USHAURI: Nini cha kufanya kama mwenza wako alikuficha kuwa ana mtoto, Ukaja kujua baada ya miaka zaidi ya 10 baadaye?

Tumia akili dada. Kama wewe unaona ni rahisi basi kwa wengine ni ngumu.

Kama ameweza kunificha hilo nitamuamini vipi tena? Lazima kuna mengine mengi kayaficha mengi ya usaliti
 
Bora shetani unayemjua...

Ningemuacha, sio kwasababu ana mtoto ila kwa sababu simjui. Kama naweza kukaa nae miaka 15 ya ndoa na nisifahamu suala zito kwenye maisha yake kama idadi ya watoto aliozaa, huyo mm simfahamu kabisa.

Ni hatari kuishi na stranger. Bora shetani unayemjua.
 
Eti kosa la kijinga hahaha ....
 
Huyu mwanamke hastahili kusamehewa hatakama wangezaa watoto Saba....Hapo Kuna vingi anawaza na vinamuumiza sana
 
Mtoto hanyang'anywi hata siku moja, hili nakataaa ila Serikali inaamua mtoto akae sehemu atapata matunzo, wewe unazani huyo mtoto ajekuwa Rais au mfanyabiashara mkubwa huyo mama hatamfwata mwanae??? .....eti aanze upya[emoji23][emoji23][emoji23],
 
Umeishi na mtu kwa miaka 15, mmezaa watoto 4, unakuja kumuacha kisa hakukwambia kua aliwahi kuzaa kabla!!?

Ukisikia kutafutiana sababu ndio huko sasa.
Uongo ni kitu kibaya sana mkuu, hasa kwa mtu unayemwamini. Nakubaliana na huyo mwamba 100%
 
Pole sana kaka, Hapo USISAMEHE ,WANAWAKE NI WABAYA SANA HUWA HAWAONI HURUMA KABISA
 
Hana akili huyo anaongea simple sana jina lake lenyewe dream anajua anaota hapa achana nae asikuumize kichwa ...... kweli vijana tukatae ndoa maana ukipata mwanamke kama huyu cha moto lazima ukipate.
 
Hana akili huyo anaongea simple sana jina lake lenyewe dream anajua anaota hapa achana nae asikuumize kichwa ...... kweli vijana tukatae ndoa maana ukipata mwanamke kama huyu cha moto lazima ukipate.
Mkuu kuna mwana..mke na mwenye..uke
 
The husband has lived in the midst of lies to unfaithful wife for 15yrs. Hata hao wanne wakapimwe, huenda sio watoto wake.

Nimeshangaa kuna watu amekaza shingo kwa kitu obvious kabisa.
 
Attachments

  • Screenshot_20231006_001713_Google.jpg
    38.5 KB · Views: 1
The husband has lived in the midst of lies to unfaithful wife for 15yrs. Hata hao wanne wakapimwe, huenda sio watoto wake.

Nimeshangaa kuna watu amekaza shingo kwa kitu obvious kabisa.
Wakaza shingo haswa wanawake ndio mindset zao hizo, they are bunch of liars and cheaters
 
Mkuu kuna mwana..mke na mwenye..uke
Naona imekuuma sana kukupa makavu yako, si unaona ulivyokula ukashiba ukatuliza kihedemswede chako,

Oeni kwanza ndio mje mlete michogo yenu kwenye mada za ndoa, sio mnasifia nyeto tu, ndoa ni Taasisi kubwa na haipo kwa kila mtu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] muwe mnazaa kwa uchungu basi ili
Tuone nguvu zenu zinakoishia.
Hawatakuelewa hao mijusi, angalia kwenye huu uzi wanaume walio kwenye ndoa walivyo comment halafu angalia hao wamwaga mbegu chooni huku wakijisifu KATAA NDOA walivyo comment,

Wanadhani Ndoa ni kama hizo betting zao,
Mijinga ya mwisho.
 
Naona imekuuma sana kukupa makavu yako, si unaona ulivyokula ukashiba ukatuliza kihedemswede chako,

Oeni kwanza ndio mje mlete michogo yenu kwenye mada za ndoa, sio mnasifia nyeto tu, ndoa ni Taasisi kubwa na haipo kwa kila mtu.
Huyu ndio Queen mwenyewe a.k.a jeshi la mtu mmoja,
Umenikumbusha enzi zileeeeeee ngoja ninyamaze 😹😹
Lol
 
Hawatakuelewa hao mijusi, angalia kwenye huu uzi wanaume walio kwenye ndoa walivyo comment halafu angalia hao wamwaga mbegu chooni huku wakijisifu KATAA NDOA walivyo comment,

Wanadhani Ndoa ni kama hizo betting zao,
Mijinga ya mwisho.
Hadi mijusi ipo humu humu 😹😹😹 ila Queen umenishinda tabia, nacheka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…