USHAURI: Nini cha kufanya kama mwenza wako alikuficha kuwa ana mtoto, Ukaja kujua baada ya miaka zaidi ya 10 baadaye?

Upo sahihi kabisa, kosa hilo Wanawake wengi hulifanyaa kwa hofu ya kuachwa au kughairishwa kwa ndoa japo kwa upande mwingine wengine wanakua na sababu tofauti kabisa, kuna story niliiweka mwanzoni mwanzoni kabisa ya mama aliyenyang'anywa mtoto wa miezi 11, akaamua kufuta hiyo memory mbaya kwake na kuanza family upya hadi mtoto alipokuja kumtafuta mama ake akiwa na yeye ana watoto tayari, mumewe alielezwa sababu na akaelewa maisha yakaendelea,

Hoja yangu ni haya mambo yaangaliwe pande zote ili suluhisho lipatikane na sio kuangalia upande mmoja na lawama kama zote.
 
Koma kuhusisha ukoo wetu na ujinga ujinga, pia koma kunichulia eti nimeficha mtoto,
Kama una hasira sana kaolewe wewe jimbo la huyo mjinga mwenzio lipo wazi ni wewe tu na uaminifu wako.
Daah kumbe inakuwaga mweupe na hasira za hovyo hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
P

Tatizo hatujui majibu ya mwanamke baada ya mwanaume kujua.
Na ndio hasa nilichomuuliza mleta uzi, huyo Mwanamke kama alipewa nafasi alijibu nini? Mimi naamini lazima awe ana sababu ambayo kwake ilikua ina uzito kabla ya kumshushia matusi na kashfa au kuachana
 
Nyooooooo, una hela wewe chokoraa ya kulisha ukoo wangu, akili zenyewe huna sasa huyo Faiza Foxy ulomkazania yupo wapi hapa,

Acha kutafuta kiki kwenye nyuzi za watu, wahi kwa Mama ntilie huko Ukoko usije ukaisha ukalala njaa.
Acha usaliti wewe kikongwe[emoji2][emoji2]
 
Hivi wanawake kwanini wengi wao wanakosa akili kiasi hiki?
Umezaa kabla badi ukaolewa bado unashindwa kutulia aaah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli wewe ni mwehu naona kuna jambo zito ulifanywa na Faiza sio kwa kuweweseka huku,

Hebu usiniambukize njaa zako mie, sina muda wa kujibizana na machokoraa.
Mimi aina njaa hata kidogo kipenzi changu, wewe niambie ukweli awali kama unao hata watatu niambie ukweli nitakupenda vivyo hivyo...kwani ulipo sio bikra[emoji23][emoji23][emoji23]

Mwisho wa siku wewe utakuwa mshikaji wangu tu faiza[emoji23][emoji23]
 
Wewe dada nimefuatilia posts zako una vitu hivi;

1. Una tabia ya faizafoxy
2. Una kisani sana utakuwa singo maza wewe.
3. Utakuwa akina mwajuma ndala ndefu wacheza vigodoro
Hehehehe uko sahihi kbsa aisee kuhusu huyu mdada ,Yani anatetea upuuzi kbsa ,mtu uishi naye miaka 15 akufiche kuhusu mtoto wake aliyezaa Sasa mtu kama huyo si hata sumu anaweza akakuwekea na kukuua.....ukikosa uaminifu kama huo unastahili kuachika Tena ilibidi apakwe na pili pili matakoni
 
Huyo mwamba alifanya uamuzi mzuri Sana, kama mtu na familia yake wanakuficha jambo kubwa kama hilo kwa muda wote huo, ni mangapi atakua amekuficha kwa miaka yote hiyo🤔🤔 huyo anaweza kukua bila kujua kabisa, tena ilibidi amanase na makofi kabisa pumbavu shenzi Sana huyo 😡😡
 
Huyu inaonyesha alizaa kabla ya ndoa, anatetea upupu sana
Ni kitu cha ajabu na cha kikatili sana kuficha mtoto kisa ndoa au mapenzi...maana unakuwa tayari umeua nafsi ya kiumbe ulichokileta duniani....

Kwenye mapenzi kuna nini kipya mpaka ufiche mtoto? Eti ndoa....!!!

Shetani tu ndio anaweza ficha mtoto wake ila kwa binadamu kamili atatetea mtoto kwa hali zote hata akitengwa na dunia...

Hata malaya waliokubuhu hawawezi ficha watoto wao...ila shetani aliyevaa mwili wa binadamu ndio hufanya hivyo...Huyu dream queen na wanao tetea huu upumbavu sio binadam wenzetu...Yaani Ndoa ndio ifanye ufanye ufilauni huu daah..unakikana kiumbe ulichokizaa mbele za watu???
 
Walewale ujue
 
Wanawake wengine hovyo kabisa, unathamini mapenzi au ndoa kuliko mtoto uliemleta duniani. Ukipata mtu muambie ukweli kabla hata hamjaanza mapenzi ili awe na maamuzi mapema
 
Inasikitisha sana

Cc Darlin
 
Huu uzi kuna baadhi ya comments nimesoma nikahisi kutukana.
 
Tumemshauri kitu cha kumfanya asiwe na hasira. Tumemwambia amsikilize huyo mmewe kama kasema kaacha basi kaaacha. Ila kiukweli hata sijui kama ni sawa au si sawa
Mkuu hivi vitu huwa mtu namwambia fuata moyo wako unavyopenda ukiona kaleta mpk hapo officini ujue imemuumiza sana.

Watu wengi wanachukuria kirahisi sana kwa sababu ijatokea kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…