Sega la asali
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,153
- 2,700
Umelenga mulemule mkuu.Glenn Unaweza kakuta anamtetea huyo dada cos na yeye amewahi kufanya huo mchezo si unajua wanawake akili zao zinafanana
Walewale tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umelenga mulemule mkuu.Glenn Unaweza kakuta anamtetea huyo dada cos na yeye amewahi kufanya huo mchezo si unajua wanawake akili zao zinafanana
Nadhani kuna kitu kipo behind the scenes hatukijui. Sababu kama hii sidhani kama mahakama inaweza kuvunja ndoa kirahisi namna hii maana wanaangalia maslahi ya watoto sometimes. Labda kama mwanamke alikuwa anaendeleza mahusiano na baba mtoto wake.Hizi mambo za kuficha watoto wa nje wanaume tunaongoza,na hata wake zetu wakija kujua hawawezi kutuacha..tena tupo radhi kwenda kuzaa nje angali nipo kwenye ndoa na hata mke akijua hatuachani. Wanaume tusipende kuwakandamiza wanawake,tena mtu alizaa hata kabla hujamuoa na akaamua kuweka siri...
Bahati nzuri mmedumu kwa miaka 15,ni kosa kweli kuto kuambiwa,lakini uamuzi wa kumuacha kwa hilo kosa haupo sawa kabisa.. unless kama alikuwa anamtafutia sababu.
Mkuu kwani mtu ukitaka kumuacha mkeo labda alikucheat kipindi cha uchumba au alikuficha kuwa alikuwa anamtoto ukaja kujua labda baada ya miaka 5 na mmezaa watoto 2 tayari.Nadhani kuna kitu kipo behind the scenes hatukijui. Sababu kama hii sidhani kama mahakama inaweza kuvunja ndoa kirahisi namna hii maana wanaangalia maslahi ya watoto sometimes. Labda kama mwanamke alikuwa anaendeleza mahusiano na baba mtoto wake.
Sisi wanawake wakati mwingine tunadhani kuficha mtoto kutakufanya ndoa yako idumu, la hasha, kuna muda ukweli utajulikana na ni mara chache mwanaume kusamamehe . Kuna mtoto wa kaka alioa mwanamke bila kujua ana mtoto, alikuja kufahamu baada ya yule mwanamke kumuacha mume wake na kurudiana na baby Dady wake. Imagine alitoroka nyumbani na kuacha mtoto wa miaka 2 na kwenda kuishi na mwanamme aliyezaa naye.Jamaa aliowa kwa mbwembwe kweli si unajua ile umeyapatia, kidigrii kichwani, shirika kubwa linamlipa vizuri. Akajenga mjengo wa kisasa akaowa bwana binti mrembo. Ndani ya mwaka jamaa kagundua dada alikuwa na mtoto yupo huko kwao kijijini. Eeeenh mbona kiliwaka si kitoto. Bwana akahama nyumbani akaenda kukaa huko kwa miezi kadhaa lakini yaliisha na kuishi pqmoja. Kilichokuwa kinamuuma yule bwana ofisi nzima mashauzi nimeowa,nina mke, hii kanipa wife, si unajua siku hizi nina mwenzangu, majogambo yalikuwa mengi na wenzake wakapata cha kumchapia alijuata.
Hujakomaa kiakili dogo. Maumivu yapo lakini huwezi kumuacha mke ambaye umezaa naye watoto 4,na mmedumu kwenye ndoa miaka 15. Eti kwa sababu alikuficha alipo zaa na mwanaume mwingine kabla hujamjua. You're not emotional intelligence.Mkuu kwani mtu ukitaka kumuacha mkeo labda alikucheat kipindi cha uchumba au alikuficha kuwa alikuwa anamtoto ukaja kujua labda baada ya miaka 5 na mmezaa watoto 2 tayari.
Na hakuna sababu nyingine ni hio.
Inamaana mahakama haitavunja hio ndoa muendelee hivyo hivyo huku mwingine anaumia???
kwani mtu ukitaka kumuacha mkeo labda alikucheat kipindi cha uchumba au alikuficha kuwa alikuwa anamtoto ukaja kujua labda baada ya miaka 5 na mmezaa watoto 2 tayari.Hujakomaa kiakili dogo. Maumivu yapo lakini huwezi kumuacha mke ambaye umezaa naye watoto 4,na mmedumu kwenye ndoa miaka 15. Eti kwa sababu alikuficha alipo zaa na mwanaume mwingine kabla hujamjua. You're not emotional intelligence.
Wanaume always huwa ni selfish, kitu wakifanya wao wanataka mwanamke asamehe na kukiona cha kawaida kabisa. Hapo ingekuwa mwanaume ndio alificha mtoto mke akataka talaka trust me wote wangesema mwanamke ana roho mbaya, tena hadi ingefosiwa mke akae na mtoto huyo.Hizi mambo za kuficha watoto wa nje wanaume tunaongoza,na hata wake zetu wakija kujua hawawezi kutuacha..tena tupo radhi kwenda kuzaa nje angali nipo kwenye ndoa na hata mke akijua hatuachani. Wanaume tusipende kuwakandamiza wanawake,tena mtu alizaa hata kabla hujamuoa na akaamua kuweka siri...
