamwambia Leo ndio mwanzo na mwisho kusali katika makanisa ya kiroho kama hauwezi kusali roman Catholic pumzika nyumbani tu.
Nimepigiwa simu sasa hivi natakiwa kituo cha polisi kwa kosa la kufanya fujo kanisani na kufanya shambulio la kimwili dhidi ya wife, niende au nisiende? Kwa sababu kesho asubuhi inabidi niende Bujumbura kikazi.
Asante
MREJESHO.
Nimeripoti police nimewekwa selo kwa dakika 30 mama mkwe amekuja ameniwekea dhamana nimetoka.
Cha ajabu muda huu nimerudi nyumbani nimemkuta dada wa kazi tu.. kuuliza naambiwa ameenda kanisani yeye na watoto wote .
Kusikia kwa kenge mpaka damu zimtoke ngoja niende kwanza Bujumbura.
Asante
Mchungaji ana akili kuzidi wewe. Ukitaka kumsaidia mkeo, jiunge ila uwe mjaja maana mbinguni tunaenda kwa kuamini Mungu na siyo vinginevyo then tafuta ufahamu zaidi ili mkeo akuone unajua ili umuomdoe huo mtego wa ubayaWasaalam?
Ipo hivi juzi asubuhi Jumapili niliingia nyumbani nilikuwa SA kwa mambo ya kikazi, kufika nyumbani nilimkuta binti yangu wa kwanza pamoja na dada wa kazi kumuuliza mama yako yuko wapi? Akasema ameenda kanisani, nikamuuliza mbona hajaenda na watoto(watoto ni mapacha wana miezi 4) wakashindwa kunipa jibu nikapiga kimya nikaenda kupumzika kutokana na uchovu.
Imefika saa 7 mchana nikashtushwa na kelele za watoto walikuwa wanalia mno nahisi walikuwa wanataka kunyonya kuangalia makopo ya maziwa yameisha nikatoa pesa wakaenda kununua lakini nilipiga marufuku matumizi ya maziwa ya kopo.
Nimebuy time mpaka saa 10 jioni kimya mtu hajarudi nikipiga simu inaita tu haipokelewi, nikashikwa na gadhabu sana nikachukua watoto nikawatupia kwenye gari safari mpaka kanisani kwa wife.
Nimefika kanisani nimemkuta wife yupo madhabauni anaombea watu nikachukua watoto nikawaweka pale pale madhabauni nikamwambia awanyonyeshe watoto wana njaa, akagoma akasema nimemfanyia vitendo vya aibu!!
Ghafla mchungaji mkuu akaja akauliza kuna nini? Mimi nikamwambia mchungaji hayakuhusu nataka watoto wanyonye niondoke nao nyie endeleeni na ibada zenu,mchungaji akadakia akasema ibada ya leo inahitaji utulivu ndio maana tulitangaza watoto wote wabaki majumbani.
Nikamvuta kinguvu wife nikaondoka nae nikamwambia Leo ndio mwanzo na mwisho kusali katika makanisa ya kiroho kama hauwezi kusali roman Catholic pumzika nyumbani tu.
Nimepigiwa simu sasa hivi natakiwa kituo cha polisi kwa kosa la kufanya fujo kanisani na kufanya shambulio la kimwili dhidi ya wife, niende au nisiende? Kwa sababu kesho asubuhi inabidi niende Bujumbura kikazi.
Asante
MREJESHO.
Nimeripoti police nimewekwa selo kwa dakika 30 mama mkwe amekuja ameniwekea dhamana nimetoka.
Cha ajabu muda huu nimerudi nyumbani nimemkuta dada wa kazi tu.. kuuliza naambiwa ameenda kanisani yeye na watoto wote .
Kusikia kwa kenge mpaka damu zimtoke ngoja niende kwanza Bujumbura.
Asante
MREJESHO.
Nimeripoti police nimewekwa selo kwa dakika 30 mama mkwe amekuja ameniwekea dhamana nimetoka.
Cha ajabu muda huu nimerudi nyumbani nimemkuta dada wa kazi tu.. kuuliza naambiwa ameenda kanisani yeye na watoto wote .
Kusikia kwa kenge mpaka damu zimtoke ngoja niende kwanza Bujumbura.
Asante
Tuheshimiane sawa? Mwenzako amekalia kuti kavu endeleeni kumjaza ujingaUko sahihi mwanaume huyo bichwani akili Hana kajaa ujinga mtupu Wacha aende akakutane na polisi kule Kuna dawati la jinsia wanajua Sheria Hadi basi hizo za matatizo ya familia watamnyoosha Hadi akome akitoka hapo atakuwa mtii wa Sheria bila shuruti Kila akitaka kufanya kitu atajiuliza kwanza Sheria za nchi zimekaaje kwenye hili
Duh..pole sana mkuu.Wasaalam?