USHAURI: Nini cha kufanya kama mwenza wako alikuficha kuwa ana mtoto, Ukaja kujua baada ya miaka zaidi ya 10 baadaye?

USHAURI: Nini cha kufanya kama mwenza wako alikuficha kuwa ana mtoto, Ukaja kujua baada ya miaka zaidi ya 10 baadaye?

Hizi mambo za kuficha watoto wa nje wanaume tunaongoza,na hata wake zetu wakija kujua hawawezi kutuacha..tena tupo radhi kwenda kuzaa nje angali nipo kwenye ndoa na hata mke akijua hatuachani. Wanaume tusipende kuwakandamiza wanawake,tena mtu alizaa hata kabla hujamuoa na akaamua kuweka siri...

Bahati nzuri mmedumu kwa miaka 15,ni kosa kweli kuto kuambiwa,lakini uamuzi wa kumuacha kwa hilo kosa haupo sawa kabisa.. unless kama alikuwa anamtafutia sababu.
Nadhani kuna kitu kipo behind the scenes hatukijui. Sababu kama hii sidhani kama mahakama inaweza kuvunja ndoa kirahisi namna hii maana wanaangalia maslahi ya watoto sometimes. Labda kama mwanamke alikuwa anaendeleza mahusiano na baba mtoto wake.
 
Mkuu kwani mtu ukitaka kumuacha mkeo labda alikucheat kipindi cha uchumba au alikuficha kuwa alikuwa anamtoto ukaja kujua labda baada ya miaka 5 na mmezaa watoto 2 tayari.

Na hakuna sababu nyingine ni hio.

Inamaana mahakama haitavunja hio ndoa muendelee hivyo hivyo huku mwingine anaumia???
 
Jamaa aliowa kwa mbwembwe kweli si unajua ile umeyapatia, kidigrii kichwani, shirika kubwa linamlipa vizuri. Akajenga mjengo wa kisasa akaowa bwana binti mrembo. Ndani ya mwaka jamaa kagundua dada alikuwa na mtoto yupo huko kwao kijijini. Eeeenh mbona kiliwaka si kitoto. Bwana akahama nyumbani akaenda kukaa huko kwa miezi kadhaa lakini yaliisha na kuishi pqmoja. Kilichokuwa kinamuuma yule bwana ofisi nzima mashauzi nimeowa,nina mke, hii kanipa wife, si unajua siku hizi nina mwenzangu, majogambo yalikuwa mengi na wenzake wakapata cha kumchapia alijuata.
Sisi wanawake wakati mwingine tunadhani kuficha mtoto kutakufanya ndoa yako idumu, la hasha, kuna muda ukweli utajulikana na ni mara chache mwanaume kusamamehe . Kuna mtoto wa kaka alioa mwanamke bila kujua ana mtoto, alikuja kufahamu baada ya yule mwanamke kumuacha mume wake na kurudiana na baby Dady wake. Imagine alitoroka nyumbani na kuacha mtoto wa miaka 2 na kwenda kuishi na mwanamme aliyezaa naye.
Yule kijana alipata msongo wa mawazo balaa na hivi kazi ailikuwa na kuungaunga. Ima Mungu si Athumani, kijana kapata kazi ubalozini nje ya nje na soon anaoa mke mwingine baada ya miaka kama mitano.
 
Mkuu kwani mtu ukitaka kumuacha mkeo labda alikucheat kipindi cha uchumba au alikuficha kuwa alikuwa anamtoto ukaja kujua labda baada ya miaka 5 na mmezaa watoto 2 tayari.

Na hakuna sababu nyingine ni hio.

Inamaana mahakama haitavunja hio ndoa muendelee hivyo hivyo huku mwingine anaumia???
Hujakomaa kiakili dogo. Maumivu yapo lakini huwezi kumuacha mke ambaye umezaa naye watoto 4,na mmedumu kwenye ndoa miaka 15. Eti kwa sababu alikuficha alipo zaa na mwanaume mwingine kabla hujamjua. You're not emotional intelligence.
 
kwani mtu ukitaka kumuacha mkeo labda alikucheat kipindi cha uchumba au alikuficha kuwa alikuwa anamtoto ukaja kujua labda baada ya miaka 5 na mmezaa watoto 2 tayari.

Na hakuna sababu nyingine ni hio.

Inamaana mahakama haitavunja hio ndoa muendelee hivyo hivyo huku mwingine anaumia???
Na hii je???
 
Bila mchango wa mama D hapa ni kazi bure.
Yeye ni muumini mzuri kuhusu mambo ya ndoa.

Atakushauri cha kufanya, japo ujinga alioufanya kuficha siri Kwa Muda mrefu umemchukiza.
 
Hizi mambo za kuficha watoto wa nje wanaume tunaongoza,na hata wake zetu wakija kujua hawawezi kutuacha..tena tupo radhi kwenda kuzaa nje angali nipo kwenye ndoa na hata mke akijua hatuachani. Wanaume tusipende kuwakandamiza wanawake,tena mtu alizaa hata kabla hujamuoa na akaamua kuweka siri...

