USHAURI: Rais Samia suluhisho pekee kwa Bandari Tanzania ni hili

Tasac kaporwa mizigo karibia yote wacha wagombanie ndo kufungua uchumi huko
Tena wale Tasac aisee wanaingizia wateja wao hasara Sanaa ya storage na gharama zingine za ziada kwa sababu wanafanya kazi kibwanyenye sana yaani kuna bonge moja ucheleweshaji wa mizigo ya watu kupitia wao Bora wasifanye hizo kazi sio sehemu yao kabisa na hawawezi kuzifanya kuishindani

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Hiyo point namba 5 lazima watu waikimbie
 
Barabara ya mandela road,umetisha
 
Pumbafu kabisa. Mmeshindwa kusimamia hiyo iliyopo na unasema eti wakijenga kubwa ndiyo watu hawataiba? Jinga!
 
Umeshawai hata finally bandarini? Usikute unaongea hata Dar hujawai fika!

Waliopo Dar wanaopita njia ya baharini wakishuhudia foleni ya meli hadi mwezi kila siku hawapingi wewe ulioko kijijini huko unapinga pinga tu hapa
Mkuu 'Lord denning', siyo mara yangu ya kwanza kukusoma hapa JF. Unaonyesha ujinga sana.

Kwa hiyo Samia kamtumbua Eric, kwa sababu Samia hajawahi kuona msongamano wa bandari ya Dar; na Eric kashindwa kupambana na msongamano huo, ambao umesababisha atumbuliwe.

Wewe hapo, mjinga unaleta pendekezo ambalo hata lingetekelezwa bado Dar haitaleta ufanisi wowote. Halafu unakuja hapa na kujisifu juu ya Ngorongoro?
Hivi unayo akili timamu wewe?
 
dawa yao hao wote ni management nzimq isimamiwe na strong private sector!

Muwekezaji makini akiwa anamanage bandari hawezi kuacha upuuzi kama huo kuendelea maana utaharibu biashara yake na reputation yake
Ni ujinga kushindwa kusimamia serikali na kudhani kukabidhi kila kitu kwa wawekezaji ndiyo suluhisho. Huu ni uvivu na uzembe uliovuka mpaka, Kuna nchi nyingi tu zainafanya mambo yao bila kutegemea wawekezaji
 
Ni ujinga kushindwa kusimamia serikali na kudhani kukabidhi kila kitu kwa wawekezaji ndiyo suluhisho. Huu ni uvivu na uzembe uliovuka mpaka, Kuna nchi nyingi tu zainafanya mambo yao bila kutegemea wawekezaji
Unataka kusema Maraisi 6 wote wameshindwa kusimamia bandari vizuri? Unadhani wote walikuwa wanapenda Bandari kuwa hivi ilivyo? Wameteuliwa wangapi kuendesha na kusimamia Bandari?
 
ujinga unauonesha wewe!

Unaotolewa hapa ni ushauri kutatua tatizo lililoshindikana kutatua! Kama unaona Bandari ya Dar haina msongamano wewe sitakiwi hata kukujibu humu maana unaonekana umejaa ujinga tu na kupinga pinga! Toka huko uliko na siku njoo Dar toka masaki hadi Posta njia ya coco beach utaona msongamano wa meli. Nenda pita Mandela Road hadi chalinze uone msongamano wa maloli alafu rudi humu
 
Yeye Bimkubwa Samia ni dereva. Hakuna asichokijua. Ni yeye wa kuwaambia bandarini cha kufanya nadhani this time atawin!
 
Sasa kama una solution jitokeze hadharani akuteue
 
Unataka kusema Maraisi 6 wote wameshindwa kusimamia bandari vizuri? Unadhani wote walikuwa wanapenda Bandari kuwa hivi ilivyo? Wameteuliwa wangapi kuendesha na kusimamia Bandari?
Kurudia kufanya jambo kwa namna ile ile huky ukitegemea matokeo tofauti ni uendawazimu. BTW wakati wa mwalimu Nyerere hakukuwa na ufisadi wa kutisha kama sasa na serikali ilikuwa inatimiza majukumu yake mengi. Bandarini kumeanza kuoza kipindi cha Mwinyi na wote waliofuta walikuwa wanarudia makosa yale yale.
 
Sasa kama una solution jitokeze hadharani akuteue
Aniteue mimi kuwa nani?

Haya maamuzi ni ya kufanywa na yeye na baraza lake la mawaziri!

Ni maamuzi ya kuihusisha private sector! Private sector sio mtu kusema ningekuwa mimi
 
Nani kakwambia kipindi cha Mwalimu hakukuwa na ufisadi?

Unafikiri viwanda alivyovikuta na kuvianzisha pamoja na mashirika yalikufa kipindi gani?
 
Nani kasema Bandari isimamiwe na serikali? Umesoma uzi au unakurupuka tu?
Tukipata serikali inayotumia akili tatizo la bandarini litapungua sana sana. Kulivyo na maendeleo ya teknolojia siyo rahisi kukosa solution. Bora waingie mkataba na kampuni yenye weledi ifanye utafiti wa kina na kuja na suluhisho la uendeshaji wa bandari (siyo waingie ubia).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…