USHAURI: Nini cha kufanya kama mwenza wako alikuficha kuwa ana mtoto, Ukaja kujua baada ya miaka zaidi ya 10 baadaye?

Wabongo suala la Privacy hua wanalitafsiri tofauti sanaaa, hatujui kuwekeana mipaka hata kama ni wanandoa au wapenzi, tamaduni zetu labda zinachangia,

Pole Muarabu wangu, naona ulitumia nguvu nyngi kuwaelewesha wamatumbi (in your voice) lol
 
Huyu ndio Queen mwenyewe a.k.a jeshi la mtu mmoja,
Umenikumbusha enzi zileeeeeee ngoja ninyamaze [emoji81][emoji81]
Lol
Jamani umeibukia wapiiii sio kwa kuadimika huku Kacha.... naam jeshi la mtu mmoja sitetereki [emoji123]
 
Wabongo suala la Privacy hua wanalitafsiri tofauti sanaaa, hatujui kuwekeana mipaka hata kama ni wanandoa au wapenzi, tamaduni zetu labda zinachangia,

Pole Muarabu wangu, naona ulitumia nguvu nyngi kuwaelewesha wamatumbi (in your voice) lol
Wataelewa tu, naenda nao mdogo mdogo hadi wataelewa umuhimu wa faragha
 
Basi nilidhani una akili kumbe wale wale, unasemaje watoto waliolala tumbo moja na kunyonya ziwa moja sio ndugu kisa baba zao tofauti?

Hebu usinichoshe mie kama unatafuta comments nyingi ushazipata
Hatimae na mleta mada kapokea kichambo 😹😹😹 ila Queen nakupendea hunaga unafki, anayekuchukia wewe ni mchawi,
Period,
Lol
 
Nipoooo my Queen ubusy tu ila nikipata chance nachungulia kama hivi, wewe unapo pakunipata bibie sio lazima humu
Ngoja nije kule nikuoneshe kitu, utanambia nikichukue ama laa kwa uzoefu wako,

Achana na hao mijusi gurugunya inakoroma saa hizi, kesho ikadandie mwendokasi
 
Daaaaah 😹😹😹
Ngoja nitoke kwenye huu uzi mbavu zangu zitavunjika bureeeeee
 
Katika vitu vya kuzingatia kwenye mahusiano kabla ya kuingia kwenye ndoa ni ukweli na uwazi hasa hasa wa vitu ambavyo ni muhimu kama kuwa na mtoto. Ni bora kumwambia mwenza wako ukweli ili yeye aamue kukubali kuendelea au lah.

Mwenzetu alikosea sana miaka 15 kumficha mume wake sio busara kabisa kinachoumiza sio kuzaa kabla ila ni kumficha mwenzie. Ila inawezekana kuna sababu kubwa nyuma yake au alijua akisema ana mtoto hataolewa maana wanaume wanawadharau sana single mothers na inapelekea situations kama hizi.
 
The husband has lived in the midst of lies to unfaithful wife for 15yrs. Hata hao wanne wakapimwe, huenda sio watoto wake.


Nimeshangaa kuna watu amekaza shingo kwa kitu obvious kabisa.
Kuna vitu havivumiliki aiseee.... yaani kuficha jambo kama Hilo unaonekana wewe ni KBG mbobevu kabisa
 
Kuna vitu havivumiliki aiseee.... yaani kuficha jambo kama Hilo unaonekana wewe ni KBG mbobevu kabisa
Kuna vitu huwa havifichwi, yaani unafichaje damu yako kwa mfano? Kama anaona hawezi kuikubali damu yako asepe huko, mtoto ni zawadi na baraka, unamfichaje?
 
Mwanamke / mwanaume kama ulishawahi kupata mtoto wa ujanani hakikisha unaweka wazi mambo yako pindi unapoingia kwenye mahusiano mapya. Hili suala la kuficha ficha linawaumbua wengi hususani wanawake hawapendi kuweka mambo yao wazi.

Weka wazi me/ke ajue ukweli na aamue lipi lililo bora kwake aendelee na wewe au muachane mapema.

Mwisho ukikitana na me/ke aliwahi kupata mtoto kabla ya ndoa na hakuwahi kukwambia, jua hao wazazj bado wana mahusiano kwa kigezo cha mzazi mwenza.

Epuka matapeli mwanamke aliyezalishwa na mwanaume wake yupo hai hafai.
 
Hizi mambo za kuficha watoto wa nje wanaume tunaongoza,na hata wake zetu wakija kujua hawawezi kutuacha..tena tupo radhi kwenda kuzaa nje angali nipo kwenye ndoa na hata mke akijua hatuachani. Wanaume tusipende kuwakandamiza wanawake,tena mtu alizaa hata kabla hujamuoa na akaamua kuweka siri...

Bahati nzuri mmedumu kwa miaka 15,ni kosa kweli kuto kuambiwa,lakini uamuzi wa kumuacha kwa hilo kosa haupo sawa kabisa.. unless kama alikuwa anamtafutia sababu.
 
Umeishi na mtu kwa miaka 15, mmezaa watoto 4, unakuja kumuacha kisa hakukwambia kua aliwahi kuzaa kabla!!?

Ukisikia kutafutiana sababu ndio huko sasa.
Kama anaweza ficha Siri kwa miaka 15 huyo ni jasusi muda wowote anaweza kukuua.
 
Hongera Mwanaume imara umeandika point kubwa sana, Wanawake wa Kiafrica wameshikiwa akili na the so called Mila na Desturi, mfumo dume umewaharibu kiasi cha kutoitambua hata thamani yao,

Kosa hilo hilo angefanya Mwanaume na Mwanamke akataka kuachika wangemwambia avumilie tu alee watoto ndio ishatokea,

Ujinga ujinga tu.
 
Mtoto hanyang'anywi hata siku moja, hili nakataaa ila Serikali inaamua mtoto akae sehemu atapata matunzo, wewe unazani huyo mtoto ajekuwa Rais au mfanyabiashara mkubwa huyo mama hatamfwata mwanae??? .....eti aanze upya[emoji23][emoji23][emoji23],
Eti mwanamke unzaa afu hujui kama umezaa😂😂😂
 
Umeishi na mtu kwa miaka 15, mmezaa watoto 4, unakuja kumuacha kisa hakukwambia kua aliwahi kuzaa kabla!!?

Ukisikia kutafutiana sababu ndio huko sasa.
Kama amemficha kwenye Hilo unajua mambo mangapi atakuwa amemfichwa? Hili Ndio linawauma wanaume wengi
 
M
Miaka 10 lazima utakuwa na roho flani ya kigaidi,maana kwa mahaba niliyonayo kwa watoto wangu iko siku ningebambwa kabla hata ya kufika mwaka...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…