Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
- Thread starter
- #121
Atakuwa ancheat hata kwa wengineNdo mume anamwambia alifanya kwasababu walikuwa bado hawajaona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa ancheat hata kwa wengineNdo mume anamwambia alifanya kwasababu walikuwa bado hawajaona.
Hawajazaliwa na huyo Mama [emoji15]Sio ndugu wamezaliwa kutoka mbegu tofauti
Yani mama ndo atamchukia mtoto wake?je mahusiano ya mama na mtoto aliyemficha kwa miaka 20 yatakuaje?
Mkuu ilikuwaje tupe dondoo kidogoMm nilitaka kukumbana nalo hilo janga nashukuru Mungu kwanza sikuwa n mpango wa kuoa, ila yule bint nimemvulia kofia kwa usiri ule.
Alikuwa anapasha kiporo huyooo...Umeishi na mtu kwa miaka 15, mmezaa watoto 4, unakuja kumuacha kisa hakukwambia kua aliwahi kuzaa kabla!!?
Ukisikia kutafutiana sababu ndio huko sasa.
Kuficha mtoto ni ujingaUmeishi na mtu kwa miaka 15, mmezaa watoto 4, unakuja kumuacha kisa hakukwambia kua aliwahi kuzaa kabla!!?
Ukisikia kutafutiana sababu ndio huko sasa.
Alizaaaliolewa akiwa ana miaka 21,
Hata mi nakuacha.. watoto nabaki nao..Ni Mpumbavu kabisa
Dream QueenHuyu mama alizaa kipindi anaumri wa miaka 21.
Aliambiwa na nani!? Alijuaje!??Alafu kuna kisa kimoja kimemtokea mwenzetu wa ofisini kimenishangaza kwa alivyo react ila nikasema acha nije nishirikishe na wanajamvi huku.
Huyu dada kakaa kwenye ndoa kama miaka mitatu hivi. Sasa anakuja kugundua mume wake aliwahi kuchepuka na ex wake tena sio mara moja kipindi wapo kwenye mahusiano. Yaani kabla ya ndoa. Yani wame date miaka saba, mwaka wa nne mwanaume akawa na mahusiano na ex wake wameenda kama miaka miwili na ex malavidavi kama yote ila huyu dada anasema hakuwahi kuhisi. Sasa mke mtu kaja kujua wakati wameshaoana. Anasema ye bado kinamuuma kwasababu alimuamini sana mme wake inakuwaje alimsaliti kipindi ambacho alimpenda na kumuamini.
Wengi tukamshauri aache yaliyopita wagange yajayo. Akauliza ingekua nyinyi mngesahau na kusamehe? Nikasema wanajamvi mpo kibao mna majibu em mshaurini na nyinyi.
Kama ndugu, Je majina yao ya kati na ya mwisho yanafanana????Hawajazaliwa na huyo Mama [emoji15]
OnPoint..Huenda kuna nyakati alikuwa akiomba ruhusa asafiri aende mahali akidanganya kwa ndg....jamaa anakuja kuunga dots anagundua huenda alikuwa anaenda onana na mume wa awali.
Basi nilidhani una akili kumbe wale wale, unasemaje watoto waliolala tumbo moja na kunyonya ziwa moja sio ndugu kisa baba zao tofauti?Kama ndugu, Je majina yao ya kati na ya mwisho yanafanana????
Kwa unavyofikilia wewe.
Wewe dada nimefuatilia posts zako una vitu hivi;Basi nilidhani una akili kumbe wale wale, unasemaje watoto waliolala tumbo moja na kunyonya ziwa moja sio ndugu kisa baba zao tofauti?
Hebu usinichoshe mie kama unatafuta comments nyingi ushazipata
Mkuu haa hii hatari sasaWewe dada nimefuatilia posts zako una vitu hivi;
1. Una tabia ya faizafoxy
2. Una kisani sana utakuwa singo maza wewe.
3. Utakuwa akina mwajuma ndala ndefu wacheza vigodoro
Huyo ni faizafoxy kabisa, ona posts zake zimejaa makasiriko sanaMkuu haa hii hatari sasa
Huyu Demu ana makasiriko hatari...Wewe dada nimefuatilia posts zako una vitu hivi;
1. Una tabia ya faizafoxy
2. Una kisani sana utakuwa singo maza wewe.
3. Utakuwa akina mwajuma ndala ndefu wacheza vigodoro
Sababu ya talaka ni mwanamke kuficha jambo kubwa kiasi hiki.Kwa maelezo ya mtoa mada ni kua, mwanamke aliolewa akiwa ana miaka 21, na sasa mtoto ana miaka 20, hatujui sababu ya yeye kutengana na mtoto wake na hatujui sababu ya yeye kutokumwambia mumewe kua ana mtoto, mtoto alikua analelewa na baba ake, what if alinyang'anywa mtoto akaamua kuanza upya na huyo mume wake? Kwanini umuite muhuni kisa tu hakukwambia kuhusu mtoto,
Kwanini uumie sana hadi utoe talaka, alikuomba matumizi ya mtoto? Kama miaka yote mlikua vizuri hilo tu ndio umuache? hapo ni wazi ulikua unamtafutia sababu hakuna kingine unless kuwe na jambo lingine mleta mada halijui.
Siwezi kujua kiundani ila labda walibananishana na mumewe.Aliambiwa na nani!? Alijuaje!??