Ushauri: Nina mke na watoto wawili lakini napenda sana mabarmaid

Wakuu, hii inaenda kunipoteza, hapa nilipo nimetoka kidogo kupiga vyombo ila kuna huyu barmaid nisipoondoka nae leo sidhan kama nitalala.

Yaan hii kama ni fetish basi nimekamatwa mwenzenu, naenjoy sana kubaiolojiana na mabarmaid kuliko pisi za kawaida wakifuatiwa na masecretary.

Wataalam nipeni mbinu natokaje hapa.
Kawaoe uone raha au shubiri yao. Mkataa pema pabaya panamuita
 
Wakuu, hii inaenda kunipoteza, hapa nilipo nimetoka kidogo kupiga vyombo ila kuna huyu barmaid nisipoondoka nae leo sidhan kama nitalala.

Yaan hii kama ni fetish basi nimekamatwa mwenzenu, naenjoy sana kubaiolojiana na mabarmaid kuliko pisi za kawaida wakifuatiwa na masecretary.

Wataalam nipeni mbinu natokaje hapa.

Ni rahisi, kama huwezi toka mwenyewe kifo huwa kinakusaidia kukutoa.
 
Wakuu, hii inaenda kunipoteza, hapa nilipo nimetoka kidogo kupiga vyombo ila kuna huyu barmaid nisipoondoka nae leo sidhan kama nitalala.

Yaan hii kama ni fetish basi nimekamatwa mwenzenu, naenjoy sana kubaiolojiana na mabarmaid kuliko pisi za kawaida wakifuatiwa na masecretary.

Wataalam nipeni mbinu natokaje hapa.
Unahitaji maombi
 
Mwanaume halisi ni yule mwenye uwezo wa kuji'control' tamaa za kijinga Kama hizi! Jali familia yako! Ithamini familia yako! Ipende familia yako!

Tumia muda wako kwa ajili ya kuihudumia familia yako! Badala ya kuhangaika na matakore ya mabarmaid ni bora ungetumia muda wako kupitia homework za wanao!

Ukiona unachanganyikiwa na kila takore linalokatisha mbele yako wewe ni dhaifu! Bado hujawa mwanaume halisi! Pole
 
Back
Top Bottom