Ushauri: Nina mke na watoto wawili lakini napenda sana mabarmaid

Ushauri: Nina mke na watoto wawili lakini napenda sana mabarmaid

Wakuu hii inaenda kunipoteza, hapa nilipo nimetoka kdg kupiga vyombo ila kuna huyu barmaid nisipoondoka nae leo sidhan kama nitalala.

Yaan hii kama ni fetish basi nimekamatwa mwenzenu, naenjoy sana kubaiolojiana na mabarmaid kuliko pisi za kawaida wakifuatiwa na masecretary

Wataalam nipeni mbinu natokaje hapa
Unapenda vya wengi, jichunge.
 
Yani apo mezani sijui upo unakunywa bia gani,naona leo itakufanya utoe ata siri za mkeo...SASA fanya ivi, Mfungulie bar mkeo,ili naye awe barmaid, nafkri apo hautokua na hatia ya kumsaliti kwa mabarmaid, kwasabu naye atakua ndani ya chama,,.
 
mnaweza mkafanya role-play we na mkeo, anavaa kibarmaid na wewe unajifanya mteja.... bar mnaigiza ni hapo dining room....

wajuba dronedrake mzabzab na Mzee wa kupambania wanaelewa hii
Heheheheee, ww kwenye hizi dhambi umekubuhu, ila role play inachangia sana wanaume kuanza kutamani kugeuzwa na wake zao, sio mm ni research inasema hvo. Hio michezo sio kabisa, ma sishauri
 
Back
Top Bottom