Mkuu kuwa mpole.Wadau tupeane uzoefu kidogo, nina mpenzi wangu au niseme mchumba maana hata kwao nimepeleka mahari, huyu dada ni msukuma wa Lunzewe, yupo chuo cha Mkwawa Iringa mwaka wa mwisho!
Tatizo linakuja usiku hapokei simu kabisa. Nikimuuliza anadai huwa anachoka, akipata tatizo la pesa anapiga simu hata usiku wa manane, ila nikiwa nashida nae mimi simu hapokei!
Kwa wale mliopita chuo hiki naombeni uzoefu wenu kuhusu tabia za wadada wanaosoma Mkwawa nisiendelee kupigwa!
Jamii ina tatizo kubwa katika namna inavyowandaa vijana wa kiume kutekekeza majukumu yao.Wadau tupeane uzoefu kidogo, nina mpenzi wangu au niseme mchumba maana hata kwao nimepeleka mahari, huyu dada ni msukuma wa Lunzewe, yupo chuo cha Mkwawa Iringa mwaka wa mwisho!
Tatizo linakuja usiku hapokei simu kabisa. Nikimuuliza anadai huwa anachoka, akipata tatizo la pesa anapiga simu hata usiku wa manane, ila nikiwa nashida nae mimi simu hapokei!
Kwa wale mliopita chuo hiki naombeni uzoefu wenu kuhusu tabia za wadada wanaosoma Mkwawa nisiendelee kupigwa!kuliko tunavyodhani.
MkuuMwanaume ni mtemi by nature, hana asili ya kulia lia...
Hivi mwanaume unaanzaje kulia lia eti simu zako hazipokelewi ?
Toa kauli moja tu kwa mwanamke yenye kuonesha mamlaka full stop...
Sawa sawa,usisahau kuweka AC😅Mkuu mwambie akihitaji jeneza la kisasa aje fasta!
Ilotokea hivyo hivyo, maana wote tulikua wanachuo mm nilienda mbeya yeye iringa. Sijui kilimpata nini[emoji848][emoji848][emoji848]Hii ndo ajabu yaani...
Ukitaka kuona maajabu zaidi pale ukimwacha kule alikokuwa anakimbilia huwa panafunga anabaki kama mwehu..
Mkuu mbona kama visa vyetu vinafanana kasoro majina ya chuo[emoji16][emoji16][emoji16]Niliwahi kuwa na msichana mwanachuo chuo Cha st Augustine university Mwanza,,
Nilimlipia kila kitu hostel,,matumizi nk,.
Lakini bado alikuja kunitenda,,
--Kwnza always usiku hapokei simu,, kisingizio yupo discussion..
--Week end ndy kabisa ikifika jioni simu inazimwa hadi j tatu.
Siku Moja nilipiga Simu saa 2300HRS likapokea dume likasema niache usumbufu kwa wake za watu...
Kwakweli niliumia sana moyoni..
Msichana ambaye namlipia Kila kitu leo naambiwa niache usumbufu?
Kuanzia hapo mwanafunzi wa chuo ni kupiga mbupu na kusepa,
Kusubiri mchumba msichana mwanachuo akiwa masomoni ni sawa na kusubiri maembe chini ya mnazi..
Jiandae kisaikolojia hapo huna mchumba bali ni mke wa wenzio Kwa Sasa.
Ukute anaishi na msela geto Ana balansi gemuWadau tupeane uzoefu kidogo, nina mpenzi wangu au niseme mchumba maana hata kwao nimepeleka mahari, huyu dada ni msukuma wa Lunzewe, yupo chuo cha Mkwawa Iringa mwaka wa mwisho!
Tatizo linakuja usiku hapokei simu kabisa. Nikimuuliza anadai huwa anachoka, akipata tatizo la pesa anapiga simu hata usiku wa manane, ila nikiwa nashida nae mimi simu hapokei!
Kwa wale mliopita chuo hiki naombeni uzoefu wenu kuhusu tabia za wadada wanaosoma Mkwawa nisiendelee kupigwa!
Iliwahi kunikuta hii mkuu, acha kabisa yaan Mapenzi kummyoooo 🤪🤪see.It’s the tight-lipped secret that nobody (including me/you) wants to talk
about.
sahivi hutoelewa haya namaanisha Nini Mungu wangu baadaye hiyo brain itoke yaani emotional brain baadaye ndio Logical/rational/reason brain ianze kufanya kazi.
iyo inayofanya kazi Ina nguvu kinyama huwa haiskiiagi mkuu, sahihi wewe sio binadamu uko mnyama saivi you can do anything just to satisfy your emotions.
yaani huwa Ina nguvu kuliko hata Everest mountains times 10M kwa nguvu.
huwa Ina hijack rational brain unakuja kugundua baadaye kabisa.
you're operating under survival modal of our brains iliyookoa ancestors wetu wasaivaivu mpaka dakika hii otherwise tusingekuwepo like dinosaur or saber toothed tiger walishapotea duniani kabisa hao Lisa hawakuwa na ubongo wa ku react/respond fast to stimuli.
Tena wanatumia hela za mwamba! 🤣Usiku anamtu wa Kumhudumia, We kazi yako kutuma hela tu
Duh..!Niliwahi kuwa na msichana mwanachuo chuo Cha st Augustine university Mwanza,,
Nilimlipia kila kitu hostel,,matumizi nk,.
Lakini bado alikuja kunitenda,,
--Kwnza always usiku hapokei simu,, kisingizio yupo discussion..
--Week end ndy kabisa ikifika jioni simu inazimwa hadi j tatu.
Siku Moja nilipiga Simu saa 2300HRS likapokea dume likasema niache usumbufu kwa wake za watu...
Kwakweli niliumia sana moyoni..
Msichana ambaye namlipia Kila kitu leo naambiwa niache usumbufu?
Kuanzia hapo mwanafunzi wa chuo ni kupiga mbupu na kusepa,
Kusubiri mchumba msichana mwanachuo akiwa masomoni ni sawa na kusubiri maembe chini ya mnazi..
Jiandae kisaikolojia hapo huna mchumba bali ni mke wa wenzio Kwa Sasa.
Mkuu niliumia snDuh..!
Hii ya kwako ilikuwa balaa zaidi
Haha!!nimetumia sms mida ya saa moja hivi nasalimiwa na kuitwa"MY SOULMATE"Kuna mwamba ako naye kitandani analoweka utambi.!
Atakutafuta asubuhi
usiku hapokei simu kabisa... hii kauli tafsiri yake ni kuwa haupo peke yako usiku ni mda wa kupumzika na mpenzi wake wewe tulia tu.Wadau tupeane uzoefu kidogo, nina mpenzi wangu au niseme mchumba maana hata kwao nimepeleka mahari, huyu dada ni msukuma wa Lunzewe, yupo chuo cha Mkwawa Iringa mwaka wa mwisho!
Tatizo linakuja usiku hapokei simu kabisa. Nikimuuliza anadai huwa anachoka, akipata tatizo la pesa anapiga simu hata usiku wa manane, ila nikiwa nashida nae mimi simu hapokei!
Kwa wale mliopita chuo hiki naombeni uzoefu wenu kuhusu tabia za wadada wanaosoma Mkwawa nisiendelee kupigwa!
AstaqafilluallahApp niliifuta nakumbuka niliichuka kwa 47000. Zipo nyingi ila jina la app nimesahau,
Niliifuta siku ambayo nimekuta wanachart wanasifiana kua pisi anajua kupika na anajua kunyanduana.