Bahati nzuri mmedumu kwa miaka 15,ni kosa kweli kuto kuambiwa,lakini uamuzi wa kumuacha kwa hilo kosa haupo sawa kabisa.. unless kama alikuwa anamtafutia sababu.
Wanaume always huwa ni selfish, kitu wakifanya wao wanataka mwanamke asamehe na kukiona cha kawaida kabisa. Hapo ingekuwa mwanaume ndio alificha mtoto mke akataka talaka trust me wote wangesema mwanamke ana roho mbaya, tena hadi ingefosiwa mke akae na mtoto huyo.
All in all kila mtu ana namna yake ya kupokea na kuhandle taarifa.
 
kwani mtu ukitaka kumuacha mkeo labda alikucheat kipindi cha uchumba au alikuficha kuwa alikuwa anamtoto ukaja kujua labda baada ya miaka 5 na mmezaa watoto 2 tayari.

Na hakuna sababu nyingine ni hio.

Inamaana mahakama haitavunja hio ndoa muendelee hivyo hivyo huku mwingine anaumia???
Na hii je???
We vunja hiyo ndoa,kwani umelazimishwa uendelee naye?
 
Umeishi na mtu kwa miaka 15, mmezaa watoto 4, unakuja kumuacha kisa hakukwambia kua aliwahi kuzaa kabla!!?

Ukisikia kutafutiana sababu ndio huko sasa.
HUyo mwanamke anaficha vingapi? Mwanaume alijuaje? Aliambiwa na mke wake au aligundua tu mwenyewe? Pengine mwanamke ana mfululizo wa siri zilijulikana na mumewe kabla ya hili. Unajua jamaa kasamehe mangapi?

Haya jiulize kwanza kabla hujamlaumu yoyote
 
N

Nahic iyo ndo sababu alikuwa anahc ataolewa.
Na wanaume ndio visababishi vikubwa vya situations kama hizi. Kwanza ndio wanaozalisha na kutelekeza wanawake halafu wanakuwa wa kwanza kuwaponda na kutukana wanawake waliozaa hadi kufikia hatua ya kujiona sio chochote na hana thamani. Inauma sana kuificha damu yako ila judgement ya jamii inafanya watu wafanye mambo wasiyoyapenda.
 
HUyo mwanamke anaficha vingapi? Mwanaume alijuaje? Aliambiwa na mke wake au aligundua tu mwenyewe? Pengine mwanamke ana mfululizo wa siri zilijulikana na mumewe kabla ya hili. Unajua jamaa kasamehe mangapi?

Haya jiulize kwanza kabla hujamlaumu yoyote
Soma alicholeta mleta mada kisha wewe ndio ujiulize hayo maswali unamuuliza nani? Nafsi yako? Mume mjinga au Mke aliyeachwa?
 
Kama ni over 50, kutelekeza watoto na kuanza upya pagumu sana , pressure sukari itakuwa nyumbani kwake!! Kuendesha Gari jipya ataweza!?
Hawezi kuloose maana yeye anaendelea na maisha yake na anaoa mke mwingine basi
 
Soma alicholeta mleta mada kisha wewe ndio ujiulize hayo maswali unamuuliza nani? Nafsi yako? Mume mjinga au Mke aliyeachwa?
Mtetezi wa wanawake wasio wakweli, utakuwa ni walewale.
Mimi hata angekuwa mwanaume amemfanyia hivi mwanamke, nisingemtetea ni aibu, lakini umeshupaza hilo komwe kutetea ujinga bila haya.

Utakuwa mwanamke mcheza vigodoro wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umeishi na mtu kwa miaka 15, mmezaa watoto 4, unakuja kumuacha kisa hakukwambia kua aliwahi kuzaa kabla!!?

Ukisikia kutafutiana sababu ndio huko sasa.
Kuna watu hawawezi kuupokea uongo, yupo tyr apewe ukweli wa namna yoyote ile.....ww unahakika kama hawakuulizana hayo mambo, na vp kama alisema hajawahi kuzaa? Hii nakumaind ww na ukoo wako af mazoea yanakufa
 
Lazima kuwe na sababu ya yeye kutokusema,

Kuna Mama alipokonywa mtoto na Mwanaume aliyezaa nae, mtoto alikua ana miezi 11, yule Mama alihangaika kuanzia Ustawi wa jamii hadi Mahakamani, kote aligonga mwamba basi akamuachia Mungu na kurudi kwao (Mikoa ilikua tofauti) baada ya miaka kupita, akaja akapata Mwanaume akamuoa hakumwambia kuhusu tukio lile yeye anasema alijaribu kulisahau hakuona sababu ya kulizungumzia tena, Mtoto alikuja kumtafuta Mama yake ameshakua mtu mzima na wajukuu akamletea, Mume ndio kujua hilo sakata lakini hakureact tofauti zaidi ya furaha familia imeungana tena.
Haha.. yan kwakua mtu mmoja kakubaliana na jambo kwa situation husika basi mnapenda wote tuwe hivyo kwa situation tofauti.

Wanawake🤣🤣
 
Back
Top Bottom