Bahati nzuri mmedumu kwa miaka 15,ni kosa kweli kuto kuambiwa,lakini uamuzi wa kumuacha kwa hilo kosa haupo sawa kabisa.. unless kama alikuwa anamtafutia sababu.
We vunja hiyo ndoa,kwani umelazimishwa uendelee naye?kwani mtu ukitaka kumuacha mkeo labda alikucheat kipindi cha uchumba au alikuficha kuwa alikuwa anamtoto ukaja kujua labda baada ya miaka 5 na mmezaa watoto 2 tayari.
Na hakuna sababu nyingine ni hio.
Inamaana mahakama haitavunja hio ndoa muendelee hivyo hivyo huku mwingine anaumia???
Na hii je???
HUyo mwanamke anaficha vingapi? Mwanaume alijuaje? Aliambiwa na mke wake au aligundua tu mwenyewe? Pengine mwanamke ana mfululizo wa siri zilijulikana na mumewe kabla ya hili. Unajua jamaa kasamehe mangapi?Umeishi na mtu kwa miaka 15, mmezaa watoto 4, unakuja kumuacha kisa hakukwambia kua aliwahi kuzaa kabla!!?
Ukisikia kutafutiana sababu ndio huko sasa.
Na wanaume ndio visababishi vikubwa vya situations kama hizi. Kwanza ndio wanaozalisha na kutelekeza wanawake halafu wanakuwa wa kwanza kuwaponda na kutukana wanawake waliozaa hadi kufikia hatua ya kujiona sio chochote na hana thamani. Inauma sana kuificha damu yako ila judgement ya jamii inafanya watu wafanye mambo wasiyoyapenda.N
Nahic iyo ndo sababu alikuwa anahc ataolewa.
Soma alicholeta mleta mada kisha wewe ndio ujiulize hayo maswali unamuuliza nani? Nafsi yako? Mume mjinga au Mke aliyeachwa?HUyo mwanamke anaficha vingapi? Mwanaume alijuaje? Aliambiwa na mke wake au aligundua tu mwenyewe? Pengine mwanamke ana mfululizo wa siri zilijulikana na mumewe kabla ya hili. Unajua jamaa kasamehe mangapi?
Haya jiulize kwanza kabla hujamlaumu yoyote
Hawezi kuloose maana yeye anaendelea na maisha yake na anaoa mke mwingine basi
Mtetezi wa wanawake wasio wakweli, utakuwa ni walewale.Soma alicholeta mleta mada kisha wewe ndio ujiulize hayo maswali unamuuliza nani? Nafsi yako? Mume mjinga au Mke aliyeachwa?
Na hata hao watoto wanne akapime DNA Hakika atajuta kuzaliwa majibu yatakapo kujaUmeishi na mtu kwa miaka 15, mmezaa watoto 4, unakuja kumuacha kisa hakukwambia kua aliwahi kuzaa kabla!!?
Ukisikia kutafutiana sababu ndio huko sasa.
Muongezee mke bora kabisa Donatila
Kuna watu hawawezi kuupokea uongo, yupo tyr apewe ukweli wa namna yoyote ile.....ww unahakika kama hawakuulizana hayo mambo, na vp kama alisema hajawahi kuzaa? Hii nakumaind ww na ukoo wako af mazoea yanakufaUmeishi na mtu kwa miaka 15, mmezaa watoto 4, unakuja kumuacha kisa hakukwambia kua aliwahi kuzaa kabla!!?
Ukisikia kutafutiana sababu ndio huko sasa.
Haha.. yan kwakua mtu mmoja kakubaliana na jambo kwa situation husika basi mnapenda wote tuwe hivyo kwa situation tofauti.Lazima kuwe na sababu ya yeye kutokusema,
Kuna Mama alipokonywa mtoto na Mwanaume aliyezaa nae, mtoto alikua ana miezi 11, yule Mama alihangaika kuanzia Ustawi wa jamii hadi Mahakamani, kote aligonga mwamba basi akamuachia Mungu na kurudi kwao (Mikoa ilikua tofauti) baada ya miaka kupita, akaja akapata Mwanaume akamuoa hakumwambia kuhusu tukio lile yeye anasema alijaribu kulisahau hakuona sababu ya kulizungumzia tena, Mtoto alikuja kumtafuta Mama yake ameshakua mtu mzima na wajukuu akamletea, Mume ndio kujua hilo sakata lakini hakureact tofauti zaidi ya furaha familia imeungana tena.
Hizo nimesema kama pre cautions ambazo ,inaweza pelekea mume kuchukua maamuzi hayo unayoyaita ujingaSoma alicholeta mleta mada kisha wewe ndio ujiulize hayo maswali unamuuliza nani? Nafsi yako? Mume mjinga au Mke aliyeachwa?