Ushauri: Nina mke na watoto wawili lakini napenda sana mabarmaid

Unapenda vya wengi, jichunge.
 
Yani apo mezani sijui upo unakunywa bia gani,naona leo itakufanya utoe ata siri za mkeo...SASA fanya ivi, Mfungulie bar mkeo,ili naye awe barmaid, nafkri apo hautokua na hatia ya kumsaliti kwa mabarmaid, kwasabu naye atakua ndani ya chama,,.
 
mnaweza mkafanya role-play we na mkeo, anavaa kibarmaid na wewe unajifanya mteja.... bar mnaigiza ni hapo dining room....

wajuba dronedrake mzabzab na Mzee wa kupambania wanaelewa hii
Heheheheee, ww kwenye hizi dhambi umekubuhu, ila role play inachangia sana wanaume kuanza kutamani kugeuzwa na wake zao, sio mm ni research inasema hvo. Hio michezo sio kabisa, ma sishauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…